Kengele ya Mwaka Mpya wa 2025 imelia, na kuashiria mwisho wa mwaka 2024. Katika mwaka uliopita, uhusiano wa kirafiki kati ya China na Afrika umeendelezwa zaidi.
Mwanzoni mwa mwezi Septemba mwaka...
Rais Emmerson Mnangagwa ameidhinisha Sheria inayofuta rasmi adhabu ya Kifo ambayo kama ingeendelea kutekelezwa, ingeondoa uhai wa Wafungwa takriban 60 waliohukumiwa adhabu hiyo.
Shirika la...
MAPUTO, Msumbiji (AP) — Takriban wafungwa 6,000 walitoroka kutoka gereza lenye ulinzi mkali katika mji mkuu wa Msumbiji siku ya Krismasi baada ya uasi, kwa mujibu wa Mkuu wa Polisi wa nchi hiyo...
Kwa sababu Kwa Hali yeyote Ile haiwezekani na haiingii akilini mtu mwenye ushawishi mkubwa na ambae ameruka Kila kiunzi wamletee mgombea Mwanamke ashindane nae wakati wakijua haijawahi tokea kabla...
In 2023, Amani Girls Organization (AGO) conducted an assessment on young mothers, focusing on the challenges they face and their needs in returning to school. Nuruh, a determined young woman in...
Kama una ndugu yako yupo Msumbiji mwambie aondoke haraka sana hali sio nzuri . Hao wote utakaowaona kwenye video walifariki kwa kupigwa risasi. Kama unampango wa kwenda Msumbiji basi jua hii ndio...
Tajiri namba moja Duniani bwana Elon Musk anatabiriwa kua Trilionea wa kwanza Duniani mwaka 2027 kama utajiri wake utaendelea kukua kwa mwenendo unaokua kwa sasa.
Elon Musk utajiri wake...
Hali ya mvutano inaendelea nchini Chad baada ya vyama vya upinzani kutaka kumalizika kwa haraka kwa serikali ya mpito nchini humo na kufutwa kwa uchaguzi mkuu uliofanyika Desemba 29.
Kwa mujibu...
Ni kweli marekani imesababisha maafa na hasara katika angle mbalimbali za dunia na wote tunajua lakini pia kila nchi ina mazuri na mabaya yake hili hakuna wa kupinga
Sasa leo tuwape maua yao...
Hahaha wakuu ogopeni sana mitandao ile connection imezidi kugharimu ndoa za wakubwa serikalini guinea humo ndani
Hii ni video inayoonyesha Mume aliyechapiwa na anasikitika sana maana alikuwa...
Anayedaiwa kumiliki na kuendesha tovuti haramu ya kusambaza filamu maarufu ‘FMovies’ mapema mwezi uliopita alitambulishwa baada ya kukamatwa na Polisi wa Mji wa Hanoi nchini Vietnam kufuatia...
Wadau hamjamboni nyote?
Msako magaidi duniani kote unaendelea
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
December 31, 2024
France says it carried out missile strikes against Islamic State in...
Utekaji uliofanywa Oktoba 7 2023 ni njama za natanyahu kuiangamiza palestina.Hebu tujiulize maswali haya:
1.Hivi inaingia akililini kweli kwamba jeshi la mwamba natanyahau,tena likisaidiwa na...
Jumamosi ya leo siku kama ya leo mwaka 1976 Makomandoo wa kiisrael walishuka paple Uganda Entebe air port kuokoa ndugu zao. Makomandoo hao waliongozwa na kija a Jonathan Netanyahu akiwa na...
Wadau hamjamboni nyote?
Tumuombee mwamba Mungu amfanyie wepesi alone arudi kuongoza mapambano dhidi ya magaidi
Mungu ibariki nyumba ya Yakobo
PM to be hospitalized for several days for prostate...
What a surprise!?!?
Al-Jawlani, Head of HTS That Overthrew Syria President, is Jewish . . .
Hal Turner World December 29, 2024
What a surprise!?!?! The Head of HTS, a.k.a. "ISIS," a.k.a. "Al...
Huko Msumbiji wanatarajia kufanya uchaguzi Mkuu tarehe 09 Oktoba 2024. Huku Mgombea wa FRELIMO Komredi Daniel Chapo (47) akitarajia kushinda kwa kishindo. Maana huko Msumbiji Upinzaji upo taabani...
Wadau hamjamboni nyote?
Mazungumzo juu ya kuachiliwa yanaendelea kati ya Israel na Hamas
Makubaliano yakifikiwa na mateka kuachiliwa Israel itaendelea na vita dhidi ya magaidi ya Hamas hadi...
Wadau hamjamboni nyote?
Amewahi kuwa Waziri wa mambo ya ndani, Spika wa bunge la Knesset na amewahi kuongoza kikosi maalumu cha askari wenye weledi mkubwa almaarufu Unit 8200
Amezaliwa 22 Juni...
Katika taarifa iliyotolewa hivi punde kutoka vyanzo nchini Iran Hashim anatajwa kuwa tayari jina lake limethibitishwa na shura ya maulamaa kama mrithi wa Hassan Nasrallah. Muda wowote atatangazwa...