International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wakuu, Mimi ni miongoni mwa wahanga wa ishu za online, katika harakati zangu za kutafuta side hustle online nilichokuja kukigundua job za online zina ma scammers wengi sana na wengi ni Wanaijeria...
13 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakati mkutano wa 15 wa viongozi wa BRICS unaendelea mjini Johannesburg, Rais Xi Jinping wa China na mwenzake Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini leo wataongoza mazungumzo ya viongozi wa China na...
1 Reactions
0 Replies
584 Views
Ukraine wanaendelea kuitesa Urusi walipua mfumo wa S-300 na kuua wanajeshi wote waliokua wameuzingira, Crimea. Explosions in occupied Crimea took place on the morning of 23 August near the...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
The coup attempt, the Prigozhin rebellion, or the «March for Justice», as Prigozhin called it himself, has already generated important changes in the system of state governance in Russia...
1 Reactions
0 Replies
967 Views
Kwa wajuzi wa mambo kuhusu russia. Katika hii team mm nawajua watu wawili tu, ila nilikuwa namjua mmoja tu ambae ni putin ila kwa hii drama mpya nikamfahamu na Dmitry Utkin ambae inasadikika kuwa...
5 Reactions
4 Replies
804 Views
Hamna sehemu salama ndani ya Urusi.... AIRFIELD "SHAIKOVKA", PHOTO: RUSSIAN MEDIA A kamikaze drone crashed at the Shaikovka airfield in the Kirov district, Kaluga Oblast, Russia, on the morning...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Warusi walijitokeza wengi kulaki Wagner na jitihada zao kwenye uasi, ni dhahiri wameuchoka utawala wa Putin ila wanashindwa pakuanzia. Putin alishauriwa vizuri akaacha mikwara na kutafuta namna ya...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
UMOJA wa Afrika (AU) umeifungia nchi ya Niger kushiriki katika shughuli zote zinazohusiana na muungano huo kutokana na mapinduzi ya kijeshi yaliyofanywa mwezi uliopita. Kitengo cha amani na...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Baada ya kusoma habari hiyo, ni wakati sasa wa kuamini kwamba UK kaingia kwenye mtego wa Urusi na inaweza kuwa ni nchi ya kwanza na ya mwisho kutupiwa bomu la Nuclear kutoka Urusi. Kuitambua...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Kundi la Taliban linaloongoza serikali ya Afghanistan limezitaka Russia na Ukraine kumaliza tofauti kwa njia za amani. Hapa chini ni taarifa yake kwa kiswahili (sio rasmi).. "Emirate ya Kiislamu...
7 Reactions
50 Replies
4K Views
Waombaji waliojitokeza ni milioni 10, kutoka sehemu mbalimbali duniani. Kati ya hao, wenye sifa walikua milioni 7 na ni 119,262 ndiyo waliosajiriwa, wakati wanaotakiwa ni 55,000. Sababu ya...
5 Reactions
29 Replies
4K Views
[emoji779]️American Major General Anthony Potts has been killed in a Russian missile strike on the NATO HQ in the Ukrainian city of Dnepropetrovsk. [emoji631]The US Military admits his death, but...
5 Reactions
36 Replies
4K Views
Dah! Haya mambo ya drones ndio future, sijui Afrika tunajipangaje, yaani ndege za kivita tena za gharama zinapotezwa na drones kizembe tu............Mrusi hatokaa asahau huu ujinga alioanzisha...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Raia Milioni 6 wanashiriki mchakato wa upigaji Kura kwaajili ya kumchagua Rais atakayeongoza Nchi hiyo ambapo Wagombea 11 wa nafasi ya Urais wanawania Kiti akiwemo Rais aliyeko Madarakani...
0 Reactions
2 Replies
877 Views
Urusi ijiandae kwa mvua ya drones..... Warusi walikosea sana kuanzisha huu ugomvi bila kushirikisha ubongo..... Mykhailo Fedorov, Ukraine's Minister of Digital Transformation, has announced a...
1 Reactions
43 Replies
3K Views
MAHAKAMA Kuu nchini Thailand, imemhukumu aliyekuwa Waziri Mkuu wa Nchi hiyo Thaksin Shinawatra adhabu ya kifungo cha miaka nane jela. Taarifa hiyo imetolewa na chombo kimoja cha Habari ambapo...
0 Reactions
3 Replies
898 Views
Mkutano wa 15 wa wakuu wa nchi za BRICS umeanza tarehe 22 mjini Johannesburg, Afrika Kusini. Huu ni mkutano wa kwanza wa uso kwa uso wa viongozi wa BRICS katika kipindi cha miaka mitatu, na pia ni...
10 Reactions
17 Replies
2K Views
Wanajeshi wanaolinda mipaka wa Saudi Arabia wanashutumiwa kuwaua wahamiaji 430 raia wa Ethiopia waliokuwa wakiingia nchini humo wakitokea nchini Yemen. Hata hivyo Saudi Arabia imekanusha taarifa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Baada ya shirika ka ndege la Ufaransa kusitisha safari zake za Burkina Faso na Mali Rais Ibrahim ameagiza ndege mbili za ufaransa aina ya Boeing kutoondoka zishikiliwe nchini Ila marubani...
63 Reactions
153 Replies
11K Views
21 August 2023, 17:26 BST The Russian Ministry of Defence said in a statement that an attack by a "copter-type UAV" took place at around 10:00 Moscow time (08:00 BST). It stated the location as...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…