International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

One of two US pilots in the F-15 fighter jet which went down in Iran has been rescued by American forces, NBC News reports. The two-seater plane went down over Iran earlier today, our US partner...
0 Reactions
0 Replies
222 Views
Mnara wa kudhibiti anga huko Tabriz, Iran, uliharibiwa katika shambulio la anga na Majeshi hodari ya Israel.
2 Reactions
2 Replies
168 Views
Urusi imevuka kibabe vizuizi na kuvunja vikwazo vya Marekani hatimae Leo meli ya mafuta ghafi ya Urusi imefika Cuba. Marekani kama kawaida yake kwa roho mbaya yake iliiwekea Cuba vikwazo vya...
12 Reactions
52 Replies
1K Views
  • Redirect
Iran imetangaza imefanikiwa kuidondosha ndege ya kivita ya Marekani Kwa majibu wa Iran, kwa sasa juhudi zinafanyika kuwasaka marubani wa hiyo ndege, huku ikitangaza donge nono kwa...
0 Reactions
Replies
Views
Vikosi vya usalama vya Syria vilianzisha vituo vya ukaguzi katika maeneo ya kusini ili kuzuia harakati za Waislamu wa jihadi kuelekea mpaka wa Israeli. Hii inafuatia siku za machafuko na...
1 Reactions
1 Replies
113 Views
The Chande Commission Has No Answers for the Killings of Tanganyikan Citizens on October 29, 2025 For Urgent Release Dar es Salaam, 02 April 2026 No. 56 1. It has been 6 months since terrorist...
0 Reactions
0 Replies
178 Views
Niaje waungwana Kama ilivyo ada kwamba kila lenye kuwa na mwanzo basi huwa lina mwisho. Au waswahili wanasema hakuna marefu yoyote yasiokuwa na ncha. Hivyo hata hii vita inayopiganwa kati ya US...
5 Reactions
12 Replies
605 Views
Serikali ya Ufaransa imefuta mwaliko kwa Afrika Kusini wa kuhudhuria mkutano wa kilele wa viongozi wa nchi saba tajiri zaidi duniani (G7) utakaofanyika mwezi Juni, hatua inayoelezwa kutokana na...
2 Reactions
6 Replies
356 Views
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio alitetea shambulio hilo dhidi ya Iran, akisema ilikuwa muhimu kuizuia serikali hiyo kusonga mbele kuelekea silaha za nyuklia. "Katika hali yoyote...
4 Reactions
41 Replies
644 Views
Vikosi vya usalama vya Iran vinadaiwa kuanza kuajiri watoto wenye umri wa kuanzia miaka 12 ili kusimamia vituo vya ukaguzi (checkpoints) na kufanya majukumu mengine ya kijeshi. Kwa mujibu wa...
0 Reactions
4 Replies
130 Views
Serikali ya Burundi imekaa kimya kabisa kufuatia milipuko ya Usiku wa Marchi 31, 2026 huko Bujumbura—hakuna taarifa rasmi, hakuna ufafanuzi, na hakuna uwajibikaji kutoka kwa jeshi wala polisi...
4 Reactions
6 Replies
218 Views
Magaidi wa Hezbollah wameufungua mwaka wa 2026 kwa kichapo kutoka majeshi ya Israel baada ya kambi zao kushambuliwa kwa makombola. Magaidi wa Hezboullah walikuwa tishio la Usalama kwa Israel...
3 Reactions
6 Replies
224 Views
Baada ya askari kuingia huko Lebanon Kusini walipambana na magaidi wa Hezboullah waliokuwa wamejificha kwenye nyumba na magaidi hao waliangamizwa!
1 Reactions
2 Replies
147 Views
Baada ya shambulio kwenye daraja linalounganisha Tehran na Karaj, Iran inatishia kushambulia madaraja nchini Israeli, Kuwait, Abu Dhabi, Jordan, na Iraq. Nyoka kichwa kimebondwa anaanza...
6 Reactions
58 Replies
1K Views
Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu akiwa Kirya: Pamoja na marafiki zetu wa Marekani, tunaendelea kukiponda kichwa cha utawala wa kigaidi nchini Iran. Katika siku za hivi karibuni, Jeshi...
0 Reactions
0 Replies
162 Views
Katika vitu ambavyo havikuzingatiwa mwanzoni na vimekuja kwa mshtuko ukiondoa mlango wa Hormuz ni kuwa Iran imepakana na mataifa kadhaa ambayo yote yamewahi kupata madhara na ubabe wa Marekani...
11 Reactions
15 Replies
570 Views
Iran imeweka njia ingine ya kupita meli ziendazo nchi za mbali na kuwapa uwezo IRGC kuziona meli hizo na kutoza ushuru kwa kila meli. Hadi meli kadhaa tiyari zimelipia tozo hiyo ya kupita kwenye...
8 Reactions
20 Replies
552 Views
Kanali Ruhollah Minakhani, mwanachama wa Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu cha Iran (IRGC), aliuawa katika shambulio la anga katika jimbo la Zanjan.
3 Reactions
19 Replies
236 Views
Najua waarabu-koko mtanipinga na wote mnaowaramba miguu magaidi!!! Jana Misri imelaani vikali kupitishwa kwa sheria ya adhabu ya kifo kwa magaidi katika Bunge la Kitaifa Knesset (Bunge la...
7 Reactions
33 Replies
613 Views
Jumanne, Machi 31, 2026, mnamo saa 3:23 usiku (9:23 PM) “Ndugu zangu, wananchi wa Israel, katika mkesha wa Sikukuu ya Uhuru, Israel iko imara kuliko wakati wowote. Dunia nzima inasikia sauti yetu...
3 Reactions
7 Replies
230 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…