Waziri Mkuu wa Luxembourg Xavier Bettel (Mwanaume) amefunga ndoa na 'mpenzi' wake wa siku nyingi Gaunthier Desteney (Mwanaume).
Muungano huu wa jinsia moja ni wa kwanza kufanywa na kiongozi wa...
Rais mteule wa US Donald Trump amemteua Elon Musk kuongoza Idara mpya ya Ufanisi wa Serikali (Doge) kwaajili ya utawala wake ujao.
Alitangaza kwamba Vivek Ramaswamy, mwekezaji wa kibayoteki...
Kama kawaida ya Russia inapofika msimu wa baridi hua anataka maadui zake wagande kwenye barafu..Usiku wa leo Bomber zote mauaji za Russia zilikua airborne zimekichafua mbaya robo ya tatu ya...
Hatimaye siri zaanikwa hadharani
Kituo cha kijeshi cha Parchin kilikuwa na vifaa vya kubuni milipuko kwa ajili ya matumizi katika bomu la nyuklia. Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya...
⚡️BREAKING:
Wizara ya Ujasusi ya Iran imetoa orodha ya magaidi wa Israel wanaotakiwa wakiwa maiti.
Just like Israel, now Iran's Intelligence Ministry releases a list of individuals it want to...
Ili Israel ijihakikishie ushindi dhidi ya maghaidi wa Kiislamu, ni lazima imuue Ayatollah wa Iran.
Wamuue Ayatollah, wamuue na Rais wa Iran.
Maliza kabisa hao watu. Lipua majengo yao yote...
Serikali ya Urusi imeiwekea Marekani Vikwazo vya kununua Uranium toka Urusi.
Urusi imeweka vikwazo kwenye uagizaji wa uranium iliyotajwa kwenda Marekani, serikali ilisema Ijumaa, jambo linaloweza...
https://youtube.com/shorts/ieBLRTPg-xE?si=Mf1qykB9kyqh8kt3
Ujumbe ndio huo leo kutoka kwa Ayatollah Khomen, asema Israel ni watoto sana mbele ya Hezbulla. Hawaiwezi Hezbullah. Hivi kuna kuna...
Rais mteule wa Marekani Donald Trump, ameanza mazungumzo ya siri na Iran ili kufikia makubaliano. Mazungumzo haya yalifanyika kwenye eneo lililochaguliwa na Balozi wa Iran kwenye umoja wa mataifa...
Tulisema. Israel yeye anapiga. Halafu anaacha wenyewe ndo waseme. Yeye ananyamaza kimya. Nashauri tufuate anachosema Ayatollah... Tujitolee wadau tukajiunge naye.
Jimbo la Colorado mahakama kuu jimboni humo imeamua kumuengua Trump toka kwenye kinyang'anyiro cha kura za awali jimboni humo zitakazopigwa mwakani. Jimbo hilo linaongoza kwa Democrats wengi...
Watu 35 wamefariki na wengine 43 kujeruhiwa baada ya dereva aliyejaa hasira kutokana na kutoridhika na makubaliano ya talaka ya mgawanyo wa mali kuendesha gari lake kwa makusudi kwenye kundi la...
Mchungaji wa Kanisa la Baptist aliyekuwa Gavana wa Jimbo la Arkansas kwa miaka 11. Rafiki wa Netanyahu na mtu aliyewahi kusema hakuna kitu cha Mpalestina. Mike Huckabee ameteuliwa na Trump kuwa...
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika hapo juu
Kila la kheri ndugu zetu Marekani
----
Welcome back': Biden greets Trump at the White House
Two men have criticized each other for...
Kamala amekuwa akitaka kutumia tabaka la ngozi nyeusi kum boost kisiasa lakini wamarekani weusi wamestukia na kumkataa, ni Tofauri ya Obama alikuwa tayari ana uwezo mkubwa sana wa ku debate, very...
Wadau hamjamboni nyote?
Makabidhiano yamefanyika wizara ya ulinzi Israel. Gallant na Katz ni marafiki wakubwa. Aumizwa sana na hasara ambayo Israel imepata kupitia vita hii pamoja na kushindwa...
Maonesho ya uagizaji ya China (CIIE) yamemalizika hivi karibuni mjini Shanghai. Maonesho haya ambayo safari hii ni ya awamu ya saba, yamefanyika kwa mafanikio makubwa kwani nchi nyingi zaidi...
Inaripotiwa kwamba power struggle ya kumritithi dikteta mzee Teodoro Obiang Nguema wa Guinea mwenye miaka 82 aliyeitawala nchi hiyo kwa miaka 45 ndio chanzo cha kuvujishwa video za ngono za mpwa...
Huyu mke wa Trump mbona simwoni. Sana kwenye media siku hizi.
Kipindi Trump yupo Rais walikuwa wanapendeza mno wakiwa kwenye lile dege wakitembelea nchi kadhaa.
Lkn Simeon tena yule mama mzuri...