International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wa Afrika Kusini wameitwa mbele ya kamati maalum ya bunge ya mambo ya ulinzi na kutakiwa kunyoosha maelezo kuhusu kushambuliwa kwa jeshi lao hadi kusababisha...
2 Reactions
7 Replies
726 Views
Muungano wa makundi ya waasi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wametangaza usitishaji mapigano wa kibinadamu kuanzia Jumanne. Katika taarifa, kundi hilo - linalojumuisha waasi wa M23...
18 Reactions
308 Replies
17K Views
Elon Musk asema yeye na Donald Trump wamekubaliana kufunga USAID – shirika linalosaidia maendeleo ya kimataifa. Katika ujumbe wa sauti kwenye X, alisema: "Tunafunga shirika hilo," akiongeza kuwa...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Rais wa Marekani Donald Trump amesaini agizo la rais kupiga marufuku wanamichezo wa transgender kushiriki kwenye michezo ya wanawake. Akisaini agizo hilo Ikulu ya White House, Trump alisema...
3 Reactions
14 Replies
888 Views
The great power of the western world particularly USA was based on technology, the famous silicon valley. For years, the USA has been the center of inventions. These inventions gave the western...
0 Reactions
0 Replies
457 Views
Msemaji mkuu wa serikali ya DRC, Patrick Muyaya, ametangaza kusitishwa kwa matumizi ya mitandao ya kijamii ya X na Tik Tok, kwa alichokiita kuepuka usambazaji wa taarifa za uongo, zinazopotosha...
2 Reactions
4 Replies
536 Views
To preface…. I am not a Trump supporter. Not even slightly. But as I am not an American citizen it isn't really for me to say that he shouldn't be in power, that is the choice of the citizens of...
1 Reactions
4 Replies
582 Views
Source : DW Swahili leo mchana. Vikosi Vingi na vifaa vya kijeshi vimeonekana kuvuka mipaka ya Burundi na kuingia Congo kuungana vikosi vingine kuinyakua Goma. Tayari hayo yakijiri, jeshi...
18 Reactions
227 Replies
12K Views
Rais wa Marekani, Donald Trump, Jumanne alitia saini amri ya kujiondoa kwa Washington kutoka mashirika kadhaa ya Umoja wa Mataifa, yakiwemo Baraza lake la Haki za Binadamu (UNHRC), huku akianzisha...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
BREAKING: Kagame withdraws troops after SA Allegedly Threatens to Use Long Range Ballistic Missiles, Deploy Navy Seals and Commando Units President General Kagame has issued an executive order...
14 Reactions
90 Replies
6K Views
Misuguano ya hivi karibuni juu ya masula ya jinsia ilianza baada ya yanyongeza katika "Title IX" iliyoathiri Marekebisho ya sheria ya Elimu ya 1972 (Education Amendments of 1972) Nyongeza ya...
0 Reactions
1 Replies
628 Views
Waziri Mkuu wa Slovakia, Robert Fico, ametangaza mipango ya kuweka katika katiba ya nchi hiyo utambuzi wa jinsia mbili tu – mwanaume na mwanamke. Alitoa tangazo hili kupitia kipindi cha "Saturday...
2 Reactions
1 Replies
411 Views
Wadau hamjamboni nyote? #Repost @mwananchi_official —— Mwana Mfalme Rahim Al-Hussaini ameteuliwa kuwa Imam wa 50 wa madhehebu ya Ismailia kufuatia kifo cha baba yake Mtukufu Aga Khan IV, ambaye...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Prince Rahim Al-Hussaini, anayejulikana pia kama Prince Rahim Aga Khan, ametangazwa rasmi kuwa Imam wa 50 wa Waismailia wa Kishia baada ya kufunguliwa kwa wosia wa baba yake, Prince Karim Aga Khan...
1 Reactions
1 Replies
430 Views
Reports have repeatedly surfaced of Hamas weapons caches being discovered in UNRWA schools and facilities, as well as tunnels dug beneath its buildings. By Jewish Breaking News President Donald...
2 Reactions
6 Replies
540 Views
Ni rasilimali tu hakuna kingine! Wakubwa wa dunia huangalia faida kwanza kabla ya kuingia vitani! Mgogoro wa Ukraine: 3 Feb, 2025 20:36...
0 Reactions
2 Replies
388 Views
Kwa mujibu wa gazeti la Sunday World la Afrika Kusini, Wanajeshi wa Afrika Kusini walipambana vikali na kuwaua waasi 600 wa M23 katika mapigano makali ya saa 24 mjini Sake, Mashariki mwa Jamhuri...
26 Reactions
101 Replies
5K Views
Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China yachochea uchumi wa dunia Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China ni sikukuu kubwa zaidi ya Wachina, na inaweza kuchukuliwa kama kipimo cha uchumi wa China...
2 Reactions
0 Replies
470 Views
Serikali ya Marekani hivi karibuni ilitangaza kuongeza ushuru wa forodha dhidi ya bidhaa za China kwa asilimia 10, kutokana na suala la Fentanyl. China siku zote ni moja ya nchi zinazotekeleza...
1 Reactions
0 Replies
388 Views
Tetemeko kubwa la ardhi limerekodiwa kati ya visiwa vya Ugiriki vya Amorgos na Santorini, baada ya siku za mitetemeko mfululizo katika eneo hilo. Zaidi ya watu 11,000 tayari wameondoka Santorini...
0 Reactions
0 Replies
260 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…