FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 449
- 408
Ugonjwa wa Bipolar disorder umekuwa ukichukuliwa kama ni wa watu Fulani tu kitu ambacho si sahihi humkuta yeyote
Hapa duniani hata uwe hauna Ugonjwa lazima uwe na kakitu katakakokuwa kanakukela,Hamna aliekamilika Bali Mungu tu,
Hivyo wenye HIV,mwenye bipolar,stress,msongo wa mawazo,kisukari, Pumu wote ni Mipango ya Mungu ili atukuke kikubwa ni kuzingatia ushauri wa daktari na maisha yanakuwa kawaida,
Hakuna asie na tatizo au kasoro anaweza kuwa safi ila akawekewa maumbile mazuri machoni pa wengine ila kwake asiridhike na akateseka kwa kutoridhika zaidi hata ya mwenye ugonjwa mfano wapo warembo kama Odemba Ila hawaridhiki mpaka wanajichubua
Mh.Ummy dawa nyingi za Bipolar zilizopo kwenye mahospitali hazitibu ipasavyo na zina side effects nyingi wakati kuna dawa ndogo kwa umbo na unameza Mara moja,sio chungu na unakuwa kawaida kabisa uhisi tofauti yeyote kama Resperidone,
Watumieni wataalam wanaozijua dawa hizo kama dr.Agnes Haule wa Bugando kuepusha watu kupewa madawa makubwa na wanameza mara nyingi kwa siku
Pia mh.waziri yupo Daktari Milembe hospital anaitwa Dr.Rehema Chaki amesaidia wanafunzi wengi walio field na wagonjwa,kwanini asiende Ulaya kuongeza shahada kuliko kumficha huko lini wizara itamuona na wewe hata kuwatembelea Milembe hospital hujawahi wakati wana kumbi nzuri unazoweza kufanya mikutano na watumishi na sponsorship sijui mnazitoaje wizarani kwako wanapata wa mjini tu.
Muhimbili yupo professor Sylivia Kaaya,kwanini msimpe kitengo cha utafiti kuliko kumuweka pale mpaka anastaafu
Bipolar wanaugua mpaka wanasiasa na watu mashuhuri ni ugonjwa wa kawaida kama utatumia dawa sawa na HIV au kifua kikuu kama utatumia dawa
Mh.Ummy Dar es salaam kidonge kimoja cha Resperidone ni sh.200,Mwanza no kati ya shilingi 1000 na 1500,wilayani in sh.500 tunaomba usawa uwepo na ukichunguza na kuridhika kuwa ni tiba nzuri basi peleka ktk mahospitali watu waache kupewa dawa za aina moja
Instagram:kaukwaju