Pilipili ni ndugu zetu toka katika falme za mimea ( plant Kingdom).
Kama ninavyosema, na leo narudia, Kila kiumbe kina roho na mwili, hivyo hakina kazi moja tu, kila hicho kina kazi zaidi ya...
Wakuu nauliza kwenu tena hivi Temeke hospital kuna kipimo cha MRI?
NIna mgonjwa wangu anaumwa kichwa sanaa hawezi kuongea Wala kutembea vizurI.
Alianza kuumwa kifua anakohoa sana mpaka damu...
Leo hii ukienda hospitali za seriakali afu ndo ujauzito wa kwanza ukitoka upasuaji haujakuhusu basi mshukulu Mungu.
Enyi watu wa afya wahurumieni akina mama upasuaji usio wa lazima ni faida kwenu...
Shalom wakuu…
Unatumia mswaki brand gani nzuri? Maana miswaki yetu hii ya whitedent ya jero jero ukiswakia mara chache tayari haifai.
Brand ipi nzuri wakuu?
Jamani naumwa asidi tumboni nimebadilisha mfumo mzima wa maisha dawa nimetumia lakini wapi
Naumwa kifua, mabega maumivu yanasambaa mpaka kwenye maziwa yaani sina raha, ninapata stress hamu ya...
Habari wana jamvi leo nataka munisaidie kitu mwenzenu huwa najiskia vibaya sana baadhi ya muda na ninapokuwa najiskia hivyo sehemu ya kichwa ndio inahusikia asilimia 100% kama nahisi kichwan kuna...
Natumain ni wazima wa afya kwa mtu yeyote anaweza nisaidia jina la dawa na sehemu ya kuipata kuondoa michubuko sehemu ya haja kubwa pembeni ule utandu utandu wote uondoke
Hivi, Kazi ya chupi ni nini?
Ukivaa haijulikani, usipovaa haijulikani. Ikionekana unaambiwa umekaa uchi, ukiwa uchi utasikia hajavaa chupi. Sasa Chupi ni ya nini?
Tendo La Ndoa:
Tendo la ndoa ni sehemu muhimu ya maisha ya mwanamke, siyo tu kwa ajili ya mahusiano, bali pia kwa afya ya mwili, hisia, na akili.
Mwanamke anaweza kufurahia tendo la ndoa ikiwa...
1. Stay Hydrated
• Drink 2-3 liters of water daily to flush out toxins and prevent kidney stones.
• Avoid excessive caffeine, alcohol, and sugary drinks.
2. Eat a Kidney-Friendly Diet
• Reduce...
Bado naendelea na usafi wa nyumbani kwangu kama kawaida,muda huu ndio nimemaliza kusafisha bathroom yangu na sasa natumia astra badala ya dettol.Leo naongelea dawa ya meno,je wewe mwenzangu...
Habari zenu,
Natafuta tiba ya ugonjwa wa oral thrush (ramani kwenye ulimi) ambao umekaa muda mrefu bila tiba.
Ugonjwa huu ni kama kwenye picha hii niliyoambatanisha:
Ni neema kwa Tanzania: kile kikombe cha Babu kutoka Loliondo kimethibitishwa na Taasisi ya tiba Asili-Muhimbili kuwa kinatibu magonjwa yote yaliyosemwa na Babu wa Loliondo ikiwa ni pamoja na...
wakuu,
Mimi nimeugua kuanzia 2021 hadi leo miaka minne. Nipo nahangaika.
Naumwa ugonjwa wenye tiba lakini wenye usugu wa dawa. Yaani kwa kifupi ni sikio la kufa.
Nadhan wapo wengine ambao...
📌 Kukosa Ute Katika Kizazi cha Mwanamke
Kukosa ute wa kutosha kwenye kizazi kunaweza kuathiri afya ya uzazi na maisha ya ndoa. Hii inaweza kuwa ishara ya mabadiliko ya homoni au matatizo ya...
📌 P.I.D: Ugonjwa wa Maambukizi ya Via vya Uzazi kwa Wanawake
⚠️ Je, unajua kuwa PID inaweza kuathiri afya ya uzazi ikiwa haitatibiwa mapema?
🔴 Dalili za PID:
1️⃣ Maumivu makali chini ya tumbo...
Habarini
Nina ujauzito nimepima
Nikaenda kufanya na ultrasound
Sasa ivi napata mwez wa 6 wa ujauzito wangu
Nimekuja Leo hospital kupima sound mimba inasoma Ina week 2
Si umwi kokote mwilini...