Ndiyo!
Africa mpaka sasa sifahamu ni nchi gani ambayo viongozi wake wakikohoa, kina Kagame wanakaa kimya
Congo, watu wake wanapata tabu sana kwa vita ambavyo tangu nimekuwa na akili nasikia tu...
Nchi nyingi zilizoshindwa au failed state huwa zina changamoto kama
1. Ukabila au jamii tofauti zinazopigana
2.Dini (vita ya kidini kati ya Waislam na dini zingine kama Ukristu, Uhindu na...
Nikisikia hii kauli najiulizaga WTF?
Labda umesikia kauli kama hizi youtube, kwene website au social media
Lakini ukweli ni kwamba waafrica wengi na viongozi wengi ni kina TIP TIP
Asiejua...
Wadau hamjamboni nyote?
Maonyesho ya kimataifa ya silaha za hatari huko Urusi , Iran yaanika makombora yake hatari yenye uwezo kupiga Hadi kilometers 2,000
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo...
Maoni yangu hii vita haitatokea. The fact kwamba wahasimu hawa wawili, wakiwashirikisha Super Power walio upande wao wamefikia hata kuzungumzia silaha za Maangamizi (kunazungumzwa sasa Nuclear)...
Umoja wa Ulaya unafikiria kuyabana makampuni yanayotoa huduma za mitandao ya kijamii kutafuta namna ya kuwabana watumiaji wanoitumia kueneza habari za uzushi na uvumi unao hatarisha usalama wa...
2024 Olympics Medal Count for Middle East & North Africa Countries
[emoji1130] Iran: 12 medals ([emoji1628]3, [emoji1627]6, [emoji1626]3)
[emoji1250] Turkey: 8 medals ([emoji1628]0, [emoji1627]3...
NB: Paschal Mayalla naomba utupe fasiri sahihi ya sentesi hii (Revenge is a dish best served Cold)
Wadau hamjamboni nyote?
Kumekucha Mashariki ya kati
Spika wa bunge la Lebanon na mshirika...
Hiyo hapo juu ni orodha na picha ya Magaidi 19 ya Hamas na Islamic Jihad yaliouwawa na Airstrike ya Jeshi teule tukufu la IDF yakiwa yamejificha shuleni wakidhani yatakuwa salama.
Pia soma: LIVE...
Wadau hamjamboni nyote?
Serikali ya Kiislamu ya Iran imeamua kujipanga kisawasawa
Imefanya uteuzi wa kihistoria Jenerali Aziz amekabidhiwa rasmi kuongoza wizara ya ulinzi ya nchini humo.
Ni...
Wadau hamjamboni nyote?
Jeshi la Israel limepuga marufuku marubani wake wote kusafiri nje ya nchi hiyo kama tahadhari ya maandalizi ya vita dhidi ya Iran, Hezbollah na washirika wao
Agizo hilo...
Idadi / population ya warwanda
Wahutu 85 %
Watutsi 14 %
Watwa 1%.
Kwa hisoria fupi, mauaji ya Kimbari 1994 yalianza baada ya waasi wa kitutsi wakiongozwa na Kagame kulipua ndege aliyokuwemo...
Huyu alikuwa ndiye waziri wa fedha na uchumi wa Hamas ambaye pamoja na majukumu mengine kazi yake ilikuwa kitengo cha Hamas cha uzalishaji silaha.
The IDF says it killed Hamas's economy minister...
Ni baadhi ya vitu mbavyo Biden na Harris sambamba na Democrats wamevifanya vitavyomsafishia njia Trump.
Mfumuko wa bei, Maisha yamekuwa ghali zaidi kipindi cha Biden na Harris
Hakuna kitu...
In South Africa, there is a church in which they worship RAPPER LIL'KIM as their GODDESS.
The Church is known as " THE HOLY TEMPLE OF GODDESS LIL'KIM" and it operates in form of a secret...
Agosti 9, 2024, Ndege aina ya
DHC-8-300 yenye usajili 5Y-SMI (Kenya) inayoendeshwa na Renegade Air kupitia WFP UNHAS, ilitengana na tairi zake kuu wakati wa kupaa kutoka Buny Airstrip huko...
Katika hali inayoonyesha kugeuziwa kibao, Russia sasa inahaha kupambana na uvamizi uliofanywa na majeshi ya Ukraine katika ardhi yake.
Jeshi la Urusi limesema "linaendelea kurudisha nyuma"...
Ni mojawapo ya vinu vikubwa vya nyuklia Ulaya kilichokuwepo Ukraine kwa ajili ya kuzalisha umeme, kilichukuliwa na Urusi katika uvamizi wa Ukraine na sasa kipo chini ya himaya ya Urusi.
Urusi ina...
Katika siku mbili hizi tumeshuhudia waingereza waliochoshwa na vitendo vya wahamiaji hasa hasa wale wa kiislam, kujichukulia sheria mkononi na kushambulia maeneo ya waislam.
mfano walianzisha...
Wanaukumbi,
Angalia hizo video
Marekani na
IDF ilifanya operesheni iliyofeli katika huko Yemen na Wanajeshi wao 70 waliuawa hapo hapo.
Msikilize Kanali wa Marekani Douglas Macgregor...