Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Anna Baerbock amesema "hatoizuia " Poland ikiwa itatuma vifaru vya Leopard 2 nchini Ukraine.
Ukraine imetoa wito kwa nchi za Magharibi kutoa vilivyotengezwa na...
Wabunge wa Bunge la Seneti wamepiga Kura ilifanya mabadiliko ya Umri wa Kustaafu kutoka miaka 62 ya awali ikiwa ni ushindi kwa Rais #EmmanuelMacron aliyependekeza mipango ya marekebisho ya...
Habari Wabantu wenzangu,
Rais wa Tunisia Saied Kais amenukuliwa akisema kwamba kuna njama ya kuua utambulisho wa taifa lake wa Kiarabu kwa kuligeuza taifa la Afrika unaosababishwa na wimbi kubwa...
Waendesha Mashitaka wamesema Mtoto huyo ambaye ni mwanafunzi katika Jimbo la Virginia bado mdogo kuweza kutambua masuala ya sheria badala yake wanaangalia nani anaweza kushitakiwa katika tukio...
Sijui kama utaelewa?
Kanatokea katoto ka form3 A kanasema Urusi kashindwa vita mara Urusi kapanda mara kashuka?
Hata historia hakajui maskini ya mungu yaani hivi vitoto vinasikitisha kweli...
Habari wana Jamvi.
Naomba kufahamu zaidi kuhusu historia ya jamii ya WaKurds ambao wanapatikana katika mataifa manne tofauti lakini wako kwa wingi Iraq.
Je, jamii hii ina asili yake katika nchi...
Shirika la Fedha la Kimataifa, Benki ya Dunia, na nchi mwenyekiti wa zamu wa G20 hivi karibuni zilifanya mkutano wa kimataifa kuhusu masuala ya madeni. Baadhi ya wanasiasa na vyombo vya habari vya...
Waziri mkuu huyo ametunukiwa tuzo kwa jitihada zake kuleta amani na ushirikiano wa kimataifa.
Mkataba wa amani ulisainiwa mwaka jana , mgogoro wa kivita na nchi jirani uliochukua karibu miaka 20...
Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed ametangaza Hali ya hatari nchini kote Ethiopia, hii ni baada ya wapiganaji wa Jimbo la Tigray wa TPLF kuteka miji miwili ya Dessie na Kombolcha iliyoko Katika...
Abiy Ahmed ana njia moja tu kuitoa Ethiopia katika mzozo wa vita ya wenyewe kwa wenyewe
04/11/2021
Novemba 6 mwaka jana, Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed alitangaza operesheni za Kijeshi...
Miezi 3 tangu Serikali ya #Taliban itoe zuio kwa Wanafunzi wa Kike kusoma Vyuo Vikuu, utekelezaji umeanza baada ya kuanza muhula mpya wa masomo huku Wanawake wakitakiwa kutofika madarasani...
Maafisa wa Ukraine pia wameripoti kwamba viongozi wa brigedi ya Urusi inayopambana karibu na mji wa Vuhledar.
Kusini mwa Bakhmut wamekataa kutekeleza amri ya kushambulia baada ya kupoteza...
Turkish opposition leader Kemal Kilicdaroglu emerged on Monday as the main challenger to President Tayyip Erdogan in landmark elections expected on May 14, after a six-party alliance picked him as...
Utakumbuka hivi Majuzi Rais wa Tunisia Mh. Kais Saed alisema nchi yake inavamiwa na Waafrika ambao wanataka kubadili demography ya nchi yake. Sasa Mzee Mmoja akihojiwa nchini humo ameeleza kuwa...
Marubani wa akiba 37 kati ya 40 wa kikosi cha 69th squadron kinachohusika na ndege vita aina ya F.15I wamegomea mazoezi kushinikiza mabadiliko ya mahakama yanayoungwa mkono na cha tawala cha Bw...
Man arrested after allegedly trying to open emergency door on plane and stabbing flight attendant
A Massachusetts man was arrested for allegedly stabbing a flight attendant in the neck with a...
China imepanga bajeti yake kwa mwaka wa fedha 2023 ambayo inafikia Yuani Trilioni 27.513 (Dola Trilioni 3.98) kiasi ambacho ni kukikubwa kuliko pato (GDP) la bara zima la Afrika kwa mwaka huu 2023...
Published Oktoba 21, 2022
Najaribu kulizungumzia hili kwa sauti kubwa niwezavyo ili watu wanielewe.Ni kwamba mikakati imeshabuniwa na imeshawekwa ili uhaba wa chakula 2023 na kuendelea uwe...
Watoto Adiah na Adrial Nadarajah wameweka rekodi mpya na kupita rekodi ya awali ya siku 125 iliyowekwa mwaka 2018 na Mapacha wengine kutoka jimbo la Iowa, Marekani.
Kwa mujibu wa Guinness, Watoto...
Urusi kwa sasa inatapatapa ikiomba msaada kote hadi kwa maustadh wa Syria na Palestina, juzi kumeibuka tetesi kwamba China inawaza kuipa Urusi huo msaada wa silaha, ila onyo kali...