Afya ya umma ni namna ya kulinda usalama na kuboresha afya ya wanajamii kupitia elimu, utungaji sera na utafiti wa kuzuia magonjwa na majeraha
Afya ya Umma ni muhimu kwa kuwa inakuza ustawi wa...
Unasababishwa na Kirusi cha Polio kinachoambukizwa kutoka kwa mtu aliyeathirika kwenda kwa mwingine kwa kunywa/kula chakula au kinywaji kilichochafuliwa na kinyesi chenye vimelea vya Ugonjwa...
1. Mazingira unayolala
Wataalamu wanashauri mazingira ya mahali unapolala yawe ya Utulivu. Pia wanasisitiza kuepuka vinywaji vyenye Kafeini (Caffeine) kabla ya kulala.
2. Ratiba ya kulala...
Habari za mchana naona vijana wengi wanakunywa huo mchusi nipo mlandizi tangu Jana hapa karibu na Stendi karibu na kituo cha mayangeyange wanafakamia michuzi.
Mmoja wapo anasema unawapa maguvu ya...
Ni kauli ya Mwanahamisi Ally, mkazi wa Mabibo, jijini Dar es Salaam.
Gazeti linasimulia mbinu kadhaa za uchunguzi alizotumia mwandishi kupima vipimo mbalimbali katika zahanati na hospitali...
Kwa mara ya kwanza duniani, nchi ya China imeidhinisha matumizi ya chanjo ya kupambana na ugonjwa wa COVID-19 inayotolewa kwa njia ya kuvuta kiasi kidogo cha dozi kupitia pua.
Chanjo hiyo...
Hospitali ya Taifa Muhimbili imesaini mkataba na Kampuni ya Medel kutoka nchini Austria wenye lengo la kuanzisha maabara ya kwanza ya aina yake Afrika Mashariki ili kufundisha na kuboresha...
Wapendwa afya ni mtaji kwa kila kitu ukitaka kufahamu hilo umwa hata mafua tu ndio utajua afya ikipata shida kidogo tu hakika mwili ndio unaumia na hatimaye kudhoofu na kuchoka kabisa na mhusika...
Unakuta watoto hawana afya ya kuridhisha hata ukiwaangalia kwa macho tu. Lakini Kuna Watoto wa familia nyingine ukiwatazama Wana Afya nzuri.
Naomba kuuliza ni nini kitamfanya mtoto aonekane kuwa...
James Shimba, Daktari Bingwa wa Macho kutoka Hospitali ya Rufaa Bugando amesema uchunguzi wao umebaini kuwa magonjwa ya Mtoto wa Jicho na Kisukari ndio chanzo kikuu cha Upofu kwa kwa Mikoa ya...
Naomba wataalamu watuambie ni vyakula gani mwanamke anaweza kula akaongeza damu haraka wakati wa ujauzito au ni dawa gani zinazoweza kumfaa kuongeza kiwango cha damu naomba jibu wataalamu.
Kumekuwa na katabia fulani hivi kutoka kwa wadada daraja fulani hivi wanaoona eti hamna mwanaume anayeweza kuwapa mimba kwa njia asilia kwa sababu wao ni wazuri sana na wana hela sana.
Wadada hao...
Wakati dunia ikiwa bado na makovu ya ugonjwa wa Covid_19 ulioishambulia na kuua watu milioni 6.4, na ule wa MonkeyPox ulioua karibu watu 100 Afrika mwaka huu, kumeibuka homa ya mafua ya nyanya...
Habari za leo wapendwa,
Jamani naombeni msaada wa mawazo kwamba mie nasumbuliwa na kusagika kwa viungo vyangu yaani ule uteute wa ktk magoti,mabega,viwiko,nyonga pamoja na pingili za mgongo...
Wizara ya Afya imekuwa ikiwataka wanaume kuhudhuria leba pindi wake zao wakijifungua ili kusaidiana na mama mzazi katika majukumu tofauti ikiwemo kuhakikisha mtoto ni wa mzazi sahihi.
Kufuata...