International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wanajeshi 17 wa niger wauwawa kwenye shambulio mpakani na chad kutoka kwa makundi yenye silaha. Makundi mbalimbali yenye silaha kama isil hufanya shughuli zake maeneo hayo. Kwa mujibu wa...
1 Reactions
5 Replies
945 Views
Hawa watu na dini yao sijawahi kuwaelewa, wanaua maskini waafrika wenzao..... No fewer than 29 fishermen have lost their lives to suspected Boko Haram terrorists while fishing in the Lake Chad...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Polisi imesema mlipuko huo umetokana na bomu la kujitoa mhanga lililotokea Kaskazini Magharibi mwa Pakistan Zaidi ya 100 wamejeruhiwa kati yao 17 hali zao ni vibaya, katika shambulio...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Iraq imejenga ukuta kwenye mpaka wake na Syria ili kuzuia wanajihadi wa kundi la Islamic state kujipenyeza, chanzo cha jeshi la Iraq kimesema Jumapili. Katika hatua ya kwanza ya ujenzi, ukuta wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Video ya IS yasemekana kuonyesha mauaji ya wakristo wa Nigeria Kundi la Islamic State limechapisha video ambayo inasadikiwa kuonyesha raia 20 waumini wa Kikristo wakiuawa katika jimbo la Borno...
5 Reactions
490 Replies
25K Views
Makumi ya Wakristo waliuawa na kujeruhiwa katika shambulio la wapiganaji wa Islamic State ndani ya kanisa moja mashariki mwa Kongo. Kongo - Kivu Kaskazini - Shirika la Amaq: juzi, mlipuko mkali...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Serikali ya #Marekani imesema Wanajeshi wake wamefanikiwa kumuua #BilalalSudani ambaye ni kiongozi wa Kikanda wa ISIS pamoja na viongozi wengine waandamizi 10 katika shambulio la kushtukiza...
7 Reactions
36 Replies
3K Views
Hawakusubiriwa wamalize mfungo wa ramadhani kabla kuwahishwa mbele za haki... In an operation that saw the joint forces make a surprise attack on an ADF camp in the thick forests South West of...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Suspected Allied Democratic Forces militants, an insurgent group with ties to the "Islamic State," have killed at least 36 people in an overnight attack in eastern Congo. Rebels killed at least...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Watu 50 wameuawa katika shambulizi la vikundi vya waasi katika Jimbo la Seno Kaskazini mwa Burkina Faso, ambapo washambuliaji hao wamehusishwa kuwa na uhusiano na vikundi vya Al-Qaeda na ISIL...
0 Reactions
3 Replies
830 Views
Serikali ya Mali imesema raia wa kawaida 132 wameuawa baada ya vikundi vya waasi wanachama wa kundi lenye silaha la Katiba Macina linalotajwa kuwa na uhusiano na Kundi la Al-Qaeda kuvamia vijiji...
0 Reactions
3 Replies
883 Views
Zaidi ya saa moja baada ya jua kuchomoza tarehe 31 Julai, mkuu wa muda mrefu wa kundi la al-Qaeda Ayman al-Zawahiri alitoka kwenye balkoni ya eneo la katikati mwa jiji la Kabul - inaripotiwa kuwa...
1 Reactions
5 Replies
973 Views
Ripoti ya Jeshi la Nigeria iliyotolewa leo Agosti 8, 2022 imeeleza taarifa ya kuuawa kwa kiongozi wa Kundi la Boko Haram, Alhaji Modu ‘Bem Bem’ baada ya kufanyika kwa mashambulizi ya anga. Mbali...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Mashambulizi yaliyofanywa na ndege isiyo na rubani na mizinga yameua Wanajeshi 42 Nchini Mali katika shambulizi la Waasi Nchini humo. Serikali ya Mali imesema katika shambulizi hilo lililotokea...
0 Reactions
11 Replies
933 Views
Tukio hilo limetokea Kaskazini mwa Iran karibu na Mji wa Kirkuk ikidaiwa Kundi la IS limehusika. Bomu lililipuka kwenye gari lililobeba askari hao karibu na Kijiji cha Chalal al-Matar, kisha...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Baada ya drone kumuua Mmarekani mmoja Syria, Marekani walijibu kwa kushambulia ngome ya magaidi wa Iran na kuua kadhaa.... US airstrikes killed eight pro-Iran fighters in eastern Syria following...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Waisrael kadhaa waangamizwa katika shambulizi la kulipiza kisasi Jun 21, 2023 12:08 UTC [https://media] Makundi ya muqawama ya Palestina yamefanya operesheni ya ulipizaji kisasi na kuwaangamiza...
0 Reactions
4 Replies
895 Views
The release of Tanzania’s opposition leader Freeman Mbowe is a step in the right direction which must be followed by concrete and effective measures to ensure full respect for human rights...
0 Reactions
3 Replies
539 Views
Kilimo ni uti wa mgongo wa maisha na pia ni sehemu muhimu sana hasa katika jamii yetu ya kisasa, ambapo kinaathiri chakula tunachokula, ardhi tunayoishi, na mambo mengine mengi ya jamii yetu...
1 Reactions
0 Replies
589 Views
Yuriy Ihnat ambaye ni msemaji ya vikosi vya anga vya jeshi la Ukraine amesema sababu ya kupigwa kwa shabaha nyingi nchini Ukraine katika siku za karibuni ni kwa vile Urusi imetengeneza makombora...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…