Like Hillary Clinton, Like Kamala Harris: Opinion Polls are Unrealistic
In American politics, few tools are as widely discussed and scrutinized as opinion polls. These surveys, intended to gauge...
HOSNI MUBARAK
- President of Egypt between 1981 and 2011
- Resigned in Arab Spring's Egyptian Revolution of 2011
- Was put on trial
- Former Vice President and Air Force commander
- Dead at...
Watu wameanza kuondoka kwenye majengo marefu!!
Barabara zimekua nyeupe kabisa watu wapo mashimoni
Yajayo yanasikitisha
Kichapo kitakachoshuka hapo Telaviv itabaki kuwa kwenye rekodi...
Mashirika ya ndege ya Marekani yamekatisha safari za kwenda Israel kwa kuhofia kipigo toka Iran
⚡️🇮🇱🇺🇸 Airlines are canceling flights to Israel
Starting tomorrow, United Airlines and Delta...
Wadau hamjamboni nyote?
Hali ni tete Mashariki ya kati
Taarifa kamili hapo chini
United, Delta, British Airways said to cancel Israel flights amid soaring tensions
Major American and British...
Waisrael hawashindwi kitu wakiamua. Kama wameweza kumuulia kamanda wa hamas hukohulo iran itashindikana vipi kusema kwamba wao ndo waliangusha helkopter kwa technologia kubwa waliyonayo.
Jamani...
Wadau hamjamboni nyote?
Hali siyo shwari kabisa kwa magaidi duniani kote kwani mayahudi wameamua kutembeza kichapo kila kona
Hakuna sehemu salama kwa gaidi yeyote ndani ya sayari yetu ya dunia...
It is just a rumors bado haijawahi comfirmed ila ndo habari iliyonifikia muda huu kama Breaking news
#BREAKING: Reports claim another high-ranking IRGC official has been assassinated in Syria.
Wanakumbi.
BREAKING: TAARIFA RASMI YEMENI HOUTHI
"Adui wa Israeli walianzisha uchokozi wa kikatili dhidi ya Gavana wa Hodeidah, wakilenga na uvamizi mara kadhaa kwenye kituo cha umeme...
Wadau hamjamboni nyote?
Baada ya kuona kuwa Israel haitanii sasa uongozi wa magaidi hatari wa Hezbollah umeanza kuhamisha silaha zake za hatari ikiwemo makombora huku ikijiandaa kukabiliana...
Vikundi vya kigaidi kama Hamas hutumia raia wa kawaida kina mama na watoto kuwa ngao ili kuipa Israel wakati mgumu kwenye mashambulizi tofauti na wao wakipata hata nafasi ndogo ya kuingia Israel...
Venezuela Descending into Chaos After "Sham" Election; Troops Firing on Protesting Voters!
JULY 30, 2024
The country of Venezuela is descending into violent chaos this morning, with citizens...
Jaji wa Mahakama Kuu, Abena Afia Serwaa, amekubali ombi la polisi la kuzuia maandamano ya vijana yaliyopangwa kufanyika kati ya Julai 31 na Agosti 6, 2024, kutokana na uhaba wa maafisa wa polisi...
Jeshi la ulinzi la israel limefanya shambulio la angani lililolenga Kamanda wa Hezbollah mjini beirut kufuatia shambulio lililosababisha vifo vya watoto wengi katika eneo la Golan heights eneo...
Wanaukumbi.
Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi, kuonyesha utayari vita kamili na ulinzi wa nchi na mafanikio ya hivi karibuni katika sekta hii.
Kumbuka Iran...
Ripoti ya Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI), imeinesha Nchi 5 tu (Marekani, Russia, Ufaransa, China na Ujerumani) zimechangia 76% ya Usambazaji wa Silaha za Kivita...
Habari,
Jamani tukazane kuhimiza mabadiliko ya kielimu
Nchi kama Nigeria, Cameroon mtu kuwa na PhD tatu au nne ni kitu cha kawaida mnoo, alafu yuko ametulia mahali tu'' - @SamsonChazz
kitendo cha kiongozi wa kisiasa wa Hamas kuuwawa tena nchini kwao, kwenye mji mkuu wao, mgeni aliku alikwa na raisi, na wameshindwa kumlinda, inaonesha ni jinsi gani hawako vile watu wanawadhania...