Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habari Wana JF natumaini muwazima Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 32 nasumbukiwa na maumivu ya kiuno sana mpaka yanapelekea nakosa hisia kwa shemeji naombeni dawa zakunisaidia kwani, CHANZO...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Asubuhi nikiwa baharini kwenye shughuli zangu nilipatwa na kiwashi, ni kiwashi cha rangi ya njano ambacho hujificha kwenye mwani wa bahari. Nimeenda Duka la dawa nikapewa dawa aina tatu zote...
3 Reactions
40 Replies
1K Views
Habari wadau nina tatizo unaenda mwaka sasa linanisumbua huu upande wa kulia kuna mabadaliko yani tatizo huwa linanianza ikifika mida ya jioni naanza kusikia maumivu upande kiuno kukaza mpaka...
1 Reactions
1 Replies
865 Views
Wadau nimekuwa muhanga wa tatizo Hilo tangu nikiwa balehe mpaka Leo hii nikiwa na umri wa miaka 27. Huwa janga hili linajitokeza mara Kwa mara nasikia uchungu sana haswa kwenye korodani Moja tu...
1 Reactions
1 Replies
446 Views
Unapaswa kujua kwamba Viagra haiongezei libido au kushughulikia sababu za kisaikolojia zinazokusababishia uwezo mdogo wa kudinda. Viagra (sildenafil) haikufanyi "udumu zaidi" moja kwa moja kwa...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Wanaume wengi wanapopoteza nguvu za kiume hudhani ni tatizo dogo la kawaida au la kiumri, lakini ukweli ni kwamba mara nyingi lina uhusiano wa moja kwa moja na magonjwa ya moyo. Zaidi ya viungo...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Wizara ya Afya imetoa maelekezo ya njia bora ya kutibu jino lililotoboka/kuoza badala ya kukimbilia kuling'oa. Jambo linalowafanya watu wengi wakimbilie kung'oa jino ni maumivu makali waliyoyapata...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanaume wengi hupoteza nguvu za kiume si kwa sababu ya uzee pekee, bali kwa sababu ya magonjwa ya mwili. Ukweli ni kwamba, zaidi ya viungo 50 vya mwili vinashirikiana ili kuhakikisha uume...
1 Reactions
1 Replies
786 Views
Nimeziba jino mmoja ya hospitali hapa mjini sio vizuri kuitaja jina kwa sababu nitaharibu biashara ya watu wakaikimbia Dar. Jino langu nimeziba zaidi ya mwezi wakuu siku ya kuziba nilichomwa...
1 Reactions
53 Replies
15K Views
Naitaji msaada, mwenye kujua tiba ya H. pylori nipo katika dozi ila bado nateseka natumia helgo kit namaliza jumamosi mwenye kujua tiba anisaidie.
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Nilipata maumivu ya jino yaliyopelekea sikio kuuma na kufika baadae nikapata kama presha katika sikio, ile hali kama kuna kitu sikioni au maji hivi. Ni siku mbili sasa jino limepona kelele...
3 Reactions
7 Replies
557 Views
Ni Ugonjwa wa akili ambapo mtu anaiga kuwa ana maisha mazuri au ana mali wakati kiuhalisia hana.. unajulikana kama Delusion of Grandeur. Delusion of Grandeur ni aina ya ugonjwa wa akili (kama...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Msongo Wa Mawazo Ni Nini? Msongo wa mawazo ni mfadhaiko wa akili anaoupata mtu kutokana na shida, taabu, dhiki, matatizo au changamoto zinazomkabili katika maisha ya kila siku. Kwa kawaida mtu...
0 Reactions
6 Replies
834 Views
Unataka kupunguza uzito, kuondoa kitambi, au kuhakikisha mwili wako hauongezeki tena? Soma kwa makini maelezo haya, kisha chukua hatua leo. Njia ya Asili Baada ya chakula cha jioni (saa 2–3...
0 Reactions
0 Replies
322 Views
Heshima kwenu wakuu wa jukwaa hili. Jamani mtoto wangu ana tatizo la kikohozi kisichopona.Nimejaribu kumpa kila aina ya dawa ninazoshauriwa na madaktari matokeo hupata nafuu kwa wiki moja tu...
0 Reactions
164 Replies
218K Views
Wakuu na wataalam je zipo kweli na zinafanya kazi ? Maana nahitaji ya cholestrol na Pressure
0 Reactions
2 Replies
453 Views
Wakuu karibuni, Yaani hapa ninapoandika amekutwa tena ya Uti baada ya kumaliza dawa wiki iliyopita ya kutibu uti hio hio. Pia soma: Je, UTI ni ugonjwa wa ngono?
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Jamii imetakiwa kuacha tabia ya unyanyapaa kwa waathirika wa ugonjwa wa Ukimwi hususani vijana. Badala yake iwape ushirikiano ili kuwafanya wajisikie vizuri pamoja na kupata nafasi ya kuonyesha...
0 Reactions
0 Replies
256 Views
JF Doctors, Greetings. Kuna wakati flani 2011 nilifanyiwa Orthopaedic Surgery, to be precise ORIF(Open Reduction Internal Fixation)- yaani niliwekewa vyuma (metallic plates) katika mkono wangu...
0 Reactions
1 Replies
712 Views
karibu tufanye biashara.
1 Reactions
7 Replies
287 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…