Habar jamani yaani sijui ni ugonjwa au ni kitu gani yani kwa hii harufu huniambii kitu sababu naipenda xana kuinusa hasa nikipita maeneo ya sheli yani natamani nibaki palepale,shida nikipanda gari...
Samahanini Mimi n Binti na Nina tatizo la genital warts ni kwa mda wa mwaka Sasa na miezi nimetumia dawa ambazo n podosal,acyclovir vidonge na cream n.k mpaka Sasa lkn nimekuwa napona shemu moja...
HABARI NZURI KWA WALE WENYE VIRUSI VYA UKIMWI TUMIENI KWA WINGI HABBAT SAWDA ITAWASAIDIENI KUPONA.
Black Seed Extract 'Cures' HIV Patient Naturally.
Tumia dawa hii kwa vidonda vya tumbo...
Wakuu kuna hili tatizo linalotupata baadhi ya watu ambapo kovu huendelea kuongezeka baada ya kidonda kupona na kuwa uvimbe.Hasa makovu ya mabegani,mashavuni,kifuani. Makovu haya wakati mwingine...
Habari za leo wapendwa, naomba msaada kwa anqejua garama za operation ya saratan ya matiti kwa pale ocean road nina ndugu yangu anaumwa hilo tatizo.
Natanguliza shukrani 🙏🏻
Nimejaa hasira asubuhi asubuhi yani wakuu,
Naombeni ushauri japo naweza kuchukua maamuzi mengine.
Huyu mwanamke nimefahamiana nae Toka mwezi wa 4 mwaka huu na alikua anaishi.mbali sana na mimi...
kumekua na mafundisho ya jinsi ya kupanga kupata mtoto mwenye jinsia ya kike au kiume,
Mojawapo ya theory kubwa ni ile inayosema mwanaume akikutana na mwanamke kuanzia siku ya 11-13 tangu...
Madakari na wataalamu wangu naomba kufamishwa gharama za matibabu kama ifuatavyo:-
1. Gharama ya kipimo cha saratani ya matiti?
2. Gharama ya Dose ya saratani ya matiti?
3. Gharama ya...
Habari ndugu, naomba niende kwenye mada.
Mnamo mwezi wa pili tuliamua kuanza kutumia njia za uzazi wa mpango mimi na mwenza wangu, ambapo aliwekewa kijiti kimoja, lakini ilipofikia mwezi wa tano...
Nimekuwa nikisumbuliwa na matatizo ya tumbo sasa
Ambayo sijui kama ni tatizo gani
Nilikwenda hospitali nikambia kuwa sina tatizo lolote tumboni nipo sawa
Ila na shangaa sasa hivi naogopa kula kitu...
Habari zenu wakubwa na wataalam wa afya. Nisaidieni hapa, niko kwenye mahusiano na binti mwenye huu ugonjwa wa thyroid na tayari uvimbe imeonekana shingoni kwa pande zote mbili, sasa nimekuwa...
Ugonjwa wa Bipolar disorder umekuwa ukichukuliwa kama ni wa watu Fulani tu kitu ambacho si sahihi humkuta yeyote
Hapa duniani hata uwe hauna Ugonjwa lazima uwe na kakitu katakakokuwa...
Wakuu na wataalam wa Ngozi naombeni msaada.
Nina miaka 26, nimezaliwa 1992. Tatizo langu ni uso wangu kujaa mikunjo hasa mikunjo ya ndita kwenye paji la uso.
Sijajua tatizo ninini, yani nikikaa...
Habari ndugu na jamaa naomba msaada jinsi ya kuzalisha / kuimarisha homoni ya Testosterone kwa vyakula /dawa za hospital anae faham zaidi mambo haya anijuze vizuri nawasilisha....
Kuna njia nyingi za kuzuia ujauzito kwa wanawake kati ya zifuatazo:
Kutenganisha mirija ya uzazi
Kuepuka ngono
Kutumia kalenda
Njiti
Vidonge
Condom
Kwa wataalamu wa maswala ya uzazi njia ipi...