Toka Kamala Haris ateuliwe kua mgombea wa Urais Marekani na chama chake cha democrat, jana amefanya public interview ya 3, ya kwanza ilikua ya cnn ambayo alikua na mgombea mwenza wake, interview...
Ndege hiyo ya Marekani ya NAVY, Boeing P–8A Poseidon, ilikuwa ikipita katika anga la kimataifa katika Bahari ya Kusini ya China.
Jeshi la China kwa kutumia vifaa vya teknolojia vyenye uwezo wa...
Mdahalo wa kwanza baina ya Donald Trump na Kamala Harris katika kinyang'anyiro cha urais wa USA umefanyika usiku wa kuamkia leo huko marekani, baadhi yetu tulifanikiwa kuufatilia kwa kina katika...
Shambulizi linalodaiwa kufanywa na Israel karibu na mji wa Aleppo nchini Syria mapema jana Jumatatu, lilimuua jenerali wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Saeed Abiyar, chombo cha...
Wakati Ukraine ikikumbwa na hamas za chini kabisa katika vita na upungufu wa askari na silaha,imeelezwa wapiganaji kutoka Chenchnya wamefanikiwa kuwasukuma nyuma wapiganaji wa Ukraine...
Wallah! sauti ya Kamala imenikosha sana, kabda akilini mwangu nilikosa sauti nzuri kutoka kwakwe nyingi ya sauti zake nilizowahi kumsikiliza nilimwona kama mtu anayeongelea puani kitendo...
Kwa mara nyengine tena raisi wa Uturuki ,Tayyib Erdogan amekuja na pendekezo la kupambana na Israel ili kuwatetea wapalestina na kujikinga na hatari za kujitanua kwa Israel kwenye maeneo ya...
Zaidi ya watu 179 wamefariki dunia nchini Vietnam kufuatia maporomoko ya ardhi na mafuriko yaliyosababishwa na kimbunga Yagi.
Habari kutoka Vietnam zinasema watu wengine zaidi ya 140 hawajulikani...
Mchungaji wa Ufilipino, Apollo Quiboloy mwenye ushawishi mkubwa na aliyekuwa akisakwa nchini Ufilipino na Marekani kwa tuhuma za biashara ya ngono kwa watoto na usafirishaji haramu wa binadamu...
Privatisation Gone Mad or State Capture!
Kenya's privatisation is nothing short of a masterclass in state capture, a system so drenched in corruption that it's impossible to discern where public...
Kabisa kabisa kama unaamini Tanzania tuna Siasa, Vyama Vya Siasa na Wanasiasa basi wasikilize Trump na Kamala Harris kwenye Mdahalo wao Utajua Hujui
Nasubiri mrejesho
Ahsanteni Sana 😂😂🔥
Ili nisiwachoshe, naona nibora niwawekee screenshots za cover page na page nyingine mbili ambazo zinafichua
1. BBC ktk taarifa zao waliepuka kutaja kuwa kati ya waliouawa walikuwepo askari wa...
Harris campaign wants a second debate
Harris’s campaign has almost immediately called for a second debate against Trump.
“Under the bright lights, the American people got to see the choice they...
Tamko la aina hiyo limeshatolewa huko nyuma na makamanda wa jeshi la Marekani na ikaonekana kama ni utani.Kwa mara nyengine limetolewa na kamanda mkuu wa vikosi vya wanamaji wa Marekani eneo la...
Ndege isiyokuwa na rubani inayogharimu dola milioni kadhaa za kimarekani imedondoshwa na wanamgambo wa Houth huko Yemen.
Taarifa za kuangushwa kwa ndege hiyo ya upelelezi ya MQ-9 reaper bado...
Wanakumbi.
Netanyahu alikuwa akitetemeka sana wakati mpiga picha alipogundua, mara moja alijaribu kuwaficha kwenye video .
Netanyahu ana kila kitu anapewa misaada ye pesa na silaha kutoka...
Kwa ufundi na subira za hali ya juu Hamas wameweza kuhimili kipigo kizito cha Israel na washirika wake mpaka umefika mwaka mmoja hapo Septema 7.
Uzito wa vita hivyo umeonekana na kila upande...
TRUMP:
Anamshutumu Kamala kwa mfumuko wa bei uliopanda maradufu.
Anamshutumu Kamala kwa makosa waliofanya kupelekea vifo na uachaji wa silaha za vita kipindi wanaondosha jeshi Afghanistan...