🚨Lebanese media: Hezbollah member "Ibrahim Amin Al-Sayyed" refuses to assume leadership of the party; and requests to travel to Tehran in order to devote himself to worship in Iran.
Why does no...
Wadau hamjamboni nyote?
Kamanda Mkuu anayeongoza idara ya mawasiliano ya kikundi cha kigaidi cha Hezbollah
Mwamedi Rashid Sakafia
ameuawa kwa shambulizi la ndege za IDF akiwa amejificha...
Victim Card Strategy ni nini?
Victim Card Strategy (mbinu ya kujifanya mwathirika) ni mbinu ambapo mtu au kundi la watu hujifanya kuwa waathirika wa hali fulani au mazingira, kwa lengo la kupata...
Wadau hamjamboni nyote?
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Israel naftal ameishauri Israel kusambaratisha kinu cha kuzalisha nyuklia pamoja na mfumo mzima wa kuzalisha nishati nchini Iran.
Ameongeza...
First direct ground confrontation between Israel and Hezballah in Lebanon,14 dead 20+ wounded Israeli soldiers - Israeli Ambassador kidnapped!
Hal Turner World October 02, 2024
Reports have...
Katibu wa UN Kama kiongozi wa umoja wa mataifa yote alipaswa akemea hadharani uvamizi wa Iran nchini Israel. Ila naamini Israel wanaweka rekodi sawa ili siku akivamia Iran katibu wa UN usiingize...
Picha za satalait zinazo onesha uharibifu kwenye base 2 za anga za Israel.
shirika la habari la AP lilionesha picha za setalait za Ovde air base na Nevatim air base zikiwa zimeharibiwa vibaya sana.
Wanaukumbi.
Kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei:
“Wakiridhika na nchi moja, wanakwenda nchi nyingine.
Kila nchi ambayo haitaki kutekwa na adui, lazima iwe macho tangu mwanzo.
Adui...
Wadau hamjamboni nyote?
Hassan nasrallah aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Hezbollah amezikwa kwa muda eneo lisilojulikana wakihofia mazishi makubwa ya wazi upo uwezekano mkubwa wa Mossad na IDF kutumia...
Nimeshangaa sana kusoma taarifa kuwa kiongozi huyo anatarajia kutoa hotuba leo Ijumaa wakati wa swala ya Ijumaa kwani anajiweka katika hatari ya kushambuliwa na majeshi ya Israel kama ilivyokuwa...
Mliimba akbar akbar kila mara pale magaidi wa waislamu, Hezbollah walipochokoza Israel, mkaambiwa msitishe maana mkijibiwa msije mkalia, sasa imekua kilio Lebanon, watu milioni moja wakimbia...
HEZBOLLAH NI NINI HASA?
Kwa haraka sana, Hezbollah ni chama cha siasa nchini Lebanon LAKINI KUMBUKA CHAMA NI CHAMA CHENYE JESHI LENYE SILAHA!
Yaani, jenga picha mfano wa vyama vyetu hapa nchini...
My Take
USA wako busy na Israel huku watu wao wanakufa bila Msaada 😁😁😁👇👇
--
Idadi ya watu waliofariki kutokana na kimbunga Helene nchini Marekani, imevuka watu 200 wakati huu vikosi vya uokoaji...
Wanaukumbi,
Sisi viongozi wa Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani na Italia tulijadili hali ya Mashariki ya Kati. Tulielezea uungaji mkono wetu kamili kwa juhudi zinazoendelea za kupunguza...
Mamlaka ya uturuki iliwaua Waarmenia kati ya 600,000 hadi 1,500,000.
Mnamo tarehe 24 Aprili 1915, mamlaka ya Ottoman ilikamata na kufukuza mamia ya wasomi na viongozi wa Armenia kutoka...
Katika hili Nakubaliana na Ayatollah Khamenei kwamba kila nchi duniani ina Haki ya Kujilinda
Tanzania tulimshughulikia Nduli Iddi Amin alipovuka Mpaka wa nchi yake na kutuchokoza
Jumaa Mubarak 😀
Tanzania tunachukulia vitu poa sana.
Weka VPN ingia BBC iPlayer angalia kipindi kinaitwa ‘war games’ uone jinsi usalama wa taifa wa marekani walivyoogopa hii scenario na kutaka kujifunza...
Iran Imerusha makombora mengi yaliyoweza kufikia israel bila kizuizi cha Iron Doma kala ilivyozoeleks, Hakuna watu waliopata maafa kwasababu walijificha kwenye kumbi maalum za kujikinga na mabomu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.