Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habari wapendwa, Ebu nipeni ujasiri jamani! Yaani naogopa vibaya mno kwenda "ANGAZA". Nikiwaza kwenda huko tu tumbo linauma naahirisha siendi tena! Tatizo gani hili nishaurini basi namna ya...
0 Reactions
64 Replies
10K Views
Habari zenu wakuu, Naomba msaada wa kidaktari, mimi mwana Jf mwenzenu ninatatizo la kiafya linalonipelekea kuhisi kwamba mwili wangu hauko timilifu kiutendaji, yaani mfumo wa fahamu unafanyakazi...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Habari, nina shida ya mawe kwenye Nyongo. Nimejaribu kumuona Daktari anashauri nifanyiwe operation ya kutolewa nyongo yote. So naombeni ushauri waliowahi kupitia hayo mambo huwa wanaishi kwa muda...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Mke wangu siku za karibuni ana uchafu mweupe mwingi tofauti na zamani, Kila nikimaliza tendo nikitoa dushelele linazungukwa na uchafu mweupe mwingi. Hakua hivyo zamani ,upendo unazidi kupungua...
0 Reactions
170 Replies
70K Views
Habari, mara kadhaa unaweza kumuona tabibu akimchoma sindano mgonjwa kalioni, Mara nyingine Humchoma Mkononi, Kuna tofauti gani ya sindano hizo
4 Reactions
24 Replies
7K Views
Ukiacha mifupa,mishipa na nyama,mwili wa binadamu una asilimia 75 ya Maji na 25 ni damu. Kwa wale wanaotumia kilevi(alcohol),Unadhani Kwa nini hulewa?
0 Reactions
3 Replies
770 Views
Gharama za upimaji wa vinasaba kwa Tanzania ni shilingi laki 1 kwa sampuli ya mtu mmoja. Hii inamaanisha kuwa kwa sampuli za watu 3, yaani baba, mama na mtoto gharama itakuwa jumla ya shilingi...
2 Reactions
5 Replies
4K Views
Tafiti zimebainisha kuwa mtu anashauriwa kutumia maganda ya ndimu kama ambavyo anatumia juisi ya limao kwani maganda hayo yanavirutubisho muhimu sana katika mwili wa binadamu hasa katika kupambana...
3 Reactions
9 Replies
4K Views
Amani ya Mungu iwenanyi wapendwa, Nimewiwa kuandika makala hii nikitaka kujua taratibu na hatua/taratibu za kufuata kiserikali. ili niweze kuwa na kliniki ya kutoa matibau ya mitishamba au...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Closed
Kirusi cha korona (Corona virus), ni kimelea chenye gamba na kutunza vinasaba vyake katika malighafi za RNA. Corona virus ni kisababishi cha magonjwa mbalimbali na vimelea hivyo vina makabila...
49 Reactions
973 Replies
142K Views
Wakuu, mtoto wa miezi minne anatakiwa anywe at least kiasi gani cha ujazo wa maziwa ya mama kuanzia saa moja asubuhi hadi saa tisa mchana. Tunatumia chuchu za watoto
1 Reactions
14 Replies
8K Views
  • Closed
Fanya hivi kumsaidia mwanao kupata usingizi mwanana. Pale unapomuona mwanao amelala kamwe hutaacha kutafakari uzuri wake na kumshukuru Mungu kwa uumbaji wake! Hata hivyo watoto wengi huwa na...
5 Reactions
8 Replies
4K Views
But don’t over do it beyond your ability.
4 Reactions
26 Replies
4K Views
Hivi kupatwa na kizunguzungu wakati wa kuamka kutoka ulipokuwa umekaaa hii inasababishwa na nini? Na kiafya shida ni nini na nini madhara yake.
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Habarin wana jukwaa kwa siku za hivi karibuni nmekua ninapo fanya mapenzi kwa kutumia staili ya kuinama baada ya dakika kadhaa ninakua ninatoa sauti kama nnajamba lakini sijambi hii inapelekea...
4 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari zenu, mimi ni mrefu wa sentimeta 183, awali nilipima nikawa na kg 104. Uzito huo ulinitisha nikaamua kuanza mazoezi na kubadili life style. Nimeacha kutumia soda, maana hapo kabla kila siku...
4 Reactions
65 Replies
20K Views
Habari za muda huu. Napata maumivu sana ninapovuta hewa ndani ( Breath in) kuna maumivu kama kichomi nayapata kwa upande wa mgongoni lakini ni kwa ndani nadhani ni mbavuni upande wa kulia...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Habar ya wakati huu wadau wa Jf na segment hii ya DOCTOR........naomba kuelimishwa juu ya hili: Kwa kipindi cha miez mitatu ss nimekuwa na kazi nyingi sana kiasi kwamba muda wangu wa kulala...
1 Reactions
5 Replies
6K Views
Wakuu nna swali linanisumbua sana kuhusu kisukari. Nmefuatilia saana na kusoma kuhusu huu ugonjwa, lakini bado sijapata kujua kwanini wagongwa wengi wa kisukari huishia kukatwa vidole vya miguu...
2 Reactions
33 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…