Msaada juu ya ugonjwa wa figo kushuka

njoo kwetu

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
801
1,788
Habari za wakati huu ndugu zangu wa jamii forum...
Naomba niwakilishe tatizo hili.. nina mpenzi wangu ana tatizo la figo. Ameenda kwa madactari wamemwambia figo yake ya upande mmoja imeshuka kwa hyo hawezi kufanya kazi ngumu na wakati wa period anapata maumivu makubwa sana inapelekea mpka kushindwa kusimama kwa siku zote 4 anapokuwa period.
Naombeni ushauri wenu naamin humu kuna madactari wa zuri na wenye uzoefu... ni hayo tu.... naomba msaada..
 
Aende kwa mabingwa hiyo inaitwa ectopic kidney! Watamsaidia kuofanya Idrain mkojo ila kuirudisha kwy oroginal position mmh! Labda utupe mrejesho
 
Back
Top Bottom