International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mwenyekiti wa zamani wa Benki ya China, Liu Liange amehukumiwa kifo kwa kupokea hongo ya dola milioni 16.8 (TZS bilioni 44.4) pamoja na makosa mengine ya ufisadi na utoaji wa mikopo kinyume cha...
5 Reactions
14 Replies
946 Views
Wanaukumbi. Yerusalemu CNN - Mkataba wa kusitisha mapigano kati ya Israel na kundi la wanamgambo wa Lebanon Hezbollah "uko karibu sana," chanzo cha kikanda kiliiambia CNN siku ya Jumapili, hata...
8 Reactions
294 Replies
7K Views
Kuanzia tarehe mosi Desemba, China itasamehe ushuru wa forodha kwa bidhaa zote za nchi zilizoko nyuma kimaendeleo zaidi duniani ambazo zimeanzisha uhusiano wa kibalozi na China. Hapo awali, China...
0 Reactions
0 Replies
390 Views
I believe many people have noticed a dramatic rise in temperature lately.Room temperature as I speak is 34 Degrees Celcius.This is the reason👇 so they say, but is it.They also say that the rise in...
4 Reactions
14 Replies
989 Views
Ndio kwanza Umoja wa Ulaya haupendi kuiona Urusi ikiwa na nguvu. Kwa vyovyote vile lazima wazichape ili kumpunguza nguvu Urusi. Ndio hivyo wanamtumia Ukraine kuanzisha ugomvi ili wamzibue Urusi...
2 Reactions
31 Replies
1K Views
Raisi wa nchi ya Marekani Joe Biden amepanga kutoa mabilioni ya dollar kwajili ya masuala ya kijeshi huko nchini Ukraine kabla hajaachia ngazi rasmi mwezi January. Hii inakuja huku kukiwa na...
1 Reactions
2 Replies
539 Views
Kulingana na malalamiko rasmi kwa ECN, chama cha IPC sasa iko katika mchakato wa kufika Mahakama ya Uchaguzi (sehemu ya Mahakama Kuu ya Namibia) ili ikiwezekana kutengua uchaguzi wa Rais na...
0 Reactions
1 Replies
420 Views
Aman iwe kwenu watumishi wa mfalme mkuu aliyetuumba na vyote vilivyomo naye ni MWEMA sana ni MWAMINIFU sana Nimekuwa ni mfatiliaji sana wa maandamano pale msumbiji lakin kitu ambacho nimekuwa...
5 Reactions
54 Replies
2K Views
Wanaukumbi. Urusi yawadondoshea vipeperushi wakazi wa Kiev, na kuwaonya waondoke majumbani mwao la sivyo wakabiliane na mashambulizi ya anga.. =============== ⚡️BREAKING Russia drops leaflets on...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
Watu wengi huwa wanawalaumu Wayahudi na kuwazushia conspiracies nyingi sana kwamba wamesababisha matatizo makubwa kwa dunia, mimi nafikiri hii ni tabia ya ukasuku wa watu kukariri tu mambo...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Wananchi nchini Namibia wanapiga kura kuchagua Rais mpya na wabunge katika uchaguzi unaotajwa kuwa mgumu kwa taifa hilo. Vituo vya kupigia kura vilifunguliwa mapema leo Novemba 27 ambapo maeneo...
0 Reactions
1 Replies
624 Views
Unajua kuna watu wakisema kitu lazima ukae utafakari. Elon Musk sio mtu wa mchezo ni watu wenye influence kubwa Marekani! Na sio hivo tu ni mtu anayetoa msaada wa intermet kwa jeshi la Ukraine...
6 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwaka 1987 India ilikuwa na ukuaji mkubwa kiuchumi kuliko China. In 1987, China's GDP was $272.97 billion, while India's GDP was $279.03 billion: China GDP $272.97 billion India GDP $279.03...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Kupitia vyombo vya habari Kundi la Taliban linaloongoza Serikali ya Afghanistan limepiga marufuku Binadamu na Wanyama kuonekana kwenye Televisheni katika maudhui ya aina yoyote kuanzia Matangazo...
32 Reactions
110 Replies
5K Views
Rais mteule wa Marekani Donald Trump ameondolewa mashtaka yaliyokuwa yakimkabili, wakati akielekea kuapishwa kama rais wa 47 wa Marekani Januari 20, 2025. Kulingana na kituo cha VOA, Jaji wa...
1 Reactions
7 Replies
722 Views
Japani ilipitwa na China 2010 na kutoleqa nafasi ya pili, kumbuka Japani imekaa nafasi ya pili kwa miaka 40. Sasa mwakani tena inatolewa nafasi ya 3 hivyo kuangukia nafasi ya 4 ambayo nayo huenda...
11 Reactions
120 Replies
5K Views
Habari ndio hiyo wakuu Russia's Defense Ministry admitted on Nov. 26 that Ukraine had targeted Russian S-400 air defense systems and an airfield in embattled Kursk Oblast with U.S.-made...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Join us in celebrating 25 years of the Regional Integration and Development #EACat25 #Borderless #OnepeopleOnedestiny
1 Reactions
1 Replies
384 Views
Kampeni ya Kiislamu ya mitandao ya kijamii inayojulikana kama #SaveMaryam inakuza ufahamu wa kuenea kwa Ukristo kote Indonesia - na inatumia takwimu na taarifa zenye utata kufanya hivyo. Meneja wa...
21 Reactions
731 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…