International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Chama cha Upinzani cha Economic Freedom Fighters (EFF) kinatarajia kufanya maandamano ya nchi nzima Machi 20, 2023 ili kupinga ukosefu wa umeme nchini humo na kimemtaka Rais Cyril Ramaphosa...
0 Reactions
1 Replies
787 Views
Mwandishi wa ABC News amewanakili maafisa wawili wa Pentagon wakisema kuiokoa droni yao iliyomwagiwa mafuta na hatimae kuanguka huko bahari nyeusi itakuwa shida kwani Urusi tayari imeshafika na...
15 Reactions
41 Replies
5K Views
Jeshi la Marekani limethibitisha ndege yao isiyo na ruban (Drone) imeangushwa kwa kugongwa na ndege vita ya Urusi katika Bahari Nyeusi ambako Jeshi la Marekan wanasema drone yao ilikuwa katika...
9 Reactions
187 Replies
16K Views
This is the latest GOOD NEWS about C-19!!Although bad news for those who are already vaccinated........... After today's ruling in the American Supreme court, it is now no longer needed to be...
9 Reactions
53 Replies
4K Views
Imefikia hatua sasa Ukraine kupewa silaha za maana, hadi hapo visilaha walizokua wanapewa wamefaulu kuilemaza Urusi, sasa wataanza kupata madubwana ya kweli, na Urusi ilishasema atakayeisadia...
1 Reactions
6 Replies
976 Views
Uamuzi huo umetajwa kuwa ni kwa sababu za kiusalama, Serikali ikiamini kuwa taarifa za muhimu zinaweza kuchukuliwa na Serikali ya China Mwakilishi wa Baraza la Mawaziri, Oliver Dowden amesema...
0 Reactions
43 Replies
3K Views
Idadi hiyo inajumuisha Vifo vilivyotokea tangu Kimbunga hicho kilipoingia Barani Afrika Februari 2023 ambapo watu 326 ni kutoka Malawi, 53 kutoka #Msumbiji na wengine 27 kutoka #Madagascar...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya wanajeshi na hata wafungwa wa Wagner kufyekwa kama nguruwe, Urusi iko katika hali mbovu sana, sasa kuanza kufuata wanafunzi na kuwalazimisha wajiunge kwenye usaili nao wakafie huko, hilo...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Katika Mikutano Miwili Mikubwa ya China iliyomalizika hivi karibuni, China, kwa mara nyingine, imesisitiza kuwa itahimiza ufunguaji mlango wa hali ya juu. Ikiwa ni nchi ya pili kwa ukubwa wa...
3 Reactions
3 Replies
741 Views
Mswada huo utamruhusu Rais wa #JoeBiden kupiga marufuku teknolojia zinazoonekana na Idara ya Biashara ya nchini humo kuweza kuleta "hatari isiyofaa au isiyokubalika" kwa usalama wa Taifa...
3 Reactions
55 Replies
6K Views
Huko nchini Nigeria Kamanda wa Polisi wa jimbo la Ekiti amethibitisha kwamba mwanamume mmoja ambaye ni mganga wa Kienyeji amefariki baada ya kushiriki ngono na mke wa Mchungaji kwenye hoteli moja...
8 Reactions
53 Replies
5K Views
Wizara ya masuala ya kiislamu ya Saudia ilitangaza sheria mpya za Ramadhani ambazo zinawakera Waislamu wengi duniani kote. Wizara ya hiyo ilitoa kanuni na vizuizi vya kuadhimisha mwezi mtukufu wa...
20 Reactions
166 Replies
11K Views
Waziri wa Mambo ya Nje wa China Qin Gang hivi karibuni alisema mtazamo na maoni ya Marekani kuhusu China yamepotoshwa sana, na uhusiano kati ya nchi hizo mbili una hatari ya “kuacha njia”. Kabla...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Federal Reserve Bank imesema itakopesha Bank kadhaa $2 tril ili kusaidia kuondokana na mdororo wa mabenki. Tayari mabenki kadhaa yamefungwa kutokana na mdororo uliochangiwa na uwekezaji mbovu...
6 Reactions
30 Replies
1K Views
Uamuzi huo umetangazwa na Rais Lazarus Chakwera ambaye pia ameagiza Bendera kupepea Nusu Mlingoti kwa siku 7. Hadi sasa zaidi ya Watu 19,000 wamepoteza makazi yao na wengine hawajulikani walipo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Rais wa China Xi Jinping amepitishwa rasmi kuiongoza nchi hiyo kubwa inayoendelea kwa awamu ya tatu mfululizo. Tangu alipoingia madarakani mwezi Machi mwaka 2013, Xi Jinping amesisitiza mara kwa...
1 Reactions
2 Replies
742 Views
Waandishi wa habari wawili kati ya wanne walioshikiliwa baada ya kusambaa kwa video ikionesha suruali aliyovaa Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir Mayardit ikiwa imelowa hadharani ikitafsiriwa kuwa...
0 Reactions
1 Replies
943 Views
Mwanaharakati ambaye pia ni Mtangazaji wa Redio na Televisheni, Mohamed Youssouf Bathily maarufu kama #RasBath anakabiliwa na mashtaka kadhaa yakiwemo ya kuvuruga utulivu wa umma. Anadaiwa kusema...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Muendelezo wa wataifa kubwa lenye akili nyingi kushinda dunia. Mnakumbuka USA baada ya kushtuka chip zake na kurudusha nyumbani ili kuwa siri sasa urusi kashindwa kudukua vifaa vilivyo kamatwa...
0 Reactions
3 Replies
982 Views
Moja kwa Moja kwenye mada. Angola imesema itatuma Wanajeshi kwenda DRC Congo kufuatia kutoheshimiwa Kwa makubaliano ya kusitisha amani Kati ya M 23 na Wanajeshi wa Serikali.. Angola kama...
4 Reactions
66 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…