Iran Imerusha makombora mengi yaliyoweza kufikia israel bila kizuizi cha Iron Doma kala ilivyozoeleks, Hakuna watu waliopata maafa kwasababu walijificha kwenye kumbi maalum za kujikinga na mabomu...
Kuna tetesi za kiintelijensia zisemazo kuwa utawala wa Kizayuni umepanga kufanya shambulio la makombora dhidi ya viongozi wa serikali ya Jamuuri ya Kiisalam wa Iran waoongozwa na Himam Ayatollah...
Ayatollah na wadau wake walisema sababu ya kurusha makombora ni
1: Kisasi kwa kiongozi wa Hamas aliyeuwawa ndani ya ardhi yake na watu wanaodhaniwa ni waisrael.
2: Kuuwawa kwa kiongozi wa...
Shirika la habari la Marekani, CNN, limeripoti kuwa wakati waandishi wake wakiwa wanajaribu kupata mahojiano na mke wa rais wa zamani wa Marekani, Melania Trump, team ya Melania Trump ambao...
Jana nilileta uzi wa baadhi ya mambo ambayo yatasababisha kuanguka kwa nchi za magharibi.
FEMA ni mfuko wa kusaidia jamii kwa ajili ya majanga na emergency mbali mbali huko Marekani.
Sasa...
Kinachoendelea mashariki ya kati nyuma yake kuna Mungu na Shetani. Vita za mashariki ya kati ni roadmap ya mwisho wa dunia. Kutokana na Vita zinazoondelea ulimwenguni sasa, kuna vitisho vya baadhi...
Miili 20 imeopolewa kutoka Ziwa Kivu Mashariki baada ya boti iliyokuwa safari kutoka Minova kupinduka umbali wa Mita 100 kutoka eneo ilipokuwa inaelekea (Fukwe ya Goma)
Video inayosambaa...
Ziara ya kifalme DRC: Mfalme Phillipe arejesha mali zilizoporwa enzi za ukoloni
Mfalme Philippe amekabidhi kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo mali ya kwanza kati ya vitu 84,000 vilizoporwa...
Mkuu wa kamati ya bajeti katika bunge la Kuwait, Adnan Abdulsamad ametahadhrisha kuwa hivi sasa kuna walimu wanne tu nchini humo wanaofundisha somo la Fizikia na kusisitiza kuwa idadi hiyo...
Wanajeshi wa Israel wanakabiliwa na shubiri chungu sana kwenye uvamizi wao huko nchini Lebanon.
Hapo kwenye video ni kikosi maalum cha makomando cha Israel kilicho angamizwa na wapiganaji wa...
Waziri mkuu wa zamani wa Israel Naftari Bennet amesema kuwa zamani Biden alisema acheni kwanza sasa amesema pambaneni tuko nyuma yenu hivyo tunachagua pakuanzia viwanda vya uchimbaji...
Wadau hamjamboni nyote?
Kikao kizito sana kinaendelea muda huu.
Tuombe Mungu atuvushe salama
Wajumbe:
Mkuu wa shin bet Ronan Bar
Mkuu wa Mossad David Barnea,
Waziri wa ulinzi Yoav Galant
Mkuu...
Mayotte votes on ties with France
Leo hii Visiwa vya Mayotte wanapiga kura kama wapate uhuru au waendelee kuwa chini ya Mfaransa!
Chini ya Mfaransa visiwa hivi vyenye watu 200,000...
Wanajeshi zaidi ya 8 wa Israel wameuawa na wengine 20 kujeruhiwa baada ya ambush ya kushutukiza ya wapiganaji wa hizbullah wakati wa jaribio la wanajeshi hao kuingia kwenye kijiji cha mpakani cha...
Pamoja na kusikitishwa na uvamizi wa Israel kule Lebanon Nchi ya Russia imemuonya Netanyahu asijaribu kushambulia Iran na Syria kwani uvumilivu una mwisho
BBC
Zaidi ya Watu 100 wanadaiwa kupoteza maisha baada ya Boti ya Abiria kuzama kwenye Mto Niger wakati ilipokuwa ikitoka Kijiji cha Mundi kuelekea Kijiji cha Gbajibo.
Shirika la Usimamizi wa Dharura...
Tiketi za tamasha la Chris Brown ‘Breezy in South Africa’ katika Uwanja wa FNB, Johannesburg, zimeuzwa zote, huku tukio hilo kubwa likitarajiwa kufanyika tarehe 14 Desemba. Hili ni moja ya matukio...
Tangazo kwa lugha za kichina ,mandarini, korea na kiajemi limewataka watu walio na sifa na walio na siri za yale wanayoyatafuta watume maombi ya kazi ili wafikie msimbo wa website yao.
Hii inamaa...
Confusion and violence mar party nominations
Story by SATURDAY NATION Team
Publication Date: 11/17/2007
Chaos, violence, delays and claims of vote-buying on Friday marred the nomination...
Naomba nipongeze wachambuzi wote wa vita vya mashariki ya kati na mbali
Ila Naomba kukumbusha sisi wote ni watanzania au EA Kwa wengine.
Ila tusisahau kuchambua vita yetu ya nyumbani jamani ya...