Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habari Wana JF Naomba anaefahamu hilitatizo linasababishwa na nn aniambie Kwani kunawakati nikienda haja ndogo kujisaidia wakati namaliza zinatoka shahawa naomba msaada
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu kidogo nimekuwa nikisumbuliwa na meno hasa hasa ninapokula nyama choma. Meno yanauma (magego) kama yale yanayotikisika kama yanataka kutolewa kwa lazima na hali hii hudumu kwa siku...
2 Reactions
12 Replies
681 Views
Habari za wakati huu wana Jf, Jamani kama miez miwili iliyopita nilikuwa nasumbuliwa na maumivu ya kichwa na macho kuvuta, misuli ya shingo kuuma nikaenda hospital nikaambiwa nina shida ya macho...
2 Reactions
25 Replies
860 Views
Tatizo nimekuwa nalo Kwa mwezi mmoja sasa, nilianza kujihisi dhaifu wa mwili kwa wiki kadhaa na pia kuanza kupata maumivu mepesi mepesi eneo la moyo pamoja na bega pamoja na mkono wa kushoto...
0 Reactions
31 Replies
1K Views
JE WAJUA.??? NYANYA NA VIAZI Leo nikiwa Kwenye maktaba ya Nyumbani nikawa najaribu kuchimba kujua asili ya baadhi ya viungo vya vyakula vyetu Kama nyanya, vitunguu, biringanya, hoho Na vinginevyo...
2 Reactions
49 Replies
23K Views
Matumizi ya pemba yamebainika kuongeza hatari ya kupata maradhi ya saratani, pamoja na kuongeza uwezekano wa mtoto aliye tumboni kuzaliwa akiwa na mtindio wa ubongo. Hayo yameelezwa na Dkt...
1 Reactions
6 Replies
550 Views
I am writing this with so much worry in my heart. I am going through changes that I cannot explain. And I need help. I am liking sex too much. I am becoming wild and being the Leo that I am being...
34 Reactions
339 Replies
26K Views
❓Je, umewahi kuzimia ghafla? Unapopanda ghafla kutoka kitandani, kichwa huuma? Unajisikia kizunguzungu mara kwa mara? Basi ni muda wa kufahamu kuhusu hali iitwayo Hypotension (shinikizo la chini...
5 Reactions
6 Replies
631 Views
Salamu Wakuu, Habari za weekend. Nina plan ya kuanza mazoezi kwa ajili ya kuimarisha Afya, huu mwili naona siuelewi, nahitaji kuuweka sawa hasa kuimarisha misuli ya viungo. Nataka niwe na ka...
1 Reactions
1 Replies
618 Views
Habari Ni kipimo gani ambacho kinakubalika na serikali ya Tanzania kujipima mwenyewe(self test) virusi vya Ukimwi(HIV) Ukienda kuuliza kwenye maduka ya dawa (pharmacy) hivi vipimo vya kupima kwa...
0 Reactions
9 Replies
853 Views
Wakuu Kwa wiki moja sasa nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ambayo sio makali sana mkono wa kushoto na ukiinua mkono na kuubana kwenye eneo la kushoto ambapo kuna moyo, unahisi kama kukosa pumzi...
1 Reactions
3 Replies
647 Views
Kikubwa hapa nataka kujua hasa Kitaalamu je, kuna ama Dawa yoyote ile ya Hospitalini au ya Kiutamaduni (Mitishamba) au Mafunzo yoyote yale Mtu anaweza Kutumia au Kuyatumia ili ayatumie na yaweze...
7 Reactions
59 Replies
3K Views
Ndugu Wadau, Mwanangu (15) jinsia (KE) ana uvimbe kwenye ziwa lake la kulia likiambatana na maumivu wakati fulani.Tumeigundua takriban miezi mitatu sasa na tumewaona wataalamu wa hospital (mount...
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Wakuu natumai hamjambo wote. Daaah hii ishakuwa hatari mpka naishiwa pawa kuhusu hilo swala la pre-mature ejaculation hali inazidi kuwa mbaya . Kama ni zoezi na piga sio haba lakini wapi hali ni...
13 Reactions
267 Replies
7K Views
Hili ni tatizo linalowaathiri wanawake wengi, ila wachache wanakubali kulizungumza hadharani. Ukweli ni kwamba, hakuna mwanaume anayefurahia kufanya mapenzi na mwanamke ambaye uke wake unanuka...
0 Reactions
0 Replies
958 Views
NAWEZAJE KUONGEZA UUME BILA MADHARA? Wanaume wengi wamekuwa wakijiuliza: “Je, inawezekana kweli kuongeza uume angalau inchi moja au mbili bila madhara?” Jibu ni NDIO. Lakini kwanza lazima ujue...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Kama umekuwa ukihangaika kwa muda mrefu kutafuta njia ya kupata ujauzito bila mafanikio, kuna tiba rahisi, salama na ya asili ambayo inaweza kukusaidia. Hii ni njia ambayo wamama wengi wameitumia...
1 Reactions
3 Replies
996 Views
Habari, Yapata mwezi sasa nimekuwa nikikumbwa na tatizo la kuwashwa mwili kama nimemwagiwa upupu, hasa mida ya saa tatu usiku ambapo mambo yanakuwa mabaya zaidi na najikuna vibaya mno. Mwanzo...
4 Reactions
64 Replies
7K Views
Habari za muda Wana jf Poleni na hongereni kwa pilika za kutafuta mkate Nina kuja kwenu nikiwa na changamoto ya mtoto Nina mtoto WA kike ana miezi 9 Tangu azaliwe analia muda wote hata...
4 Reactions
47 Replies
2K Views
Habari, nikiwa nasimamia ujenzi wa kanyumba kangu nikawa simwelewi fundi wangu mkuu. Mara nyingi amekaa chini ya mti amewaachia kazi mafundi wasaidizi pamoja na vibarua. Siku ya 3 ikabidi...
7 Reactions
47 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…