International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Huwezi kuona kwenye vyombo vya habari vya Magharibi kwa kweli magaidi wa kizayuni wanaendelea kubamizwa kidogo kidogo huko Lebanon na kupewa hasara kubwa sana ya vifaa vya kijeshi na Maisha ya...
11 Reactions
128 Replies
4K Views
he #US defence secretary said he had not seen evidence of a cash- and gold-filled Hezbollah bunker underneath a hospital in Beirut, as claimed by the Israeli military this week.⁠ .⁠ “We have not...
5 Reactions
5 Replies
577 Views
Nawakaribsha wana JF msikilize wenyewe hotuba aliyotoa mtoto wa mmoja wa founders of Hamas, aliyoitoa kwenye Bunge la Ulaya. Kwa kifupi jamaa huyu anauonya umoja wa ulaya kuwa dhana nzima ya...
5 Reactions
59 Replies
3K Views
Kuna madai ya uasi wa askari 18 Kati ya 40 wa Korea Kaskazini huko Urusi, askari hao waliondoka kituo chao(post) huko Kursk na kutokomea kusikojulikana, inadaiwa askari wa Urusi wanawatafuta...
14 Reactions
69 Replies
4K Views
Wanaume waliokwepa kujiunga na programu ya Jeshi na kwenda klabu kula bata huko Ukraine wamekutana nacho baada ya Jeshi la Nchi hiyo kuanzisha msako wa kuwakamata Wanaume wote waliokwepa programu...
0 Reactions
5 Replies
752 Views
Kwa taarifa ya Sasa ni kwamba jeshi la Korea Kaskazini likiwa na Idadi ya wanajeshi 3000, limeingia Urusi tayari kupigana vita na Ukraine. Kitendo hiki Cha Korea Kaskazini kitapelekea nchi zingine...
2 Reactions
46 Replies
7K Views
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa tangu vilipoanza vita vya Gaza hadi sasa imetekeleza operesheni 961 dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel. Kwa mujibu wa...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Habari za uhakika na kupendeza uharifu sasa umepungua na waharifu wamegeuka kuwa watakatifu. ni baada ya waharifu kufikishwa mahakamani na kupewa chaguo la kujiunga na jeshi na kupelekwa Ukraine...
4 Reactions
5 Replies
627 Views
Wakuu, Hivi Prince Harry atapeleka wapi sura yake? Baada ya kuitosa familia yake nzima ikiwemo Prince Charles na kaka yake Prince William na kuhamia Marekani, imeripotiwa hivi karibuni kuwa...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Japo katika kujibu swali hili kutahitaji historia, naomba tujitahidi tusilete udini bali chanzo halisi cha mgogoro huu wa Palestina na Israel. Ninachokijua kime-base kwenye dini na ndio maana...
6 Reactions
302 Replies
24K Views
Hamas kupitia wasemaji wake imetoa takwimu ya uharibifu uliofanywa na mayahudi katika kipindi chote cha vita mpaka sasa, Jumla ya misikti 610 ya Gaza na makanisa matatu yamebomolewa kabisa na kwa...
4 Reactions
27 Replies
1K Views
Mkutano wa kilele wa BRICS umefanyika kuanzia Oktoba 22 hadi 24 huko Kazan, nchini Russia, ukiwa ni wa kwanza baada ya kundi hilo kuongeza nchi wanachama, na hivyo kufuatiliwa sana na jamii ya...
5 Reactions
10 Replies
835 Views
Hili Taifa lina mafuta na gesi ya kutosha ila sasa wameingia na kwenye miradi ya umeme wa jua! Umeme wanaozalisha kupitia jua ni sawa na umeme wote tunaozalisha hapa kwetu kupitia maji!
1 Reactions
6 Replies
697 Views
Haya yamewakuta waziri Blinken na ujumbe wake walipokuwa Israel: Ataamini huyu kuwa Nasrallah, Haniyeh au Sinwar ni marehemu? https://m.youtube.com/watch?v=sG0ss7AfVvM Ama kweli vishindo vya...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Katika mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika Beijing mwezi Septemba mwaka huu, China ilitangaza mpango wa kufungua zaidi soko lake na kuzipa...
0 Reactions
0 Replies
326 Views
Hal Turner World October 24, 2024 Video has emerged from Bucks County, Pennsylvania, showing what appears to be an ELECTION WORKER, opening mailed-in Ballots and, if they're for Trump, TEARING...
0 Reactions
0 Replies
424 Views
Chama tawala cha Msumbiji, Frelimo, kimeendelea kushikilia madaraka katika uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi huu, na kuongeza utawala wake wa miongo mitano katika taifa hilo la Kusini mwa Afrika...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Mkutano wa 15 wa viongozi wa nchi za BRICS unafanyika nchini Afrika Kusini, ambapo viongozi wanaohudhuria mkutano huo wanajadili kwa kina mada mbalimbali ikiwemo kuimarisha ushirikiano na kupanua...
1 Reactions
2 Replies
627 Views
Iranian network announces auction of Nasrallah's ring to aid Lebanese people, starting bid at $113,000 Lebanon News 2024-10-23 | 17:28 Mtandao wa "Ofogh" wa Iran ulitangaza kwenye akaunti yake ya...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Hezbollah wamekiri ameuawa 22 October, Israeli tena imerudia madai yake kwamba imemuua kiongozi namba mbili wa Hezbollah na mjumbe wa baraza kuu la Hezbollah bwana Heshem Safieddine mwanzoni mwa...
2 Reactions
2 Replies
499 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…