Msanii huyo wa Afrobeats amekamatwa kwa madai ya ulaghai baada ya mamilioni ya dola yaliyokusudiwa kuwasaidia vijana wasio na ajira kuanzisha biashara kuripotiwa kupotea.
Msanii huyo ametajwa...
Mdemokrati Raphael Warnock Amemshinda Uchaguzi wa marudio wa kiti Cha Useneta katika Jimbo lililokuwa na ushindani mkali la Georgia siku ya Jumanne,na kuongeza udhibiti wa Chama chake katika Jimbo...
Putin drives over repaired Crimean Bridge (VIDEO)
The strategic landmark was damaged by a massive explosion that Moscow blamed on Kiev
President Vladimir Putin visited the Crimean Bridge on...
Aminu Adamu (24) alikamatwa kutokana na ujumbe wa Twitter ambapo anadaiwa kumtuhumu mke wa Rais kwa kutumia vibaya pesa za umma na kushtakiwa kwa kueneza habari za uongo
Kukamatwa na mashtaka...
Kuna mliokua mkikejeli madubwana yaliyopelekwa Ukraine ya kulinda dhidi ya drones, mkachekelea kwamba hayana kazi, haya hapa matokeo yake, drones zinapigwa chini hamna hata moja inamudu kupita...
Charles Michel, Rais wa Baraza la Ulaya, amekutana na kuzungumza na Rais Xi Jinping katika ziara yake rasmi nchini China. Katika mkutano huu.
Michel alimwomba Xi kutumia ushawishi wa Beijing kwa...
Sheria za kiislamu za wanaume kuhangaika na nywele za wanawake, zitaondolewa na pia kikosi kilichokua kinafukuzia nywele za wanawake kimevunjiliwa mbali....labda hii itapunguza maandamano maana...
Hapo juzi mataifa ya G7 yakiongozwa na Marekani yalipitisha azimio la kuweka ukomo wa bei ya mafuta ya kutoka Urusi.
Katika mpango huo nchi hizo zimekubaliana kuwa bei ya mafuta ya Urusi isizidi...
Safari ya kufika Crimea bado iko pale pale, Zelensky ametembela eneo la Sloviansk ambalo lilikua limekaliwa na Warusi tangu 2014 na sasa lipo mikononi mwa wazalendo wa Ukraine.
Vita kwa sasa...
According to a French billionaire and RDH President Philippe Argillier, the World Deep State a.k.a. Shadow Government infrastructure is behind World Governments officials who are paraded in front...
Muungano wa zamani wa chama tawala cha Kiraia nchini humo (FFC-CC) na Serikali ya Kijeshi wanatarajiwa kutia saini makubaliano ya mfumo unaolenga kurejesha Serikali ya Kidemokrasia
Makubaliano...
Vita vya Ukraine vimeingia hatua nyengine. Hatua hii ni mrusi kuvunja na kubomoa vituo vya maji na umeme nchi nzima katika kipindi cha baridi.
Katika mashambulio ya leo ambayo Ukraine...
Ursula Von der Leyen alisema katika hotuba yake ya video Jumatano asubuhi kwamba "zaidi ya maafisa 100,000 wa kijeshi wa Ukraine wameuawa"
========
LUGANSK, December 2
Ukrainian service members...
Nigeria jana Jumatatu ilirejesha huduma ya usafiri wa treni kati ya mji mkuu Abuja na mji wa kaskazini wa Kaduna, miezi minane baada ya kusitishwa kufuatia moja ya mashambulizi makubwa zaidi...
Kampuni hiyo ya New World TV ya Togo yenye haki ya kutangaza na kusambaza haki za michuano hiyo Kusini mwa Jangwa la Sahara imeeleza kuwa imepata mashambulizi kadhaa tangu kuanza kwa michuano...
Mamia ya vijana wameitikia wito wa Rais Felix Tshisekedi kujiunga na Jeshi katika vita dhidi ya waasi wa M23 ambao wanadhibiti maeneo makubwa karibu na Mji wa Goma baada ya mfululizo wa...
Industry leaders see India’s G20 presidency as something they can benefit from, with CII director general Chandrajit Banerjee saying it's a unique opportunity for businesses.
TCA Sharad Raghavan...
Tafsiri kutoka gazeti la The Print.
DISEMBA Mosi Mwaka huu India ilianza rasmi kuongoza nchi zenye uchumi mkubwa duniani maarufu kwa jina la G20,huku Matarajio ya wadau mbali mbali katika uongozi...
Mahakama imetoa hukumu ya hadi miaka mitatu kwa waandamanaji hao ambao walishikiliwa katika maandamano ya Oktoba 2022 ambao wanasheria waligomea mchakato wa kesi wakiamini haukuwa wa haki.
Zaidi...
Hatua hiyo inaweza kufikiwa ikiwa Sheria mpya inayovipa vyombo vya habari nguvu ya kuamua kuhusu ada ya maudhui yanayowekwa Facebook.
Sheria kama hiyo ilipitishwa na mamlaka ya Australia...