Kipimo cha Malaria cha MRDT: Gharama halisi ni ipi? Kina kasoro zozote?

Asamwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2012
Messages
2,916
Points
2,000

Asamwa

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2012
2,916 2,000
Wakuu natanguliza heshima kwenu.

Nimefanya kipimo cha MRDT (Malaria Rapid Diagnostic Test) kwenye zahanati mbili tofauti.

Katika zahanati ya kwanza nilichajiwa sh. 2000 wakati katika zahanati ya pili nilichajiwa sh.5000.

Wizara ya Afya haihusiki kutoa maelekezo kuhusu bei ya hiki kipimo kwa hospitali zote?

Je, kuna kasoro au athari zozote za kutumia kipimo hiki?
 
ziehl neelsen

Member
Joined
Jun 7, 2014
Messages
44
Points
0

ziehl neelsen

Member
Joined Jun 7, 2014
44 0
Wakuu kama ilivyo ada skuizi wanadai shughli za kiafya zina kwenda ki technologia zaid zamani tulikuwa tuna pima malaria kwakutumia microscope ila saiv wanatumia MRDT kifaa ambacho huweza kusoma plasmodium ndani ya dakika 15 nakutoa majbu yake. 90% huwa kinatoa majbu ila 10% sicho cha kuamnika kutokana na hizi factor.

MRDT kina antgen hivyo kina hitaji antbody za mwli wa mwanadamu ili kiweze react nakutoa control result error inatokea iwapo una antbody yeyote mwlini basi kitasoma +ve kitu ambacho syo kwel, jambo lingne nikwamba waweza tumia dawa ya malaria na plasmodium waka be destroyd but stl antbody zkawa bado mwlini ukienda pma malaria utambiwa bado unayo kumbe malaria ilisha isha mwilini ila bado antbody zko mwili hvyo twashauriwa tuki tumia dawa ya malaria tukae atleast mwezi ndo tu tukapme na MRDT tena ili kuepusha false +ve.

Kosa lingine la MRDT huwa lajtokeza kwenye WINDOW PERIOD {time delay between antbody nad devlopmnt of antgen} hvyo waweza ambiwa auna malaria kumbe unayo hii yatokea sana ata kwenye HIV rapid test[SD BIOLINE,UN GOLD,DETERMINE,} hizi nazo zaweza Result ya uongo,,,!!!

Hivyo ushauri wangu kwenu wana JF ni better ukpma kwakutumia microscopy.

Nawasilisha
 
raymg

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2012
Messages
844
Points
195

raymg

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2012
844 195
mkuu unapotosha, MRTD inapima antigen na sio antbody kama ulivyo sema, hivyo kuwa na uwezo kuona malaria hata iliyo kwa placenta kwa wajawazito ambayo huwez ona kwa microscope! kumbuka is the only rapid antigen test available by now zingine zote n antibody test eg za HIV NA SYPHILIS, so haina window period
 
raymg

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2012
Messages
844
Points
195

raymg

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2012
844 195
sensitivity ya MRDT is 95% but can be reduced by either....too much buffer, too much blood, blood splatter, or use of incorrect buffer!
hizi zimeletwa maalumu ili kuondoa false +ve results zinazotoka kwa laboratory binafsi ambazo hazina hata standard microscope " the gold standard microscope" kwa ajiri ya kupima malaria!
remember si kila homa ni malaria
 
meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Messages
8,119
Points
2,000

meningitis

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2010
8,119 2,000
mada yako ina title ya kupotoshaji!
Bado microscopy ni gold standard lakini MRDT ni muhimu sana hasa hasa ukizingatia hiyo herufi ya pili....R for RAPID!
Kipimo hiki kimepunguza malaria za uwongo tulizokuwa tukizidiagnose!

Clinical malaria imepungua!
malaria imepungua!

Sababu moja wapo ya sababu ni MRDT
 
ziehl neelsen

Member
Joined
Jun 7, 2014
Messages
44
Points
0

ziehl neelsen

Member
Joined Jun 7, 2014
44 0
Meningts uko sawa dr sjabsha kuwa MRDT kina faa bali microscope itabaki yakipeke kwani ndyo yenye majbu ya kwel nishakwambia ukiwa na antbody yoyote mwln lazma MRDT itoe +ve result kwnye control band. Kinachfnya wa2 wasitumie microscpe ni kwamba ina west tme na wa2 wanaogopa kupewa majibu ya uongo mfano waku ambiwa m2 una malaria 3,5,6 kitu ambacho sicho kwel mtu laZma uwe una zaidi ya malaria 10 adi 20 kwa field 20 na waslisha kama nmekosea nirekebishe drs.
 
Nyamgluu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
3,141
Points
1,250

Nyamgluu

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2006
3,141 1,250
Meningts uko sawa dr sjabsha kuwa MRDT kina faa bali microscope itabaki yakipeke kwani ndyo yenye majbu ya kwel nishakwambia ukiwa na antbody yoyote mwln lazma MRDT itoe +ve result kwnye control band. Kinachfnya wa2 wasitumie microscpe ni kwamba ina west tme na wa2 wanaogopa kupewa majibu ya uongo mfano waku ambiwa m2 una malaria 3,5,6 kitu ambacho sicho kwel mtu laZma uwe una zaidi ya malaria 10 adi 20 kwa field 20 na waslisha kama nmekosea nirekebishe drs.
Una maana gani hapo nilipo bold?
Umemsoma raymg vizuri na taratibu?

