Muungano wa kijeshi wa NATO pamoja na Jumuiya ya Umoja wa Ulaya kwa sasa wanakabiliwa na changamoto kubwa zaidi tangu kumalizika kwa mzozo wa vita baridi miaka ya 1990s.
NATO ilijisahau na kua na...
Wadau hamjamboni nyote?
Magaidi ya Hezbollah wamecharuka na kufanya shambulizi la nguvu huko Israel
Mayahudi hawaamini kilichotokewa
Jumuiya za kimataifa tunaomba kuingilia kati kuokoa uhai...
Oman yazindua satelaiti yake ya kwanza yenye teknolojia ya hali ya juu ya kuhisi kwa mbali na AI
Sultanate ya Oman, ikiwakilishwa na kampuni ya ‘Oman Lens’, imefanikiwa kuzindua satelaiti yake ya...
Pamoja na kutumia matrilioni ya fedha kwenye kampeni zake, mgombea wa urais Kamala Harris ameacha Deni la Tshs Bilioni 5. Kiasi kikubwa kilikopwa kwaajili ya kulipia watu maarufu waweze kumpigia...
Kwenu wadau njaa mbaya:
Gazeti la Korea Kusini la Korea Herald linaripoti, likimnukuu balozi wa zamani wa Korea Kusini nchini Urusi, kwamba badala ya usambazaji wa risasi na kutuma wanajeshi...
Vyama vya Upinzani vya DR Congo na Viongozi wa Mashirika ya kiraia mwishoni mwa juma walitangaza Muungano wa kupinga mabadiliko ya Katiba ambayo huenda yakamweka Rais Felix Tshisekedi Madarakani...
Itabidi wasakwe mlango kwa mlango, hawa wahamiaji wa kutokea huko uarabuni kule hiyo dini ilibuniwa wamekua kero. Mpaka sasa wamekamatwa 62
============
Dutch Prime Minister Dick Schoof...
Iran imetangaza ratiba ya mgao wa umeme wa nchi nzima kuanzia Jumapili, ya juzi kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya gesi asilia huku kukiwa na baridi kali, ambayo imesababisha uhaba wa mafuta...
Kilichopo ni kwamba ndani ya Democrats Obama ndie King Maker,
Kwenye uchaguzi huu wa 2024 tayari Team ya Obama walikuwa na mtu wao wanaetaka kumpachika awe Rais, Ni mwanaume !!
Ikawaje Harris...
Rais wa Urusi, Vladmir Putin ameahidi kuzisaidia Nchi Washirika wake Barani Afrika katika Sekta mbalimbali za kuleta maendeleo na amesema ataisaidia pia Afrika kupambana na ugaidi.
Rais Putin...
Huko hali ni mbaya kwa baadhi ya majimbo mfano Unity ambapo maji ya kunywa yamechanganyikana na mafuta kutokana na mafuriko.
Mafuta yanachimbwa sehemu mbalimbali mfano Uarabuni . Je, na huko...
Mwanamke mmoja huko Shanghai, China Bi Liu amewaachia urithi wa Dola Milioni 2.8 sawa na Tsh Bilioni 7 kwa mbwa na paka wake aliokuwa anaishi nao na kuwatosa watoto wake watatu.
Bi Liu amefanya...
Askofu mkuu wa Kanisa la Anglican Dr Welby amejiuzulu
Inadaiwa Askofu Dr Welby hakuchukua hatua za kumfikisha police Askofu wa Kanisa lake aliyetuhumiwa na kuwabaka Vijana Wadogo wa kike na kiume...
Kile ambacho ulimwengu wote umeona kama kashfa ya kanda ya ngono inaweza kuwa sehemu tu katika tamthilia ya maisha halisi kuhusu nani atakuwa rais ajaye wa Equatorial Guinea.
Katika muda wa wiki...
Alikimbia kwa kuondoka na helikopta ya Kirusi hadi Ukraine. Alipatikana amekufa nchini Hispania.
Novemba 10, 2024 / Saa 7:30 PM EST / CBS News
Maxim Kuzminov alipigwa risasi katika mji wa...
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa CIA, amesema kwamba anatarajia serikali ya Donald Trump, tofauti na Setikali ya Biden, itampa Netanyahu uhuru wote dhidi ya Iran, yaani Israel iamue wakati gani wa...
Wadau hamjamboni nyote?
Wanajeshi kadhaa wa Syria walijeruhiwa kutokana na "shambulio" la anga la Israeli karibu na mji wa Al-Safira, nje ya Aleppo na Idlib, vyombo vya habari vya serikali...
Kampuni kadhaa za Rwanda, zilishiriki kwenye maonyesho ya saba ya kimataifa ya uagizaji wa bidhaa za China (CIIE) yaliyofanyika mjini Shanghai.
Maonyesho hayo ambayo yameandaliwa na Wizara ya...
Wadau hamjamboni nyote?
Hali ni tete vijana wa kiyahudi hawataki Tena kwenda vitani!
Kumekuwa na kupungua kwa kiwango cha askari wa akiba wanaojitokeza kazini katika wiki za hivi karibuni...
Elon Musk ni kichwa sana yule jamaa.
Yeye ndie investor mkubwa kwenye rally ya Trump na inasemekena kwa ujumla aliwekeza dollar million 118.
Lakini baada ya Trump kushinda utajiri wa Elon ambae...