inasababisha saratani?
Mara nyingi mifuko laini na miepesi ya nailoni au Rambo kama inavyojulikana na wengi Tanzania imekuwa ikitumiwa na baadhi ya wananchi katika kufungashia chakula na hasa...
Ndugu wa Jf poleni sana Kwa mihangaiko yetu ya siku, natumaini tunaendelea vizuri kulingana na mapenzi ya muumba wetu.
Nirudi kwenye maada, Mimi nasumbuliwa na homa ya Scabbies, kiukweli hii homa...
Hello wanafamilia,
Nimebainika kuwa na tatizo tajwa hapo juu. Hii ni baada ya kuteseka kwa muda mrefu kwa ukavu wa choo, constipation.
Katika medicine, tatizo linapokuwa sugu na hatarishi,dawa...
Wajawazito wapo katika hatari kubwa zaidi ya kupata ugonjwa wa Malaria katika Jamii. Dawa ya SP hutolewa kukinga madhara ya Malaria kwa kuua vimelea vinavyojificha kwenye kondo la nyuma.
TIBA...
Habari ya usiku wapendwa,
nmeng'atwa na tandu usiku huu ila nmefanikiwa kumuua,
Huduma ipi ya kwanza niipate kabla ya asubuhi?
Kuna storu nyingi kuhusu tandu zinszoogopesha.
Msaada tafadhali
Habari wadau, naombeni msaada kwa yeyote anaefahamu dawa za kuongeza maumbile ya kiume naomba anisaidie lakini ziwe dawa za asili.
Au kama ulisha wahi kutumia dawa hizo na zikakupatia matokeo...
Habari wana Jf, miaka miwili iliyopita nilianza kujigundua kuwa na shida ya usikivu nilipoenda hospitali nikaambiwa shida yangu ilisababishwa na earphones hivyo usikivu wangu umeshuka na hakuna...
Habari za usiku
Baada ya kupata magonjwa siku za karibuni ikanibi niende hospital ya Benjamin hapa Dodoma.
Nikacheki vipimo vyote ila nilipofika kwenye kipimo cha damu daktari alikuwa ananipa...
Mtoto wangu ana miezi Saba juzi mama yake amenambia hajawahi kumuona amesimamisha uume,
Ilinichanganya sana akili ilibidi nijipe muda nikakaa naye kama saa mbili hivi asubuhi kuanzia Saa 10 usiku...
STDs: Aina za magonjwa ya zinaa, dalili zake na ni hatari kiasi gani?
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), zaidi ya watu milioni moja duniani kote wanaambukizwa magonjwa ya zinaa kila...
Hiii ni dawa nzuri ya Vidonda
Wengi mna sikia hadithi tu
Kua kuna mti.huo wa nyoka
Yani nyoka wakipigana mmoja ikatokea kamjeruhi mwenzake au kuzimia
Huenda kwenye mti flani uchuma jani na...
Nina mtoto mdogo Mwenye umri wa miezi mitatu.
Tatizo la huyu mtoto ni kujisaidia kinyesi ambacho kama ameharisha. Wakati mwingine kina kuwa Kama kina majimaji tu au Kama vikambakamba...
Salaam,
Wakati mamsapu alipokuwa mjamzito, nilikuwa nikienda nae kliniki mara kwa mara. Sasa siku moja, katika mazungumzo, nikamsikia dada mmoja aliyekuwa ana mtoto mchanga hapo kliniki, akisema...
Kiharusi (stroke) ni ugonjwa wa kupooza sehemu au upande mmoja wa mwili kutokana na hitilafu/uharibifu kwenye ubongo, hasa ubongo kukosa damu au damu kuvilia ndani ya ubongo.
Kiharusi husababisha...
Wakuu nakuja kwenu msaada wenu mdogo wangu kanipigia sm Yuko dar kwamba majuzi kichwa kilimuuma sana akashindwa fanya chochote akalazimika kwenda hospital kupima ..alienda hospital mbili tofaut...
habari humu jukwaani,juzi niimenda kituo frani cha afya kuomba nipewe dawa ya PEp kutokana na mazingira hatarishi ya afya nilliowaeleza ,nikapimwa afya nikapewa dawa imeandikwa F67 je hii ndio PEp...
Wapo watu ambao wanasumbuliwa na tatizo sugu la chunusi, madoa doa na kuharibika kwa ngozi. Ingawa chunusi hizi mara nyingi hutikea usoni, wakati mwingine hutokea pia katika maeneo tofauti ya...