Habari,
Mtoto wangu ana miezi 7 tangu nimemzaa kwenye matiti yake kuna vitu vigumu kwa ndani kama mtoto anaeanza kuota maziwa, Ni wa kike sasa sielewi ni kawaida au kunatatizo?
Healthy Vaginas
A healthy vagina is as clean and pure as a carton of yoghurt
Now there's a statement to combat some of the negative messages we have received about our nether regions...
Habar wadau,
Nasumbuliwa na tatizo la mdomo kupauka sana na kuanza kupasuka pasuka kwenye lips kiasi kwamba ninapokula hata baadhi ya matunda kama nanas na chungwa napata sana tabu...
Jamani Wana Jf Naomba Mwenye Kujua Apa Saongea Ni Hospital Gani Au Maabara Gan Wana Kipimo Cha Typhod Make Peramiho Na Hospital Ya Mkoa Awana. Naomba Mnisaidie Nataka Kupima Typhod.
Huku mkoani kwetu MTWARA kuna hawa wamarekani wenye kampun ya USAID, wamejikita kwenye sekta mbalimbali. Moja ya wizara wanayoifanyia kazi ni pamoja na afya.
Hivi karibuni walikuwa na zoezi la...
Jamani kwa wataalamu naomba ushauri wa kitabibu,
Kuna binti alikuwa anasikia maumivu ya kiuno akaenda dispensary daktari akamchoma sindano (siikubuki jina) akampa na dawa za kutuliza maumivu...
Habari wana JF,
Naomba msaada tafadhali.
Nimekuwa na tatizo la makovu kwa muda mrefu. Makovu haya yalitokana na vidonda nlivyokuwa napata nikiwa mdogo kutokana na allergy.
Haya makovu yamekuwa...
Wadau,
Nilianza kujichua toka nikiwa form one yaani nilionza tu naona kabisa kujichuani zaidi ya kufanya mapenzi.Hata nikifanya mapenzi lisaa kupizinachukua kama limoja hivi na huwa sipati raha...
Habari wana JF.
Naombeni mnisaidie kubaini tatizo nililo nalo. Nimeamka asubuhi nikigusa chuchu yangu ya kushoto nahisi maumivu na kama dalili ya uvimbe.
Je inaweza ikawa dalili ya ugonjwa gani...
Amani ya bwana iwe nanyi
Naomba kujulishwa mda wa doctor kuingia kazini asubuhi au kuanza kazi zake ni saa ngapi ili niweze kuwashughulikia madaktari wa hospitali ya mkoa wa Ruvuma
Madakitari wa...
Habari zenu wanaJF,
Naombeni nijue maana ya hicho kipimo cha sukari kwenye damu, kuna ndugu kapima kapata hayo majibu dactari mmoja kasema iko chini sana na mwingine kasema ni ndogo sana...
Mimi ni mjamzito nilikuwa nasikia dalili za UTI nilipoenda kupima nikaambiwa ninayo.
Nikaandikwa Amoxillini nilipomaliza hiyo dose nilikaa siku moja mwili wote ukawa na vipele.
Nikarudi...
Habari zenu,
Kilichonileta hapa ni kutaka ufafanuzi kama niko na tatizo au ni kawaida. Tukija katika mapenzi kwa upande wangu huwa napata hamu kubwa sana isiyo ya kawaida.
Ute unatoka kibao...
NIMEGUNDUWA FAIDA MPYA YA ASALI NDANI YA MWILI WA BINADAMU
Asali kama tujuavyo ni dawa nzuri kwa binadamu haswa utakapo tumia ukiwa mzima au mgonjwa itakusaidia kukutibu na
haina madhara kwa...
FAIDA 10 ZA KULA MATANGO NA MATIKITI MAJI
Ulaji wa matango na matikiti maji husaidia kuboresha kiwango cha maji ambayo huitajika mwilini, hii ni kutokana na matango kuwa na kiwango kikubwa cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.