International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Nimeshangaa sana kusoma taarifa kuwa kiongozi huyo anatarajia kutoa hotuba leo Ijumaa wakati wa swala ya Ijumaa kwani anajiweka katika hatari ya kushambuliwa na majeshi ya Israel kama ilivyokuwa...
12 Reactions
105 Replies
4K Views
Mliimba akbar akbar kila mara pale magaidi wa waislamu, Hezbollah walipochokoza Israel, mkaambiwa msitishe maana mkijibiwa msije mkalia, sasa imekua kilio Lebanon, watu milioni moja wakimbia...
2 Reactions
3 Replies
570 Views
HEZBOLLAH NI NINI HASA? Kwa haraka sana, Hezbollah ni chama cha siasa nchini Lebanon LAKINI KUMBUKA CHAMA NI CHAMA CHENYE JESHI LENYE SILAHA! Yaani, jenga picha mfano wa vyama vyetu hapa nchini...
5 Reactions
6 Replies
850 Views
My Take USA wako busy na Israel huku watu wao wanakufa bila Msaada 😁😁😁👇👇 -- Idadi ya watu waliofariki kutokana na kimbunga Helene nchini Marekani, imevuka watu 200 wakati huu vikosi vya uokoaji...
6 Reactions
48 Replies
2K Views
Wanaukumbi, Sisi viongozi wa Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani na Italia tulijadili hali ya Mashariki ya Kati. Tulielezea uungaji mkono wetu kamili kwa juhudi zinazoendelea za kupunguza...
8 Reactions
110 Replies
4K Views
Mamlaka ya uturuki iliwaua Waarmenia kati ya 600,000 hadi 1,500,000. Mnamo tarehe 24 Aprili 1915, mamlaka ya Ottoman ilikamata na kufukuza mamia ya wasomi na viongozi wa Armenia kutoka...
2 Reactions
25 Replies
962 Views
Katika hili Nakubaliana na Ayatollah Khamenei kwamba kila nchi duniani ina Haki ya Kujilinda Tanzania tulimshughulikia Nduli Iddi Amin alipovuka Mpaka wa nchi yake na kutuchokoza Jumaa Mubarak 😀
1 Reactions
3 Replies
376 Views
Tanzania tunachukulia vitu poa sana. Weka VPN ingia BBC iPlayer angalia kipindi kinaitwa ‘war games’ uone jinsi usalama wa taifa wa marekani walivyoogopa hii scenario na kutaka kujifunza...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Iran Imerusha makombora mengi yaliyoweza kufikia israel bila kizuizi cha Iron Doma kala ilivyozoeleks, Hakuna watu waliopata maafa kwasababu walijificha kwenye kumbi maalum za kujikinga na mabomu...
4 Reactions
62 Replies
4K Views
Kuna tetesi za kiintelijensia zisemazo kuwa utawala wa Kizayuni umepanga kufanya shambulio la makombora dhidi ya viongozi wa serikali ya Jamuuri ya Kiisalam wa Iran waoongozwa na Himam Ayatollah...
0 Reactions
7 Replies
937 Views
Ayatollah na wadau wake walisema sababu ya kurusha makombora ni 1: Kisasi kwa kiongozi wa Hamas aliyeuwawa ndani ya ardhi yake na watu wanaodhaniwa ni waisrael. 2: Kuuwawa kwa kiongozi wa...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Shirika la habari la Marekani, CNN, limeripoti kuwa wakati waandishi wake wakiwa wanajaribu kupata mahojiano na mke wa rais wa zamani wa Marekani, Melania Trump, team ya Melania Trump ambao...
0 Reactions
5 Replies
604 Views
Jana nilileta uzi wa baadhi ya mambo ambayo yatasababisha kuanguka kwa nchi za magharibi. FEMA ni mfuko wa kusaidia jamii kwa ajili ya majanga na emergency mbali mbali huko Marekani. Sasa...
1 Reactions
2 Replies
517 Views
Kinachoendelea mashariki ya kati nyuma yake kuna Mungu na Shetani. Vita za mashariki ya kati ni roadmap ya mwisho wa dunia. Kutokana na Vita zinazoondelea ulimwenguni sasa, kuna vitisho vya baadhi...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Miili 20 imeopolewa kutoka Ziwa Kivu Mashariki baada ya boti iliyokuwa safari kutoka Minova kupinduka umbali wa Mita 100 kutoka eneo ilipokuwa inaelekea (Fukwe ya Goma) Video inayosambaa...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Ziara ya kifalme DRC: Mfalme Phillipe arejesha mali zilizoporwa enzi za ukoloni Mfalme Philippe amekabidhi kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo mali ya kwanza kati ya vitu 84,000 vilizoporwa...
2 Reactions
7 Replies
812 Views
Mkuu wa kamati ya bajeti katika bunge la Kuwait, Adnan Abdulsamad ametahadhrisha kuwa hivi sasa kuna walimu wanne tu nchini humo wanaofundisha somo la Fizikia na kusisitiza kuwa idadi hiyo...
5 Reactions
111 Replies
15K Views
Wanajeshi wa Israel wanakabiliwa na shubiri chungu sana kwenye uvamizi wao huko nchini Lebanon. Hapo kwenye video ni kikosi maalum cha makomando cha Israel kilicho angamizwa na wapiganaji wa...
6 Reactions
39 Replies
4K Views
Waziri mkuu wa zamani wa Israel Naftari Bennet amesema kuwa zamani Biden alisema acheni kwanza sasa amesema pambaneni tuko nyuma yenu hivyo tunachagua pakuanzia viwanda vya uchimbaji...
22 Reactions
84 Replies
5K Views
Wadau hamjamboni nyote? Kikao kizito sana kinaendelea muda huu. Tuombe Mungu atuvushe salama Wajumbe: Mkuu wa shin bet Ronan Bar Mkuu wa Mossad David Barnea, Waziri wa ulinzi Yoav Galant Mkuu...
29 Reactions
167 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…