Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habari wana JamiiForum, Naomba kutambulisha kwenu AfyaTrack App. Application ya kwanza Tanzania kumuwezesha mama mjamzito na walezi wa mtoto chini ya mwaka mmoja kufuatilia maendeleo ya ujauzito...
2 Reactions
9 Replies
5K Views
Wadau kama mada inavosema, juzi nilienda hospital nkakutana na Dokta wa macho coz nna tatizo la kutokuona vzuri hasa mtu akiwa mbele yangu mita 50, baada ya dokta kuyachunguza macho yangu...
0 Reactions
27 Replies
7K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,naombeni msaada wa ushauri au hata tiba ninaimani hapa kuna watu wenye ujuzi na wataalamu wa masuala haya hivyo naombeni msaada.
2 Reactions
41 Replies
5K Views
Wadau habarini za usiku. Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza mchumba wangu amepatwa na hilo tatizo na tumejaribu Kuwaona wataalam wamempatia dawa lakini tatizo bado na si mara ya kwanza...
0 Reactions
90 Replies
33K Views
Wakuu Habari zenu.. Naomba Kujuzwa.. Ni hospitali gani dar es salaam watoa huduma ya chanjo ya Manjano?(yellow fiver)... Je bei yake ni kiasi gani? Wanatoa huduma Kila siku au Kuna siku maalumu?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari za leo wanajamvi.. Ninasumbuliwa sana na maumivu ya mkono wa kushoto yaani unauma hasa wakati wa usiku, sijajigonga mahali au kuulalia vibaya hapana umeanza tu kuuma muda sasa. Maumivu...
4 Reactions
13 Replies
13K Views
Ulimwengu wa sasa umejawa utandawazi mwingi.. Wadada wanatembea nusu uchi.. Picha na video kibao za ngono.. Hizi huathiri wanaume wengi maana wanakuwa wamekwisha yazoea maumbile ya mwanamke...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi huanza ghafla au polepole ambapo mwanzo mwanamke alikuwa akipata siku zake katika utaratibu unaoeleweka lakini mara haelewi au hajielewi namna mzunguko wake...
0 Reactions
2 Replies
20K Views
Habari Wadau Kwa wataalum niambie hivi hichi kipimo kinaitwa ECG kinapima nini na gharama yake ni kiasi gani na kinapatikana katika hospitali gani ha jijini?
1 Reactions
2 Replies
9K Views
Hi wadau! Naomba kuuliza kwa nayefamhamu. Je Bima ya NHIF inalipia kipimo cha MRI??
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Za leo ndugu wapendwa ninaomba msaada wenu ni na dalili za mimba ila nimeona siku zangu miezi miwili mfululizo na mwezi wa kwanza nilipima sikua na mimba maziwa yanakua yamoto nahisi maumivu kwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Salamu wapendwa, Mwenzeni nimepata ajali kidogo ya kuchomwa na msumari mguuni. Maumivu yake hayaelezeki jamani mguu umevimba kiasi maana kama nchi moja imeingia. So nitumie dawa gani wapendwa...
2 Reactions
57 Replies
24K Views
Habari za majukumu wadau,naomba kuliza hivi ni kweli kuna dawa ya kuongeza uume dunian?
0 Reactions
9 Replies
16K Views
Mimi huwa napenda Sana kucheki afya yangu na hasa vipimo vikubwa Kama H.I.V ninaweza kucheki mara 3 kwa mwaka au chini ya hapo ila mwenzagu yeye ni mbishi wa kupima H IV balaaa...
7 Reactions
56 Replies
5K Views
Habari wanaJF. Pls naomba kufahamishwa yanapopatikana mafuta ya mwarobaini. Msaada pls
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Dooo doctor mimi sasa hii yapata mwezi na nusu naona dalili za ambazo zinanitisha, mwazoni kabla nilikua nasumbuliwa na homa za hapa na pale nikaendae mnazi mmoja nikapata vipimo vya kawaida sina...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Kwa mwenye kuijua hii dawa naomba maelezo kidogo, Nimesikia ni dawa nzuri ya asili ambayo inatibu magonjwa mengi ya mifupa mana mzee wangu kuna mguu unamsumbua na kuna mtu kanambia niitafute hii...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naitaji dawa tajwa hapo juu inaitwa progesterone hii dawa ni maalum kwa watu wenye homon balance Nimetafuta maduka makubwa hapa dar nimekosa Thanks
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habarini waungwana na shughuri zenu... Lengo la kuandika Uzi huu ni kuomba msaada kwa anaefaham hali iliyonikuta Leo. Sina kawaida ya kula Nazi na maji yake, lakini niliamua kunywa yale maji...
1 Reactions
3 Replies
792 Views
Kwanini Wanawake wote wanaonipa ushirikiano wao wa Kingono ( namaanisha ninaofanya nao ngono / mapenzi ) huwa nikishamaliza tu ' Kuwakojolea ' manii yangu ndani ya muda mchache tu huwa wanakuwa...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…