Wadau hamjamboni nyote?
Yasemekana Kiongozi Mkuu huyo aliyechaguliwa karibuni na shura ya maimamu kuongoza kikundi hicho cha Hezbollah alikuwa ndani ya jengo hilo pamoja na afisa mwandamizi...
Marekani, Uhispania, Italia, na Ugiriki zimetangaza kufunga kwa muda balozi zao mjini Kyiv siku ya Jumatano, baada ya kuripoti " uwepo hatari kubwa ya mashambulizi ya anga nchini Ukraine."...
🇷🇺 PUTIN: OUR MISSILES CANNOT BE STOPPED
"We will issue warnings to civilians and to clear the zones that will be targeted, and we will certainly do this in a transparent manner.
We have no...
Rais mteule Donald Trump alitangaza Ijumaa kuwa amemchagua Scott Turner, mchezaji wa zamani wa soka la kulipwa, kuwa waziri wa Idara ya Makazi.
Turner mshauri wa rais Trump kuhusu namna...
Kichwa cha habari chahusika hapo juu
Tuungane na tusome bila kuchoka zaburi ya 109:8-14 dhidi ya magaidi na ndugu zao wote wanataka kuliangamiza taifa teule la Mungu.
✓"Siku zake na ziwe...
Technology ya ndege ni ngumu Sana. Mataifa mengi duniani Yameshindwa kuunda ndege.
Mataifa kama Japan, Korea, Russia, UK tulitegemea wangekuwa wanatengeneza ndege lakini wapi
Cha ajabu Brazil...
Huyu binti kanivutia sana. Ni mbunge huko New Zealand. Ndo mbunge mwenye umri mdogo kwenye bunge la nchi hiyo. Ujasiri na uthubutu wake ni A+.
Wiki iliyopita, mnamo tarehe 14 Novemba, katika...
Chanzo cha picha: Getty Images
Maelezo ya picha,Kyiv hapo awali iliweza tu kutumia makombora hayo ndani ya mipaka yake. Ukraine imerusha makombora ya Storm Shadow yanayotolewa na Uingereza...
Wakuu,
Baada ya kuwepo kwa tetesi kuhusu hali ya kiafya ya Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ambapo uvumi ulidai kuwa yuko katika hali ya koma, Khamenei ameonekana hadharani...
Vita inaingia kwenye sura nyengine
20 Novemba 2024
Rais wa Marekani Joe Biden amekubali kuipa Ukraine mabomu ya kutegwa ardhini, afisa wa Marekani ameiambia BBC.
Afisa huyo ambaye alizungumza...
Sararat Rangsiwuthaporn.
MWANANMKE mmoja nchini Thailand amehukumiwa kifo katika kesi ya kwanza kati ya msururu wa kesi anazotuhumiwa kuwaua marafiki zake 14 kwa kutumia sumu.
Mahakama mjini...
Ripoti mpya kutoka shirika la kijasusi la marekani CIA imebaini Ukraine ndio nchi yenye idadi ndogo kabisa ya watoto wanaozaliwa lakini pia ndio nchi inayoongoza duniani kwa kuwa na idadi kubwa...
Wanaukumbi.
Netanyahu kamfukuza kazi waziri wa ulinzi Yoav Gallant kutoka wadhifa wake wameshindwa kuelewana Gallant, kamwambia Netanyahu vita tumeshindwa
Inakisiwa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje...
Ni mwendo wa kula uliwe
Urusi inakadiriwa kuipatia Korea Kaskazini zaidi ya mapipa milioni moja ya mafuta tangu Machi mwaka huu, kulingana na uchambuzi wa picha za satelaiti kutoka kwa Open...
Umoja wa Mataifa unakadiria kuwa inahitajika miaka zaidi ya 350 kuyarejesha maisha ya Gaza kuwa kama yalivyokuwa kabla ya baada ya Oktoba 7.
CHANZO: AL JAZEERA TV
Serikali inayoongozwa na Talibani nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Ni marufuku wanawake kuongea na mwanamke mwezake na kumuelezea mawazo ama maoni...
Wakuu tujongee...Sasa katika kitu kilikuwa kikingojewa na mataifa mengi wakitaka kujua uwezo wa Urusi sasa kinakaribia,hii ni baada ya Ukraine Usiku wa kuamkia leo Kutumia hizo silaha za masafa...
Kuna mijadala mingi sana na Kila mtu anatoa uchambuzi wake Kwanini USA chini ya Biden wameruhusu Ukraine kutumia long range boom kupiga ndani ya Urusi.
Ndugu zangu lisemwalo lipo na kama halipo...
Wadau hamjamboni nyote?
Shambulizi baya la kigaidi Uholanzi
Waisrael 10 ambao ni wapenzi wa soka wa Klabu ya macab TEL Aviv wamejeruhiwa vibaya na gaidi
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo...
Kila siku silaha mpya zinaingizwa vitani , baadhi zinaonesha ufanisi nyingine zinafeli .
Nchi kubwa watengenezaji wa silaha inapotokea migogoro na vita ndio sehemu ya kuuza na majaribio ya silaha...