Habari wakuu...!!!
Heshima kwenu nyote, wadau na wapenzi wa jukwaa hili na JF's members wote kwa ujumla!!
Shukrani za dhati na za kipekee kwa wale wote wenye moyo wa kujitolea maarifa...
Asalam aleykhum wana JF Doctor ninatatizo la kushindwa kusimamisha uume vizuri, ninapotaka kufanya jimai au ninapoona kishawishi chochote kitachonipelekea kupata hisia za mapenzi uume husimama...
Shukrani sana ziwaendee wakuu humu jamvini.
Mwishoni mwa wiki iliyopita nilileta Uzi wangu humu kuhusu mke kuchelewa kujifungua hadi wiki la 41 mwishoni....nilipata ushauri safi na ulionifanya...
Habari za asbh wataalamu wangu wa mambo ya kisayansi.
Bila kupoteza muda naoma kuweka mada yangu(swali langu) kwenu, liko hivi:
-Kama baba ni mchezaji wa mpira wa miguu namba kumi na moja(11)...
Naombeni msaada ndugu zangu. Nina mtoto wa kiume miaka 7 ana tatizo la kuvimba korodani moja ya kulia, kuna wakati inarudi kawaida ila Mara nyingi inavimba nimempeleka hospital wamesema ni henia...
Habari wapendwa humu, naomba msaada wa anaejua matibabu ya kupona kabisa uric acid ikiwa juu wilini, ninatatizo hilo mara kwa mara napima nakuta iko juu napewa dawa ya aloplunol inanisaidia kwa...
Wana Jf nimeona niwape ushuhuda baada ya kupona uti Kwa kunywa bia ya castle Kwa wiki kutwa Mara tatu.
Nilifanya kama utani hivi sasa mkojo mweupe sio njano tena nikaenda Pima hamna uti.Jaribu...
Ni kama siku nne zimepita, ilikuwa jumanne this week usiku nilikunywa dawa za mafua za chenga chenga sijui trof zileee. Asubuhi niliamka ngozi inayofunika korodani imechubuka na niligundua baada...
Hatimaye baada ya vipimo/check up niliambiwa ni uvimbe unatokana na kuvizia damu eneo ilo. Sababu kasema ijapo watu wa tatizo wapo Mara kwa Mara ila sababu hasa ya uhakika haijajulikana. Akasema...
Wakuu JF,
Kwanza kabisa habarini za miaka, nilipotea kwa sababu za mihangaiko ya hapa na pale. Nchi imegeuka na sasa ni kufanya kazi kwa bidii.
Lakini pamoja na yote haya, kuna rafiki yangu ana...
Broccoli inafanana na cornflower isipokuwa ina rangi ya kijani. Inapatikana soko la Kisutu, Mwenge
FAIDA ZA BROCCOLI MWILINI
1. Mfumo wa Neva: Inasaidia kufanya mfumo mzima wa neva kufanya kazi...
Ndugu wanajukwaa naomba niende moja kwa moja kwenye maada
Kuna hili tatizo la kuota vipele vyenye kuwasha na pia husabisha hata nywele kutoota mahali vilipo tatizo hili linawapata sana...
Habari ndugu zangu.
Mara ya mwisho kuingia siku zangu ni Octoba 30, hadi leo hii December kimya inapita tu siielewi na nimepima UPT sina ujauzito, wakati chuchu zinauma na wajati mwingine...
Nimekuja na ushauri huu kutokana na kuwa madaktari kunawkt km wanabahatisha vile na ukija kufika Muhimbili utaambiwa tatizo co hilo na unakuta umepoteza muda na pesa na ugonja umefika pabaya.
Kuna...
Wasalaam!
Naomba msaada kwa wadau wenye uzoefu namna ya kupanga na kupata mtoto wa jinsia flani kwa mwanamke ambaye siku zake hazipo costant, je wenzetu huko mnafanyaje?
Kwa wakubwa tu, watoto...
Wadau nataka nianze kutumia dawa kwa ajili ya kupata usingizi ule mzito zaidi.
Maana nina mawazo na stress zinazonifanya nikose usingizi kabisa usiku kutokana na kufikiria mambo mengi kuhusu...
Habari wakuu wa humu JF,Mimi ni mnene sana Nina 105 kg nimepima Juzi.
Najitahidi sana kufanya Mazoezi lakini sipungui,Kwa kweli nauchukia unene kuliko kitu chochote na mbaya zaidi Nina kisukari...
Huenda tumewaona wengi wao kama mashujaa, vijana wa kisasa au hata dada zetu wanaokwenda na wakati, kumbe ni wagonjwa wa akili.
Unasikiliza taarifa ya habari jioni. Unasikia kuwa, mwanamume...
Habari za wakati huu ndugu zangu wa jamii forum...
Naomba niwakilishe tatizo hili.. nina mpenzi wangu ana tatizo la figo. Ameenda kwa madactari wamemwambia figo yake ya upande mmoja imeshuka kwa...