International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Rwanda ni nchi flan yenye ukubwa wa km za mraba zisizopungua 26330 hivi.. ikiwa na idadi ya watu wasiopungua million 10.. huku mji mkuu ukiwa ni Kigali wenye idadi ya watu kama million 1,288,000...
34 Reactions
122 Replies
6K Views
Kukamatwa kwa Pavel mmiliki wa mtandao wa Telegram pengine kumepelekea mtandao huo kuwa slow sana na wakati mwingine mpaka utumie VPN .Vip inaweza kuwa sababu hiyo ?? Wajuzi wa mambo mtujuze...
10 Reactions
150 Replies
11K Views
Tume ya uchaguzi ya Tunisia imeidhinisha wagombea watatu pekee kugombea katika uchaguzi wa urais mwezi Oktoba 6, 2024, ikipuuza uamuzi wa mahakama wa kuwarejesha wagombea wengine watatu. Wagombea...
0 Reactions
1 Replies
611 Views
Reports: New York is Deploying National Guard troops,not State Guard Troops for Trump sentencing on Sept 18. There are claims that Trump will be lmprisoned on that day,so they fear riots will...
3 Reactions
12 Replies
976 Views
Nyangumi aina ya ‘beluga’ anayeshukiwa kupewa mafunzo ya kijasusi na Urusi amepatikana amefariki katika pwani ya Norway. Mwili wa mnyama huyo - kwa jina la utani Hvaldimir - ulipatikana ukielea...
1 Reactions
2 Replies
673 Views
Yafahamu mataifa 10 barani Afrika yenye uwezo mkubwa wa kijeshi 2024 Chanzo cha picha,Reuters Maelezo ya picha,Wanajeshi walinda amani wakipiga doria Libya 31 Mei 2021 Uwezo wa kijeshi ni muhimu...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Yonhap, Watumishi wa zaidi ya Taasisi 50 katika Jimbo la Gyeonggi wataanza jaribio hilo badala ya Siku 5 au 6 za sasa. - Majaribio hayo yanayotarajiwa kuanza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Rais Kagame amewafuta kazi Amiri Jeshi Mkuu, Kanali, na maofisa wa ngazi za juu19 wa jeshi na akivunja mikataba ya maafisa 195 wa ngazi za chini, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Jeshi la...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Jeshi la Ukraine lilidai siku ya Jumatano kuiangusha ndege ya kivita ya Urusi mashariki mwa Ukraine huku Urusi ikizidisha kulipiza kisasi katika eneo la mashariki linalokaliwa na Ukraine muda...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Mahakama Kuu nchini Brazil, leo September 2, 2024 itatoa uamuzi kwa kupiga Kura itakayoidhinisha kufungiwa au kuondoa adhabu hiyo dhidi ya Mtandao wa X (zamani Twitter), uamuzi uliotolewa Agosti...
0 Reactions
1 Replies
776 Views
Chini ya sheria mpya, sauti za wanawake pia zinachukuliwa kuwa ni uovu zinaposikika hadharani. Sheria inasema, “wakati wowote mwanamke mtu mzima anapoondoka nyumbani kwake kwa jambo la lazima...
13 Reactions
60 Replies
2K Views
All creatures on earth obey a dictatorship. Nyuki wanamworship malkia bila kujua kwanini...kazi yake ni kuzaaa tu ila wao wanamtafutia kila kitu,chakula kumlimda na Wananchi wote tunamtafutia...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? IDF wameamua na wamedhamiria kuhakikisha kuwa Viongozi white wa magaidi wanatangulia mbele za haki Nia wanayo, sababu wanayo na uwezo wanao! Leo kwa mara nyingine tena...
10 Reactions
39 Replies
2K Views
29 April 2024 Nairobi, Kenya Mkutano huo ulioanza tarehe 29 April 2024 na kuhutubiwa na viongozi wa kiafrika wakiwemo rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania, rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda...
9 Reactions
40 Replies
4K Views
Wayahudi wana haki waliyopewa na Mungu kwa nchi hii. Kiongozi mmojawapo wa vyama viwili vya siasa kali za mrengo wa kulia, vinavyounga mkono walowezi, ambavyo Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu...
8 Reactions
36 Replies
2K Views
Kijana mmoja raia wa Syria siku ya Jumapili aliamriwa kushikiliwa kwa tuhuma za mauaji na uanachama katika kikundi cha kigaidi cha kiislam cha Isis kuhusiana na shambulio la visu la Solingen...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye ameitaka Ulaya kusaidia kukabiliana na tishio la usalama linaloongezeka huko Sahel, eneo tete ambalo limekabiliwa na mfululizo wa mashambulizi mabaya katika...
4 Reactions
12 Replies
959 Views
Kwa tabia ya baadhi watz kutaka kushauri na kuchambua na hata kukosoa mataifa makubwa Kama Us China kwenye mambo waliooshindwa Nisengeshangaa kuwashauri Wanyarwanda Endeleeni kuitana huku...
3 Reactions
9 Replies
961 Views
Ujerumani itatoa dozi 100,000 za chanjo ya mpox kutoka kwa hisa zake za kijeshi kusaidia kudhibiti mlipuko katika bara la Afrika katika muda mfupi na pia kutoa msaada kwa nchi zilizoathiriwa...
0 Reactions
2 Replies
738 Views
Inachukua saa chache tu kwa basi kutoka Kigali hadi Goma, lakini kusafiri kutoka Rwanda hadi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kuligharimu mwandishi mmoja kuhama Nchi—na huenda kuligharimu...
17 Reactions
36 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…