Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Naomba nisaidiwe!kwani nahisi kukauka kwa midomo na tumbo kuuma kwa mbaali upande wa kushoto pamoja na kukosa ladha yachakula chochote nnachokula!!nilienda kupima hospita!mkojo,typhod,malaria n...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
msaada wa mawazo ya kiafya wakuu kuhusu hili.
1 Reactions
30 Replies
6K Views
Habari! Kama kichwa cha habari kilivyo, karibuni wataalamu kwa maoni na ushauri. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
7 Replies
24K Views
Nina mke wangu anatatizo naombeni ushauri, mke huyu huwa anamzunguko wa siku 28 (hedhi). Kuna kipindi aliugua kama maupere mwilini, mfano wa surua, akanywa dawa za kienyeji, baada ya kunywa dawa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nawashukuru wote mlionipa ushauri kwenye hii post yangu Wanaume mnasababisha tuwe wanene, Mungu anawaona! kusema kweli imekuwa shida kwangu kupungua maana tatizo lipo palepale .Nimeona niache tu...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
za leo. Ni miaka mitano (5) sasa mgongo unaniuma sana tena mno. Wengi waliniambia kwa kua umetoka kujifungua, na nilijifungua kwa njia ya kawaida. kuna miaka mi2 nyuma uliacha sasaiv umeludia...
0 Reactions
18 Replies
15K Views
Wangwana kuna rafiki yangubkaniuliza suali hili:- Mke wake amejiifungua kwa kawaida ila njia ilikia ndogo akaongweza na akashonwa vitango 7. Hadi sasa ni siku ya 20 mwanamke alizuiya damu siku...
2 Reactions
49 Replies
12K Views
Imekuwa ni kawaida kwa kichanga cha wiki tatu kulia sana hasa nyakati za usiku ni kwanin? Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
74 Replies
15K Views
Wakati nasoma sekondari kuna dada alikuwa hadi anazimia mara adondoke yaani tabu tupu. AKIPELEKWA HOSPT MADAKTARI WANATUULIZA je ana mpenzi?( maana tulikua tunatoka sehemu moja hivyo tulikuwa...
0 Reactions
46 Replies
9K Views
A baby boy who looks like an 80-year-old man actually has a rare condition known as progeria,which causes him to age quickly and affects just one in four million people. This baby Born in...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
  • Closed
MAMILIONI ya watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (VVU) ulimwenguni, sasa wanaweza kupata tumaini jipya baada ya wanasaynsi wa nchini Isreali kugundua dawa ambayo inasemekana kuwa na uwezo mkubwa...
22 Reactions
311 Replies
84K Views
Serikali yetu kushirikiana na Wizara ya Afya wakiwa na mkakati wa kupunguza/kudhibiti/kuzuia Kabisa vifo vya mama wajawazito sio mbaya tukiangalia dalili za hatari kwa mama wajawazito. Hizi ni...
0 Reactions
0 Replies
15K Views
Naomba ufafanuzi wa kitaalam" vipimo vya ukimwi vinasemaje kwa mtu mwenye blood group O"? Kuna dada mwenye blood group O kazalishwa na mwathirika lakini kila wakienda kupima yeye na mtoto hawana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nina tumaini wote mko salama. Naomba niulize yeyote mwenye ujuzi na hili jambo anisaidie. Takribani miaka miwili iliyopita,wife amekuwa na kitu kimevimba,ukimuona utahisi mjamzito,alienda...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
habar wanajamii samahani naomba kuuliza kama mwanamke akiwa na ujauzito wa mwezi mmoja ama miwili akinywa dawa ya tumbo ya flagil itasababisha kuharibu hiyo mimba? nawasilisha
0 Reactions
9 Replies
115K Views
Habari kama kichwa cha habari kilivyo. Nina mtoto wangu mtundu kweli katika kucheza cheza huko wenzake wamemleta akiwa analia wanadai ameanguka na damu zinamtoka mdomoni kumuangalia meno yameshuka...
0 Reactions
2 Replies
708 Views
Habari wakuu.NImekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kujaa mate mdomoni,hali hii inanitisha make inafikia hatua nikiwa nazungumza inanibidi nitulie kwa muda ili nimeze hayo mate kwanza.Si mzungumzaji...
2 Reactions
4 Replies
16K Views
Wakuu habari za mihangaiko Bila kupoteza muda niende madani kuna rafiki yangu kipenzi ameniomba ushauri ila nimekosa jibu. Jamaa kaniambia kuwa Jana wakati anasex na mpenzi wake kitu cha ajabu...
7 Reactions
130 Replies
40K Views
Ni vitu gani hasa vinasababisha mimba kuharibika?mchango wako ni muhimu katika hili
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Sitaelezea zaidi hapo wadau mwenye jibu naomba majibu ili niongeze madini kichwani.....
0 Reactions
45 Replies
18K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…