Habari zenu wanajamvi....
jaman kuna jambo lisilo la kawaida linanisumbua sana ni kuhusu mwili wangu kutingishika wenyewe na vitu kutembea ndani ya Mishipa na wakati mwili unatingishika huwa...
Hii shida ilianza taratibu mwezi wa 12 mwanzoni ilianzia kwenye ncha za videle vya mkono. Nilijua itapona yenyewe ila sioni dalili.
Wiki moja iliyopita naona ni kama inahamia kwenye nyayo na...
Hope mko poa. Miaka ya nyuma Kama 10yrs ago wakati wa utoto, nilipenda sana kucheza Mpira, nilipokuwa nakimbia Sana nilikuwa nasikia Kama Kuna kitu kinabana kwenye moyo afu kinaacha Basi nikawa...
Mimi ni kijana wa kiume nina uvimbe kwenye chuchu moja la upande wa kulia na lnazidi kuvimba tu sasa miaka mitatu tangu lianze kuvimba naombeni ushauri nifanyeje na matibabu nayapataje
Siku za hivi karibuni kumekua na vifo vingi vinavyohusiana na saratani.
Mwaka jana tulizika ndugu yetu,mwanamke wa umri wa miaka 46 aliyekuwa anasumbuliwa na saratani,aliugu muda mrefu pamoja na...
Habari za jumapili wana jukwaa wote.
Naomba niende MOJA kwa MOJA kwenye mada, Nina ndugu yangu anasumbuliwa Sana na Uric Acid.
Ni mwezi sasa amekuwa wa kukaa na kulala tu uku akilalamika maumivu...
Tunaomba msaada , hospitali ya rufaa ya mkoa wa Tabora haaina huduma ya VIFUNGASHIO kwa ajili ya kubebea dawa, mgonjwa akipewa dawa analazimika kubeba mikononi au kwenye mabox kitu ambacho...
Habari wakuu naomba kutanguliza shukrani kwa wote watakao changia uzi huu na kutoa msaada. Nina changamoto ya kukohoa wakati wa usiku ninapoanza kulala tatizo hili lilianza mwaka jana kama mwezi...
Habari wakuu, mada hapo juu inahusika.
Nina mdogo wangu ana Miaka 23 wa Kiume amekutwa na Ugonjwa wa Ajabu wa kuwashwa mwili mzima. alienda Hopsitali wakamwambia ni Mzio yaan aleji ambayo...
Wakuu swali hili.
Kama ushawai tumia kondom utaungana na mimi sehemu ya mwishi karibu na shina condom huwa haifiki na hii kupelekea wakat wa tendo kulowa au kugusana maji maji
Je, hii haiwezi...
Habari zenu?
Jamani ningependa kufahamishwa nini kinachopelekea ukavu sehemu za uke wakat wa tendo. Je, ni vyakula duni, uchache wa maandalizi au upungufu wa nguvu za kike?
Nawasilisha
WADAU...
Wakuu jana baada ya kurudi home nilivyotoka uwanjani taifa nilimkuta mzee wangu hawezi kutembea yaani upande wa kushoto haufanyi kazi nilipata maumivu mara mbili yaani nilifungwa kwenye timu na...
[emoji112] Hello. Habari zenu wanajukwaa poleni na majukumu.
Naombeni msaada wenu je kama umekutana kimwili na msichana alafu baada ya muda ukawa unamashaka na afya yako juu ya maambukizi ya...
Bado niko mbeya
Juzi jumapili nikawa mgahawa mmoja maarufu hapo mtaa wa Soweto.
Nikasema ngoja nifanye simple research kuhusu ulaji wa watu wa huku.
Imagine mtu anakunywa supu na Chips, kweli...
Majeraha yanaweza kupelekea hali isiyo ya kawaida ya Mfupa kujiunda kwenye tishu (Myositis Ossificans) ni hali isiyo ya kawaida ambayo mara nyingi hutokea kwa wanariadha wanaopata jeraha ambalo...
Shinikizo la kawaida la damu kwa watu wazima ni 120 kwa 80. Kipimo cha presha hupimwa kwa milimita za zebaki (mercury) (mmHg). Hivyo husomeka kama 120/80 mmHg. Shinikizo la damu hupimwa kwa...
inasababisha saratani?
Mara nyingi mifuko laini na miepesi ya nailoni au Rambo kama inavyojulikana na wengi Tanzania imekuwa ikitumiwa na baadhi ya wananchi katika kufungashia chakula na hasa...
Ndugu wa Jf poleni sana Kwa mihangaiko yetu ya siku, natumaini tunaendelea vizuri kulingana na mapenzi ya muumba wetu.
Nirudi kwenye maada, Mimi nasumbuliwa na homa ya Scabbies, kiukweli hii homa...