Mimi nashauri watu watumie MRDT badala ya kwenda maabara za mitaani kwetu na kutumia microscopy. Ni asilimia kubwa sana tena mno ya laboratory technicians wetu kwanza hawajui namna ya kupima malaria na pili hawana mda wa kupima kwa uhakika blood slides zinazoingia maabara.

Kutokana na hili, MRDT is a better option than microscopy in Tanzania.
BS moja inahitaji si chini ya dakika 10 ku investigate. Tuna report mps/200 wbc. Kuhesabu tu mpaka 200 ki kawaia ni time consuming. Sasa technician wa dispensary au hospitali ya mkoa anakuta slide si chini ya 50 hapo unafikir kweli ataweza ku thoroughly go through and come with at least 80% sensitivity?

Mimi unless nikae mwenyewe kwenye microscope ila ni MRDT for me!
 
ziehl neelsen

Member
Joined
Jun 7, 2014
Messages
44
Points
0

ziehl neelsen

Member
Joined Jun 7, 2014
44 0
Xorry nme type error ts antgen 4 malaria parasite nat antbody!!!! Sawa nmpaka uptshe 100 field ndo upate reslt inaytakiwa kwa macroscpy ila kama kla field walau ina xoma 10 parasite basi waweza assment kuwa ana 10 plasmodium.ila ndo ivyo MRDT scho chaku amini 100%. Ivyo lazma ufanye uthbitisho na microscope.
 
Malabata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Messages
255
Points
0

Malabata

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2011
255 0
Mrdt is better than microscope because the plasmodium to be seen in by microscope it must undergo several staps until it reaches the blood stream.And this process too many days while in mrdt it identify antigens
 
Zogwale

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2008
Messages
12,562
Points
2,000

Zogwale

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2008
12,562 2,000
Hii MRDT karibu iniulie ndugu yangu. Alipima malaria haikuonekana ila akawa bado na signs za malaria. Tukampeleka lab ya microscope akakutwa na malaria tatu na kuanza dose na akapona. Ikatokea tena kwa mama yangu mzee na mpwa wangu MRDT negative wakati microscope positive. Hivyo mimi nikisikia dalili za malaria situmii kipimo cha MRDT kabisa.
 
ziehl neelsen

Member
Joined
Jun 7, 2014
Messages
44
Points
0

ziehl neelsen

Member
Joined Jun 7, 2014
44 0
Inatokea ila mara chache na kuhusu malaria 3 hapo umeliwa kaka amnaga m2 ana malaria 3 lazma uwe na malaria zaidi ya 10 hvyo basi izo mahabara za mtahani huwa awafanyi diagnoss inavyo takiwa bali huwa wanafanya kubashri kuwa una malaria bahada ya kusma dalili zote ivyo wanazngua kuwa una malaria 3.ebu jiulize katka field 100 utawezaje pata. Malaria 3????
 
King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,720
Points
2,000

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,720 2,000
What kind of presenting issues is thi? What kind of a doctor are you gonna be! Unaandika issue za kisayansi kama unamuandikia barua mchuchu wako wa form two. Hebu kuwa makini basi! Xorry, nme,antbody ndo nini?
Xorry nme type error ts antgen 4 malaria parasite nat antbody!!!! Sawa nmpaka uptshe 100 field ndo upate reslt inaytakiwa kwa macroscpy ila kama kla field walau ina xoma 10 parasite basi waweza assment kuwa ana 10 plasmodium.ila ndo ivyo MRDT scho chaku amini 100%. Ivyo lazma ufanye uthbitisho na microscope.
 
SNAP J

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Messages
5,223
Points
2,000

SNAP J

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2013
5,223 2,000
Meningts uko sawa dr sjabsha kuwa MRDT kina faa bali microscope itabaki yakipeke kwani ndyo yenye majbu ya kwel nishakwambia ukiwa na antbody yoyote mwln lazma MRDT itoe +ve result kwnye control band. Kinachfnya wa2 wasitumie microscpe ni kwamba ina west tme na wa2 wanaogopa kupewa majibu ya uongo mfano waku ambiwa m2 una malaria 3,5,6 kitu ambacho sicho kwel mtu laZma uwe una zaidi ya malaria 10 adi 20 kwa field 20 na waslisha kama nmekosea nirekebishe drs.
Umesema kweli
 
Joined
Jan 22, 2014
Messages
65
Points
95
Joined Jan 22, 2014
65 95
What kind of presenting issues is thi? What kind of a doctor are you gonna be! Unaandika issue za kisayansi kama unamuandikia barua mchuchu wako wa form two. Hebu kuwa makini basi! Xorry, nme,antbody ndo nini?
Yaani ilikuwa kidogo nimeze screen kwa hasira!!!! Hawa wadogo zetu mbona lugha za mtaani zimewaingia kiasi hiki? Wanaudhi sana. Eti xorry, xaxa, wanakeraaaaa
 
Tour De France

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2014
Messages
274
Points
225

Tour De France

JF-Expert Member
Joined Jun 12, 2014
274 225
Xorry nme type error ts antgen 4 malaria parasite nat antbody!!!! Sawa nmpaka uptshe 100 field ndo upate reslt inaytakiwa kwa macroscpy ila kama kla field walau ina xoma 10 parasite basi waweza assment kuwa ana 10 plasmodium.ila ndo ivyo MRDT scho chaku amini 100%. Ivyo lazma ufanye uthbitisho na microscope.
Waliokukosoa wapo sahihi. Unaandika kitoto sana kama mwanafunzi wa sekondari.au na huo nao ni ugonjwa maana tusikulaumu bure kumbe mwenzetu unaumwa.
 
Forum statistics

Threads 1,389,178
Members 527,857
Posts 34,019,144
Top