Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Wana jamvi naombeni ushauri mume wangu akila nyama ya kitimoto na mbuzi anapatwa na viupele vikubwa mgongoni vyeusi na kuwashwa ameacha kula bado vinamtokea vinakuwa kama chunisi ngumu nyeusi na...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Let me jump directly to the point. Hivi ni kwa nini mwanaume fulani anakuwa na kaumbele kadogo mno ka uume na mwingine hapana? Mi sababu yangu moja inaweza kuwa kumfanyia tohara mara tu baada ya...
3 Reactions
32 Replies
14K Views
HELLO WA MMU Jamani nina shida inanisumbua kichwa mpka na usingizi nimekosa...iko hivi wife wangu alijifungua 28/06/2016...baada ya mwezi mmoja na ka wiki mbili 15/08/2016 akchoma sindano ya...
1 Reactions
91 Replies
13K Views
Habari, mimi ni kijana wa umri wa miaka 24. Nimekuwa na maumivu ya mwili viungo haswa upande wa kushoto toka shingoni, begani, mkononi, kwenye nyonga mpaka mguuni. Pia kichwa kimenisumbua muda...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Ninatatizo la kujihisi mwilini haswa kwenye mbavu,miguuni na kichwani kuna vitu vinatembea mwilini haswa mida ya usiku. Msaada wenu wanajamvi... Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari humu ndani.... Nahitaji ushauri wenu hapa...kuna binti nina uhusiano naye kwa kipindi cha miezi mitatu....tangu nianze naye uhusiano kaona siku zake mzunguko mmoja tu mara mbili badala ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Toka niko mdogo na sasa nimekuwa nilikuwa naambiwa eti inawezekana mwanamke akang'ofolewa kizazi endapo atasex na mwanaume mwenye uume mrefu. Sasa nawaza kuwa huo uzazi unaosemewa hapo ni uterus...
0 Reactions
39 Replies
8K Views
Pearl Cantrell, 105-Year-Old Woman, Says Bacon Is Key To Longevity A 105-year-old Texas woman who worked a life of physical labor and mothered seven children revealed the secret to her longevity...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hamna dawa ya kuongeza uume, iwe ya hospitalini au ya tiba za asili, usdanganyike
0 Reactions
6 Replies
971 Views
Proplylene glycol Glycerol monosteate Polyglcerol monosteate Or all known as Emulsifier (E1520,E475 and E471). Asanteni Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama kichwa cha topic kinavyosema, naombeni ushauri juu ya hili la kula kwa mtoto wangu mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi nane. Amekua hapendi kula kabisa na tumemjaribu kwa kila chakula...
1 Reactions
1 Replies
722 Views
... JINSI PUNYETO (MASTURBATION) INAVYOATHIRI SUALA LA NGUVU ZA KIUME. 0687744030 Kama wewe upo kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii utakuwa umeshaona jinsi magroup ya mambo ya picha za uchi na...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Kitimoto ni noma, piga nusu kilo kavu huku ukishushia na konyagi, mbona utasahau kabisa habari ya mchuzi wa pweza?
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Msaada plzzzz jf doctors nina miezi mitatu tangu niolewe najitahid kufuaatilia ovulation days ilinipate ujauzito nmeambulia patupu na cycle yang inabalikabadilika 28,29&30 naomben ufumbuzi...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
KWA NINI KIHARUSI MARA NYINGI HUTOKEA BAFUNI AU CHOONI. *Nawashauri watu msioshe kichwa na nywele mwanzo mnapo anza [emoji371]kuoga! Ni makosa makubwa haya, hii inasababisha kubadilisha hali ya...
9 Reactions
19 Replies
2K Views
Doctor mama yangu ana pressure ya kupanda je anaruhusiwa kutumia asali na maziwa je anaruhusiwa kula miwa pia.ntashukuru kwa majibu yako. IRON LADY!!!!
0 Reactions
3 Replies
691 Views
Madaktari wa humu ndani naombeni Msaada kwa tatizo hilo hapo juu. Riwa, MziziMkavu et al Thanks Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Nataka kujua utachukua muda gan Kwa mtoto kuanza kucheza tumboni. Maana kuna mwanamke hapa inaenda wik ya 20 ya ujauzito lakn bado Hakuna movement yoyote. Ushauri unahtajka tafadhar na km kuna...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Je kunamadhara yanayoweza kumpata mtoto pindi mimba imeingia kwa bahat mbaya na mama alikuwa anatumia vidonge vya uzazi wa mpango??
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Wadau, nahitaji mawazo yenu kwani naogopa kumpa mimba msichana wangu Ahsante Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
0 Reactions
79 Replies
17K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…