Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habari wadau, Hivi inawezekana binti akashika ujauzito siku ya kwanza ya kutoka bikra yake?? Nawaza kwa sauti na msongo wa mawazo pia.
1 Reactions
29 Replies
14K Views
Msaada tafadhali kwa anayejua ni asilimia ngapi ya kina mama wajawazito hufariki na je ni asilimia ngap ya watoto hufariki baada ya kuzaliwa hadi kufikia umri wa miaka mitano? Ipi ni idadi kubwa?
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Msaada wa dawa ya uhakika jamani....naamini nina UTI sugu kwa maana kila ninapokuwa Faragha na wife baada ya muda anahisi kuwashwa na akipina anapatikana na UTI. Kuna wakati mimi napata burning...
0 Reactions
6 Replies
14K Views
Habari wapendwa katika bwana, Naomba niende kwenye hoja moja kwa moja Tatizo langu ni tumbo kujaa hewa na kupelekea moyo kwenda kasi na wakati mwingine pumzi inabana hasa baada ya kula , yaani...
4 Reactions
42 Replies
5K Views
Habari zenu ni matumaini yangu muwazima wa afya, pia poleni kwa mihangaiko ya maisha ya kila siku Niende kwenye mada. Kuna jambo huwa linanishangaza sana, ikitokea mtu amekula sumu (bahati mbaya...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Ndugu wana jf, kuna ishu hi ya female genital mutilation imekuwa ikikemewa sana na mataifa ya magharibi kuwa ni tamaduni ambazo hazina umuhimu na ni zakukemewa. Kwa mtizamo wangu naona hii ishu...
2 Reactions
60 Replies
11K Views
Jana mida ya sa nane mchana maji yaliniingia sikioni. Mpaka sasa sikio moja la kulia limeziba. Naombeni msaada nifanye nini ili maji yatoke nirudi kwenye hali angu ya kawaida?
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Wadau habari zenu mke wangu ana mtoto wa mwaka mmoja na miezi minne (miezi 16), tena alijifungua kwa operesheni na sasa amepata tena ujauzito. Nisaidieni *Je, kuna madhara yoyote anayoweza...
2 Reactions
52 Replies
13K Views
USHAURI MUHIMU UKIWA UKO PEKE YAKO NJIANI NA UMEPATWA NA SHAMBULIA LA MOYO (HEART ATTACK) CHUKUWA TAHADHARI. Chukulia ni muda wa saa 1:25 usiku unarudi nyumbani peke yako, baada ya kazi ngumu...
5 Reactions
2 Replies
2K Views
Tumekuwa Tukisia Kuwa Wanawake Hukoma Kupata PERIODS au HEDHI Zao Wakiwa Na Miaka Kati Ya 48 Hadi 53. Sasa Na Mimi Pia Naomba Kuuliza; Je, Hivi Huwa Kuna UKOMO MAALUM Wa UUME Wa Mwanaume Kuacha...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Mtu akila sumu (poisoning by mouth) anahitaji kufanyiwa huduma ya kwanza haraka sana. Sumu iliyoingia tumboni inaweza ikapunguzwa nguvu kwa kunywa maziwa Fresh au maji mengi. Halafu mgonjwa...
2 Reactions
9 Replies
18K Views
Naomba msaada mimi nina tatizo nikipiga bao la kwanza nachelewa kuamsha tena isia na nikiamsha uwezo unakuwa mdogo sijui nitumie dawa gani
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari Za mapumziko ya wikendi. Tangu niingie humu ni mengi Nimejifunza na hata kupitia maswali mengi ya watu tofauti kuhusu maisha. Namimi leo ninaomba kufahamamishwa juu ya tatzo hili la...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu, Naomba Nesi amabye yupo St. Francis Ifakara anitafute Pm. Asanteni.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ilianza kama sehemu za mwili kuuma tu ilianza kidogo chini ya mgongo juu ya kiuono kidogo yaani maumivu yanayokuja na kuondoka baada ya kudumu kama sekunde 30-45 ivi. Maumivu yakapanda mpaka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau nina sumbuliwa na mishipa naomba mnijulishe Daktari Bingwa nimweleze tatizo langu.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau Habari za leo? Mke wangu alishika ujauzito baada ya siku kama 15 hivi akapata maumivu makali sana ya tumbo chini ni ya kitovu akatokwa na damu kidogo sana. Ikabidi nimpeleke hospitali...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Anaweza fafanu ugonjwa wa myasthenia gravis
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Huduma ya kurekebisha meno naipata wap kwa hapa dar na kwny malipo nitumie kadi yang ya NHIF
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…