International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wakati makombora yanarushwa kutoka Gaza kuelekea Israel, Jeshi la Israel huwa wanawaisha raia kwenda kwenye mahandaki. Hamas hali ipo tofauti, huwa wanakimbilia kwenye mahandaki na kuwaacha raia...
0 Reactions
3 Replies
485 Views
Wiki iliyopita, tarehe 7, Januari 2025, akiwa Mar a Lago, Rais Trump alichimba biti. Alisema kwamba ifikapo tarehe 20 mwezi hao mateka wa Hamas hawajaachiwa, basi huko Mashariki ya Kati...
24 Reactions
161 Replies
7K Views
Wadau hamjamboni nyote? Mateka 3 wameachiwa huru kwenye utekelezaji wa makubaliano ya kusitisha mapigano.baina ya Israel na magaidi wa hamas Romi Gonen, Doron Steinbrecher, na Emily samari...
0 Reactions
0 Replies
594 Views
Wadau hamjamboni nyote? Mpango kusitisha vita umekwama hadi pale Hamas iwasilishe orodha ya majina ya Waisrael watakaoachiwa Netanyau asema IDF itaendelea kuishambulia gaza kwa ndege vita hatari...
4 Reactions
31 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Inasikitisha lakini ndiyo gharama za makubaliano kusitisha vita baina ya Israel na hamas. Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: January 18, 2025 Notorious Fatah...
1 Reactions
41 Replies
2K Views
Tunamwachia Mungu
10 Reactions
142 Replies
6K Views
Uganda tayari ina mafuta, South Sudan inayo, Kenya inayo, Zanzibar nayo inayo (hata yawe kinibu ni mafuta ya Zanzibar) na sasa Rwanda nayo imepata mafuta yake. Je Tanganyika vipi...
0 Reactions
16 Replies
878 Views
Takriban wanajeshi 100 wa Korea Kaskazini wameuawa katika mapigano katika vita vya Ukraine tangu waingie kwenye mapigano upande wa Urusi mapema mwezi huu, mbunge wa Korea Kusini amesema. Lee...
13 Reactions
49 Replies
3K Views
Imebainika kuwa Ufaransa ililipa kiasi cha Euro Milioni 60 sawa na Shilingi Bilioni 156 za Tanzania ili majasusi wake wanne waliokuwa wamekamatwa na kushikiliwa nchini Burkina Faso waweze...
0 Reactions
1 Replies
710 Views
Vita ya makampuni ya mitandao kati ya USA na CHINA inaelekea kutamu. Baada ya Hukumu ya kuifunga TIKTOK huko marekani hatimaye followers wa Tiktok wanahama kwa mamilionj na kujiunga na app...
3 Reactions
2 Replies
757 Views
Katika kuendeleza kufungua nchi. Waandishi wa TBC1 wapo Washington tayari Kwa ajili ya kuripoti MATOKEO ya uchaguzi Mkuu nchini humo.
11 Reactions
68 Replies
3K Views
Wadau hamjamboni nyote? Yametokea hayo Tehran muda mfupi uliopita Jaji mmoja alofariki alikuwa maarufu kuhukumu kesi zilizohusisha wapinzani wa Serikali ya Iran Hadi sasa hakuna taarifa yeyote...
1 Reactions
6 Replies
729 Views
Mnamo October 26,2024 Israel ilifanya shambulizi la kulipiza kisasi dhidi ya Iran,katika shambulio hilo Israel ilitumia anga la Iraq kulitekeleza huku ndege chache aina ya F 35 zikipenya anga la...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Israel's Cabinet approves a deal for a ceasefire in Gaza and the release of dozens of hostages https://www.yahoo.com/news/israels-security-cabinet-convenes-approve-094746734.html
2 Reactions
9 Replies
610 Views
Elon anaonekana anaendeshwa na chuki kali, ubaguzi wa rangi, na hofu dhidi ya makundi fulani. Ukweli kwake ni yale tu anayoyakubali, na chochote kinacasichokikubali kwake ni uongo. Hapendi...
9 Reactions
53 Replies
3K Views
Wadau hamjamboni nyote? Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo: The following is the text of the hostage-ceasefire agreement reached between Israel and Hamas on January 15, 2025 Appendix I...
2 Reactions
0 Replies
621 Views
Wadau hamjamboni nyote? Mwongozo wizara ya afya Israel kwa mateka watakaoachiwa Watapimwa magonjwa ya zinaa Wanawake watapimwa mimba Watapimwa ugonjwa wa Refeeding Syndrome Watakaa hospital sio...
0 Reactions
9 Replies
895 Views
Kuna huyu rais wa Iran ni mtu anaye penda kuvaa suti lakini cha kushangaza huwa havai tai. Yaani huwa ana vaa kama mshikaji fulani tu ,kiitifaki ikoje hii?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu, Leo Januari 17, 2025, Mahakama ya Pakistan imemhukumu Waziri Mkuu wa zamani, Imran Khan, kifungo cha miaka 14 jela na mkewe, Bushra Bibi, kifungo cha miaka 7, kwa tuhuma za matumizi mabaya...
0 Reactions
7 Replies
769 Views
China, Israel, and Myanmar emerged as the world’s three worst offenders in another record-setting year for journalists jailed because of their work, the Committee to Protect Journalists’ 2024...
0 Reactions
5 Replies
604 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…