Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habari Wana JF Kunaswala Moja ambalo naona kama halipo sawa. Ukifwatilia kiundani tofauti ya vipimo hivi vya X ray,CT scan na MRI unagundua kua MRI nikizuri nahakina mazara sababu kinatumia...
9 Reactions
76 Replies
3K Views
Nina siku nne sijapata haja kubwa. Nikienda chooni naishia kujamba tu. Nitakua na tatizo gani?
14 Reactions
61 Replies
2K Views
Habari wakuu nashida ya kupata mkojo nanikisema ninywe maji labda lita 3,nazinywa ndani ya nusu saa ila mkojo napata baada ya saa moja nanusu. Nkipata tu mkojo mkojo wakwanza utakao toka unatoka...
4 Reactions
4 Replies
394 Views
Kuna vitu vinafikirisha sana . Yaani kama ugonjwa wa ukimwi uligundulika kwa kujaamiana je !mtu wa kwanza kuupata/aliupataje?
4 Reactions
40 Replies
1K Views
Habar wakuu nimekuja kwenu mim Nina uzito wa 80kg na urefu wa 164cm,nauliza maji kwa siku natakiwa niywe Lita ngap ndani ya masaa 24,na pia mkojo kwa siku natakiwa kutoa Lita ngap kwa siku kiafya
0 Reactions
1 Replies
210 Views
Naomba kujua kama Kuna dawa ya kuondoa tatizo la mtoto wa jicho bila upasuaji.
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Mwenye anajua jinsi ya kumsaidia kupunguza maumivu au kuondoa kabisa maumivu ya tumbo kwa mwanamke kipindi Cha period Pisi yangu ikiwa period inateseka almost siku nzima anaumwa tumbo atari...
5 Reactions
40 Replies
2K Views
Hamjambo natumai mupo wazima naomba kueleweshwa ni zipi dalili za ugonjwa au h-pylori, maana natamani kwenda kupima huu ugonjwa kutokana na homa za mara kwa mara zinazonikabili ila niliwahi kuskia...
3 Reactions
45 Replies
3K Views
Habari wakuu nkiwa safarin safar ya walau masaa 2 nakuendelea miguu huvimba, Hali hii imeanza kipindi Cha ndani ya miaka2 ,je hapa ntakua matatizo gani
2 Reactions
13 Replies
548 Views
Habari zenu, kuna kijana kafariki kwa sababu ya madonda ya tumbo hapa mtaani, inasemekana ametapika sana damu kabla ya mauti kumkuta na sio mara ya kwanza, hivi madonda hayahaya yanaweza...
6 Reactions
68 Replies
2K Views
17 Sep, 2024 13:23 Microplastics found in human brain – research The pollutants could be linked to rise in neurodegenerative diseases, study suggests © MICROGEN IMAGES/SCIENCE PHOTO LIBRARY...
1 Reactions
1 Replies
569 Views
Wakati Figo zimeshindwa kufanya kazi yake. Dayalisisi ni njia ya bandia ya kutoa uchafu na maji yasiyohitajika mwilini. Njia bora ya kuokoa maisha kwa watu ambao Figo zao zimedhoofika kabisa...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Kwa ufupi sana ni kusimama kwa ghafla kwa moyo" au "shtuko la moyo". Hali hii hatari hutokea wakati moyo unapoacha kufanya kazi ghafla na bila kutarajiwa, na kusababisha mtiririko wa damu kwenye...
1 Reactions
1 Replies
250 Views
Kuna tiba kadhaa za asili zinazoweza kusaidia kuboresha tatizo la uume, lakini ni muhimu kushauriana na mtoa huduma ya afya kabla ya kujaribu matibabu yoyote mapya. Baadhi ya tiba zinazowezekana...
5 Reactions
12 Replies
6K Views
“Leo natimiza mwaka mzima bila kufanya tendo la ndoa 😅 afya bado iko stable, pressure ipo sawa, moyo unadunda vizuri 💪🏽 sijui huu ni ushindi au mateso wakuu?”
4 Reactions
18 Replies
915 Views
Oya,mko poa? Asubuhi nimekunywa chai ya maziwa na viazi vitamu. Mpaka sasa najamba mashuzi yananuka hatari. Nifanyaje?
3 Reactions
21 Replies
625 Views
Wakuu, dogo wangu anachangamoto ya vinyama puani na kooni hali inayopelekea kupumua kwa Shida sana.. Ipi ni tiba sahihi ya hii Shida..? 🙏
1 Reactions
6 Replies
300 Views
Miili yetu hufika ukomo wa ukuaji unapofikisha miaka 35, kwa lugha rahisi mwili kua active kutengeneza cell mpya zenye ubora pia utimamu wa misuli na akili peak yake ni miaka 35, hivo basi kabla...
6 Reactions
59 Replies
2K Views
Mimi nimelazwa regency hospital wiki ya pili sasa nina shida ya kifua sasa oxygen kilasiku inashuka nimewekewa oxygen lakini still inashuka leo imefika 68 naombeni msaada nipewe rufaa mloganzila...
6 Reactions
86 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…