International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Chancay port ni bandari ya kisasa iliyojengwa na kampuni ya China COSCO kama project ya BRI. Imezinduliwa 17th Nov 2024 na Xi na raisi wa Peru Ni smart port au full automated port kila kitu...
12 Reactions
50 Replies
3K Views
Hili swali huwa najiuliza sana. Mara zote ambapo vita ya dunia ilitokea, sababu kubwa unakuta ni maslahi ya mataifa makubwa. Mataifa ambayo yanapishana “ideology” Mfano mataifa ya mashariki na...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Serikali ya Russia imeadhimisha matumizi ya nuclear dhidi ya Ukraine....azma hii imetokana na raisi wa marekani kutoa silaha za masafa marefu yenye kupiga ndani ya Russia Ni Bora trump aingie...
8 Reactions
53 Replies
4K Views
Russia imeanza kuzalisha na kusambaza Nuclear shetlers mitaani kwa ajili kukinga raia dhidi ya mionzi hatari...... Rais Vladimir Putin ameagiza vikosi vya Nyuklia kujibu shambulio lolote toka...
14 Reactions
87 Replies
6K Views
Wakati madai ya uwongo ya "mauaji ya kimbari" yanazunguka, idadi ya watu wa Gaza iliongezeka kwa watu 43,000 katika wiki chache tu. Mara ooh Israel anaua watoto kila siku, blah blah
2 Reactions
16 Replies
793 Views
Wanaukumbi. ⚡️INGIA TU: Takwimu za Ekari za Masuala ya Kiebrania: Vifo 31 kati ya wanajeshi na walowezi wa Israel vimeripotiwa tangu mwanzoni mwa Novemba, kama ifuatavyo: •Novemba 1: Afisa...
4 Reactions
10 Replies
762 Views
Pigo lingine kwa taifa la Israel huyu jamaa alikua ni tegemeo kubwa kwa taifa la Israel.Alikwenda kupigana lakini kwenda kuvumbua ardhi ya taifa hilo teule wakamtrace na kumla kichwa...
0 Reactions
4 Replies
603 Views
Bangladesh inakusanya malipo ya kampuni ya umeme ya Adani baada ya kampuni hiyo ya India kukata usambazaji wa umeme, huku ikiripotiwa kuwa ni kutokana na malipo ambayo hayajalipwa ya dollar $800m...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Kuna mtu katolewa chambo --- Marekani imetangaza kuwa ubalozi wake katika mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, umefungwa baada ya kupokea taarifa maalum kuhusu uwezekano wa shambulio kubwa la anga. Onyo...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Vyombo vya habari vya Uingereza hivi karibuni vimeripoti kwamba Mfuko wa David ambao ni jumba binafsi la makumbusho la nchini Uingereza, utatoa takriban kauri 1,700 za kale za Kichina kwa Jumba la...
0 Reactions
0 Replies
332 Views
Axios Axios 4 hours ago -World Scoop: Israel destroyed active nuclear weapons research facility in Iran, officials say Barak Ravid A Maxar closeup satellite imagery of the Parchin Military...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Unajua unafiki ndio mlionao. Kila siku mimi huwa nawaambia kuwa harakati zenu sio za ukombozi wa haki au usawa bali ni za itikadi, itikadi za kitapeli. Uturuki amerusha makombora huko Syria...
6 Reactions
94 Replies
2K Views
Admiral anasema silaha zinatolewa nyingi kiasi kwamba watashindwa kukabiliana na Mchina… Adm. Sam Paparo ana wasiwasi kwamba Marekani inatoa na kumaliza ulinzi muhimu unaohitajika kukabiliana na...
1 Reactions
6 Replies
677 Views
Huu mji wa Dubai umaarufu wake umetokana na nini kiasi cha kujizolea umaarufu mkubwa sana kwa celebereties wa dunia, sehemu kubwa ya Afrika, kwa wabongo matajiri na hata wale wa kipato cha kawaida...
15 Reactions
102 Replies
6K Views
Moja ya kazi ngumu inayomkabili marekani sasa ni kupambana kila awezavyo ili kumdhibiti China. Hii ni kazi ngumu sana kwa sababu inahusu maeneo mengi yakiwemo - Ushindani wa kiuchumi, marekani...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Hayo ndio yanayoendelea huko Zambia alikoshika madaraka yule Rais aliyetokea Upinzani na rafiki wa Machadema bwana Hakainde Hichilema aliyekuwa anadai kwamba yeye hawezi kandamiza Wapinzani wake...
1 Reactions
8 Replies
443 Views
Wahenga walinena, 'lisemwalo lipo na kama halipo liko njiani linakuja!' Katika hii vita Kati ya Urusi na Ukraine, Urusi ilishataadharisha mapema kuwa iwapo Mataifa ya NATO yatairuhusu Ukraine...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Ujumbe ndio huo, msemaji wa Hezbullah anasema Israel hawezi kushinda vita kwa ndege, au kuvunja majumba na kuwauwa watoto au wanawake. Vita huwezi shinda bila ground force, na hicho kitu Israel...
22 Reactions
219 Replies
7K Views
Mkutano wa kilele wa 19 wa Kundi la Nchi 20 (G20) umefanyika hivi karibuni mjini Rio de Jeneiro, Brazil. Rais wa China Xi Jinping amesema katika mkutano huo kwamba, China imetangaza uamuzi wa...
0 Reactions
0 Replies
317 Views
Leo nataka nikupe haya maarifa hadimu Sana, tena Sana. Wenye hekima Watanielewa. Kule nchi ya mbinguni au peponi, kuna itawala wa KIMUNGU. Wale wenye neema ya kuingia mbinguni watauona huu...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…