Msaada: Mtoto kuvimba korodani moja hakuna dawa zaidi ya upasuaji?

Mshikemshike

JF-Expert Member
Dec 29, 2012
421
208
Naombeni msaada ndugu zangu. Nina mtoto wa kiume miaka 7 ana tatizo la kuvimba korodani moja ya kulia, kuna wakati inarudi kawaida ila Mara nyingi inavimba nimempeleka hospital wamesema ni henia.

Anatakiwa afanyiwe upasuaji, je kwa umri wake hamna dawa zaidi upasuaji maana nina wasiwasi sana kuna mtu kanitisha uko mbele anaweza asiweze yale mambo yetu. Nisaidieni kwa ushauri.
 
Acha imani za kuambiwa,mpeleke mtoto hospital atibiwe. Hernia inatibiwa kwa njia ya upasuaji tu. Labda awe na tatizo jengine.
 
If ni orchitis(inflammation of testicles) inaweza kutibiwa bila surgery na mara nyingi huwa inaondok yenyewe, but kama ni hernia kama ulivoambiwa ni bora tu uwahi afanyiwe upasuaji coz hakuna tiba nyingine mbadala ya hospitali zaidi ya upasuaji…!!
 
Back
Top Bottom