International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Waziri wa mambo ya nje wa Iran amezionya nchi za kiarabu zitakazojitia kiherehere kuisiaidia Israel kufanya ugaidi dhidi yake. Bila kuzitaja majina bila shaka Waziri huyo anamaanisha nchi kama...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
US Navy destroyers in the eastern Mediterranean Sea intercepted Iranian ballistic missiles during Tuesdayโ€™s launch, according to a US defense official. The US currently has three guided-missile...
7 Reactions
95 Replies
7K Views
Kwa taarifa rasmi ya Al Jazeera, waathirika wa mtafaruku huu ni Wapalestina. Kumbe Iron Dome inalinda Wayahudi vuzuri sana.
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Finally wamekiri nilishasema hawa watu wana Nyuklia kitambo tu walikua wanatuzuga!! [emoji3544] ๐๐ซ๐ž๐š๐ค๐ข๐ง๐  ๐๐ž๐ฐ๐ฌ [emoji3544] [emoji1130] | ๐—œ๐—ฟ๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ๐—ป ๐—ฃ๐—ผ๐—น๐—ถ๐˜๐—ถ๐—ฐ๐—ถ๐—ฎ๐—ป ๐—–๐—น๐—ฎ๐—ถ๐—บ๐˜€ ๐—œ๐—ฟ๐—ฎ๐—ป ๐— ๐—ฎ๐˜† ๐—”๐—น๐—ฟ๐—ฒ๐—ฎ๐—ฑ๐˜† ๐—ฃ๐—ผ๐˜€๐˜€๐—ฒ๐˜€๐˜€ ๐Ÿด-๐Ÿญ๐Ÿฑ...
7 Reactions
92 Replies
4K Views
Kuna kamanda ameuawa na Hezbollah huko Lebanon, ukiangalia umri wake halafu ndiyo kiongozi, napata shida kidogo! Wajuzi wa vita tupeni elimu! Israeli commander killed in Lebanon, Israel says The...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Inaonekana jamaa wa Hezbollah walijipanga zaidi ardhini kuliko angani! Leo na jana wayahudi wamepokea sana kichapo! Halafu hawaongei wanawaacha wayahudi wenyewe waongee! Ukiona wamagharibi...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Ripoti iliyotolewa Jumanne imesema kuwa wakati uchaguzi wa Rais wa Marekani ukikaribia, usalama wa wanahabari haujahakikishwa kwa mujibu wa marekebisho ya kwanza ya Katiba ya Marekani. Wanahabari...
0 Reactions
3 Replies
330 Views
Idadi kubwa ya makomando wa Israel huishi Lebanon ndani na hamna wasichokijua au kukifanya humo tena kimya kimya.....ndio hutoa taarifa za wapi pa kupiga, husaidia sana kwenye mapigo dhidi ya...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Bei ya mafuta ilipanda baada ya Iran kurusha makombora ya balistiki dhidi ya Israel na kuzua hofu ya mzozo mkubwa katika eneo la Mashariki ya Kati ambao unaweza kuvuruga usambazaji wa mafuta...
2 Reactions
2 Replies
376 Views
Afrika yenye barabara na magari machache zaidi katika eneo lolote duniani, lakini ni bara lenye idadi kubwa ya watu wanaokufa kutokana na ajali za barabarani. Ajali hizo zinachochewa na uzembe...
1 Reactions
4 Replies
431 Views
Hii vita inaenda kuwa vita ya Ukanda wote Yemen imetangaza kuanza vita rasmi na Israel na imetangaza kuanza operesheni maalum ya kuichakaza Israel kwa makombora na Drones โ€˜Vikosi vyetu...
11 Reactions
247 Replies
23K Views
Ni suala la ajabu sana kwa mtanzania anayeishi Tanzania na HALI hii ya maishร , eti naye anafanya propaganda ya vita vya mashariki ya kati. Kama kweli una akili si ufanye propaganda ya kuondoka...
4 Reactions
8 Replies
517 Views
ISraeli amakuwa akipagana vita toka enzi na enzi na mara nyingi ameenda utumwani. Hii yote imekuwa ni kiimani sana kwamba. Israel ni Taifa Teule Mungu amelichagua hili kutoa elimu kwa watu wake...
5 Reactions
52 Replies
4K Views
Seriously !! Iran walichoweza hadi sasa ni kuua mplestina 1, Kupania kote kule kurusha makombora 200+ wameua mpalestina moja ? Israel Helikopta ya Rais wa Iran iliopotezwa mawinguni asubuhi...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
https://www.youtube.com/watch?v=O1isnJKJtVQ&ab_channel=Bobby%27sPerspective
4 Reactions
44 Replies
2K Views
Huu mkwara wa Komandoo Netanyahu imeniogopesha sana Mosi, Kosa la milele Pili, Gharama ya milele Netanyahu amesema ni lazima Iran atalipa gharama iliyotukuka Credit: Al Jazeera
14 Reactions
82 Replies
4K Views
Mwezi Januari 2023, mwandishi wa habari wa Rwanda John Williams Ntwali aliuawa katika ajali ya barabarani. Ripoti zake zisizokoma kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu, mateso ya kisiasa, na...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Shirika la kimataifa la Uhamiaji (IOM) limesema kuwa watu 45 wamepoteza maisha na wengine 111 hawajulikani walipo kufuatia ajali ya baharini iliyohusisha chombo kilichokuwa kimebeba wahamiaji...
1 Reactions
1 Replies
308 Views
Mwanajeshi wa kwanza wa Israel amethibitishwa kuuawa ndani ya Lebanon tangu uvamizi wa ardhini kuanza. Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) lilitangaza katika taarifa kwamba Kapteni Eitan Yitzhak...
1 Reactions
0 Replies
379 Views
Gazeti moja la Kizayuni limetangaza kuwa, kiyama kitaishukia Israel iwapo Iran na Hizbullah zitaamua kufanya mashambulio ya pamoja dhidi ya utawala wa Kizayuni. Gazeti la Kizayuni la Yedioth...
2 Reactions
10 Replies
976 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