Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Mabibi na Mabwana habari zenu? Niende mmoja kwa moja kwenye suala langu. Suala lenyewe ni kuhusu kiwango cha kasi katika kuongezeka watu wenye matatizo ya akili, binafsi nimejaribu kuwaza na...
2 Reactions
16 Replies
5K Views
Baadhi ya watu wamekuwa wakijenga hoja kuwa kuishi, kutembea au kusoma karibu na minara ya simu kunawaweka watu katika hatari ya kupata kansa au matatizo mengine ya afya. Lakini mpaka sasa hakuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu natanguliza heshima kwenu. Nimefanya kipimo cha MRDT (Malaria Rapid Diagnostic Test) kwenye zahanati mbili tofauti. Katika zahanati ya kwanza nilichajiwa sh. 2000 wakati katika zahanati...
0 Reactions
27 Replies
15K Views
mke wangu anasunbuliwa na maumivu ya tumbo ambapo huwa linawaka moto,huchomachoma,kuuma chini ya kitovu,kwenye kiuno na mgongo na wakati mwingine huwa kama ametoneshwa.
1 Reactions
4 Replies
953 Views
Habari, Kwanza kwa faida ya wale wasio elewa blighted ovum ni tatizo ambalo huwakuta wakina mama la kuharibika na hatimaye mimba kutoka. Naomba kwa wale wenye utaalam,uzoefu na wabobezi kwenye...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Samahani wataalamu wa afya rejea kichwa cha habari hapo juu nimetumia SP siku ya ijumaa nlikua na malaria 4, sasa nauliza baadae naweza nikanywa pombe manake nna kiu mbaya na nimepata mwaliko...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Inasababishwa na nini? Je, yapi madhara yake?
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Habari za jioni wapendwa,kama mada inavyojieleza hapo juu,nasumbiliwa na UTI huu ni mwezi wa pili sasa unaenda.nimemeza dawa zote nilizoshauriwa na dakitari lakini bado haijapona.niliandikiwa...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Habarini wanajamvi ninahitaji msaada wenu kuna vinyama kama vipele ila sio vipele vimetokea kwenye shina la uume , nilikuwa nataka kujua tatizo nini na tiba yake nini
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari za Jioni wana Jukwaa, Katika harakati za kupunguza uzito nimeamua kununua baiskeli ili niwe naendesha maana naona ni zoezi zuri sana kwangu. Tatizo linakuja hapa kila mwanaume ninaekutana...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Habarini za mda huu ndugu zangu wana jamii samahani naomba kusaidiwa kujua tarehe ya mama kujifuangua maana tarehe ya mwisho ya mama alipoingia period haikumbuki ila mimi nakumbuka nilikutana naye...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Wapendanao wakipeana raha hufika kileleni mara utaona dushe la mwanaume linatanuka aĺafu uke unabana, unasikia wazungu wanatoka na kuingia uĺaya na hapo mwanamke humwaga na yeye maji meupe...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wandugu nina mzee wangu ana 94 years anasumbuliwa na tatizo moja Kkla siku anaweza kupoteza kumbukumbu na kuishiwa nguvu kabisa kama kwa saa moja au mpaka matatu baada ya hapo, anapata...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu, Tatizo langu ndo hilo kwamba usiku kucha sipati kabisa usingizi, lakini kukishapambazuka ndio nahisi kulala. Sana mida kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi jioni saa 12 nakuwa na usingizi wa...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Habari wanaJf Kitaaluma si daktari, ila nimeona kwa wenye matatizo ya miguu kama mimi hii article inatufaa.Kwa hisani ya Azam tv Medicounter.
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Wadau nawauliza je Jakaya kikwete CARDIAC INSTITUTE wanatibu kutumia kadi ya strategies,kwani mwanangu anaumwa ugonjwa wa moyo na sina pesa kwa sasa hivi je wanapokea kadi ya bima ya strategies...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Faida za mmea wa aloe vera au mshubiri Na Fadhili Paulo kutoka fadhilipaulo.com 1. Huondoa uvimbe katika jicho Weka kiasi kidogo cha majimaji ya mu-aloe vera freshi kisha kuamka asubuhi...
0 Reactions
2 Replies
27K Views
Za jumamosi wapendwa.nisaidieeni mwezenu uti unanisumbua sana.nishaachoma sindano kama mara mbili,vidonge ndio usiseme, lakini hali imerudia tena. Sehemu za Siri nahisi kama inawaka moto,na...
0 Reactions
1 Replies
904 Views
Jamani naombani msaada, nina tatizo la kuugua magonjwa hayo matatu kwa muda wa miaka sita, nikitumia dawa napata nafuu ila baada ya wiki mbili nikipima na kuta bado ipo, hili tatizo linasababishwa...
0 Reactions
11 Replies
9K Views
Habari Wana JF, Mke wangu ana ujauzito wa miezi mitatu hivi, Mara nyingi anakua analalamika kua "tumbo linakua linavuruga", Naombeni ushauri wadau labda je hii ni ishara ya kawaida tu kwa...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…