Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Ndugu habari, Kuna huu mtindo wa manesi kupiga makofi wajawazito wakiwa labour (usikatae hili jambo lipo) hasa kwa baadhi ya wanawake wanaochelewa kusukuma mtoto. Je, kuna faida gani...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Nimekuwa nikitokwa na chunusi kwa wingi usoni pindi ninapotumia matunda kama vile parachichi, fenesi, n.k mara kwa mara. Hivyo naomba ushauri wenu wadau
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau heshima kwenu, Wakuu nimejikuta kila asubuhi napata uchovu na usingizi mzito ingawa nawahi kulala kama saa moja usiku. Pia kichwa kinauma sana, najihisi kubanwa mafua. Note: sifanyi kazi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habar wanaJF Natumain mu wazima wa afya njema Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23, tatizo langu kubwa ni kutokana na tabia ya kudindisha ovyo ovyo pasipo kujali mazingira na sasa...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Wana JF, naomba kujua faida au madhara ya hii kitu inaitwa sauna
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habarini wakuu, mwanzo kabla ya 2013 nilikuwa na mwili wa kawaida badae nikaugua karibia miaka miwili sasa nipo kwenye recovery lakini mwili wangu bado umekondeana nashindwa kuelewa ni vyakula...
0 Reactions
14 Replies
26K Views
ZINGATIA HAYA KATIKA MAISHA YAKO YA KILA SIKU ILI UWE MZIMA KIAFYA NA MAISHA MAREFU. 1 Usile chakula bila ratiba 2 usinywe maji baada tu ya kula(kunywa maji nusu saa kabla na baada ya kula) 3...
4 Reactions
2 Replies
2K Views
Salama wapendwa.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.Leo mida ya saa 7 mchana hivi nilikuwa na mihadi ya kuonana na demu fulani hivi geto.Demu kaja geto ili tufanye yetu kule kutaka tu kuomba...
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Habari wakuu nimekua na tatizo la kutoka machozi mara nyingi ninapotumia kifaa kama simu au computer gizani nikiacha tu ndo napata tatizo hilo ila nikisema niendelee tatizo la kutoa machoz linakata
0 Reactions
1 Replies
1K Views
.........
0 Reactions
0 Replies
869 Views
MPENDWA SOMA LINK HII NI MUHIMU SANA KARIBU UBORESHE AFYA YAKO | Arusha | Kupatana
0 Reactions
0 Replies
920 Views
Habari wakuu,! Naomba kufafanuliwa hapa kwamba, hivi mirija ya uzazi ya mwanaume ikiziba haiwezi kuzibuliwa,? Na nini kinachosababisha kuziba kwa mirija ya mwanaume?. Maana sister yangu ana mme...
0 Reactions
6 Replies
8K Views
BRAIN CANCER UGONJWA WA SARATANI KANSA YA UBONGO Kupambana na ugonjwa huu ni vigumu na unatisha.Kuna aina nyingi ya saratani jambo linalofanya kuwa gumu kukabiliana nao. Saratani ya ubongo...
0 Reactions
0 Replies
14K Views
Ni mara ya nne sasa mama anaenda hospital. Tatizo kubwa ni mkono wa kushoto kuuma, maumivu huanzia usawa wa uti wa mgongo. Kuna kitu kinatembea ama kinahamahama na yenye maumivu makali kiasi cha...
0 Reactions
2 Replies
968 Views
Habari zenu ndugu zanguni, natumai ni wazima, Nina ndugu yangu alikua na Malaria lakini kabla ya kwenda kucheki alikua anajiskia vibaya (kichefuchefu kizunguzungu) tukahofia isije ikawa mimba...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
i. Kutokojoa mapema mkojo uki kushika ii. Kuto kunywa maji ya kutosha iii. Kula chumvi nyingi sana kwenye chakula. iv. Kutokujitibu magonjwa ya...
4 Reactions
24 Replies
11K Views
Habari za muda huu wakuu? Nahitaji kupata data za idadi ya watu wanaofanya x ray kwa mwaka, (hapa Tanzania/ worldwide, hospitali yoyote) kama kuna mwenye data kamili ningeshukuru zaidi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Eti kuna dawa ya kutoa chale zile za mgongo au sehemu nyingine ya mwili?
0 Reactions
30 Replies
34K Views
Mwenye uelewa kuhusiana na mada tajwa halo juu!
0 Reactions
1 Replies
15K Views
Habar zenu... Naomba kuuliza Kwa mwenye ujuzi anisaidie nini madhara ya ultrasound Kwa mama mjamzito?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom