Msaada wenu Dr's humu jamani nimeungua na moto wa gas baada ya kutokea mlipuko wakati napika maeneo niliyoungua ni usoni mpaka sasa nimetumia asali pekee kama tiba ya huduma ya kwanza.
Naombeni...
Njia hii ya kwanza hutumika hata kwa aliye fungwa kizazi, nguvu za kiume , ama kuna mtu au kitu unataka kusahau kabisaa hapo ni wewe na nia yako Allah ndiye mjuzi zaidi.
NJIA YA KWANZA
Chukua...
Kwa mda wa miaka 18, jicho langu la kulia liliugua likaacha kuona,saivi halina mtoto wa jicho,je naweza pona? kulingana na mda ambao nimeshindwa kulitibia kwasababu ya Ukata
Mtindi unaorodheshwa kuwa miongoni mwa vyakula bora kutokana na kuwa na virutubisho vingi vya aina mbalimbali ambavyo vina faida nyingi katika mwili wa binadamu.
Vikitajwa kwa uchache...
Wakuu, ni siku ya tatu sasa naumwa sana shingo upande mmoja. Hii sijui imetokana na nini? Pengine ni kulala vibaya kwa sababu nimetoka nje ya Dar niko mkoa now so ninalalia kitanda 'kipya'.
Hapa...
Wakuu wa Vitengo habarini!
Nina tatizo ambalo silielewi ni miezi miwili sasa napata choo uharo kila ninapo pata haja ila sijioni kama naumwa kabisa.
Najiona niko poa kiafya wala sipati maumivu...
NENO KUHUSU MAGONJWA YA AKINADADA NA AKINAMAMA
- MAGONJWA YA AKINAMAMA YAMEUCHACHAFYA ULIMWENGU TANGU ZAMANI SANA
*Padri Titus Amigu*
Nadhani tumejipatia muda mrefuna wa kutosha kujadili mada...
Kwema wa wana JF?, bila shaka swali lipo clear na naamini Madoctor kwa ufasaha kabisa.
Baada ya tafiti zangu kutoka kwa wanachama wa Punyeto mashughuli wamenithibitishia kuwa fanya ufanyavyo...
Wapendwa kama kichwa kinavyosema hapo.Kumekua na kauli nyingi juu ya kitendo cha kupiga punyeto na kubaki wakishutumiwa wanaume pekee.Kwanza ningependa tutambue punyeto ni nini.
Punyeto ni...
Habarini wana Jamii
Naswali je ni kawaida kwa mtoto baada ya operation amekaa wiki 2 alikuwa hakoromi ila wiki ya 3 ameanza kukoroma naombeni mawazo yenu.
Tar 30/01/2018, nilienda na mama kijacho wangu ktk zahanati moja ya Serikali kwa lengo la kuanza Kriniki kama nimepatia, na tulienda wote hiyo siku ya kwanza kwakuwa kanuni na taratibu zinataka...
Nina group la damu AB yaani kwa mwezi lazima niugue homa na malaria kuu sina raha ya kuishi duniani. Nimepima magonjwa yote yasiyo na tiba sina. Wataalam nisaidieni.
Tafadhali kwa mdau yeyote mwenye ufahamu wa hii biashara ya kupima magonjwa mbalimbali tuwasiliane au aweza kutoa elimu hapa ili itusaidie wote kukamata fursa.
Shukrani
Uchunguzi mpya umeonyesha kwamba, katika tunda la komamanga kuna kemikali zinazozuia kansa ya matiti isitambae mwilini.
Uchunguzi huo uliochapishwa katika jarada la Utafiti la kuzuia Kansa...
Binafisi nashidwa kujua ni muda au miezi mingapi mama mjamzito anashauriwa kuacha kushiriki tendo la ndoa na kama atashiriki ndani ya muda huo ni madhara gani yataweza kutokea kati ya mama au mtoto.
IIgwee JF,
Nina mtoto wangu anapotumia dawa ya kusaidia kupumua kama vile amoxcilin huwa akivua chupi huwa imejaa uchafu.
Je, hili linatokana na nini na nini nifanye kuondosha tatizo lakutoka taka?
Ni kuhusu virusi vya ukimwi.
Nina dada angu ni nesi hospitali flani sasa mwezi huu alikuaja likizo nyumbani.
Bahati mbaya likizo yake ikaenda sambamba na mjomba etu kupata ajali ya gari na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.