Panama wana machaguzi mawili tu kukubali ama kukataa na kila chaguzi lina matokeo yake hasi ama chanya.
Maoni ya mdau
Kabla ya raisi Trump kushika madaraka kwa mara ya pili aliweka wazi...
Introduction
The M23 (March 23 Movement) rebel group has been at the centre of instability in the eastern Democratic Republic of the Congo (DRC) for over a decade. Their recent announcement of a...
Siku mbili baada ya waasi wa M23 kutangaza kusitisha mapigano dhidi ya vikosi vya serikali ya DRC kwa sababu za kibinadamu, kundi hilo limeuteka Mji wa Nyabibwe, Jimbo la Kivu Kusini.
Kwa mujibu...
Kanisa Anglican la Africa limepongeza Uamuzi wa Rais Trump wa Marekani kulifutia Bara la Africa misaada yote
Akizungumza nchini Kenya askofu mkuu wa Anglican church amesema Omba Omba imewalemaza...
Hawa jamaa sio kama vyombo vya habari vinavyo chukua mda wa stive mangere,mwijaku,dotto magari,baba levo na wapuuzi ambao wamejazana kila kona kueleza raisi wa nchi bila kufumbua watu nchi ambazo...
Je! Unajua kuwa Misri ni moja ya majeshi 15 yenye nguvu zaidi ulimwenguni? Jeshi la Misri ni kubwa Mara 3-4 kuliko jeshi la Afrika Kusini 🇿🇦.
1. Misri 🇪🇬
2. Algeria 🇩🇿
3. Nigeria 🇳🇬
4. Afrika...
Trump amekuja na misimamo na sera zinazogusa na kuathiri watu wengi ndani ya Marekani na nje ya marekani.
Trump anagusa imani za watu, tamaduni za watu na sasa anakwenda mbali kutaka kushirkiana...
Trump atasaini amri leo ya kuiwekea vikwazo ICC kuhusiana na uchunguzi waliowahi kuufanya hapo nyuma kuhusu Marekani na washirika wake kama Israel, vikwazo hivyo ni ikiwemo vikwazo vya kifedha na...
Bilionea namba moja duniani Elon Musk yuko mbioni kuwateua vijana sita wadogo kiumri na legelege wenye sura za kitoto Baby Face kumsaidia kuifumua kuifungua na kuianzisha upya shirika la misaada...
Leo tarehe 6 January 2025, katika uwanja wa mpira wa Umoja huko Goma, raia wamefulika baada ya kualikwa kuwatambua viongozi wao wapya. Tofauti na matarajio, umati wa watu uliopo nje, unazidi uwezo...
Marcus Jordan, mtoto wa mwanamichezo maarufu wa mpira wa kikapu, Michael Jordan, amekamatwa Florida kwa tuhuma za kuendesha gari akiwa amelewa na kumiliki dawa za kulevya aina ya cocaine. Polisi...
Wanaukumbi.
The Hebrew Channel 12 reports:
The Zionist prisoner "Emily Damari" who was released by the resistance last week asked to remain in captivity and release another prisoner in her...
Wananchi wa jimbo la Kivu ilibidi washangilie bila kupenda kwa sababu wamezungukwa na mitutu ya bunduki, ila haikuwa furaha kutoka moyoni.
Wakati huohuo baada ya kujitangazia serikali mpya...
M23 ni kikundi cha waasi wa Kikongo kinachotegemezwa na Rwanda na kinachofanya kazi katika Mashariki mwa Kongo. M23 inasimama kwa "Movement of 23rd of March" (Harakati ya 23 Machi), jina...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza uteuzi wa Dk Chikwe Ihekweazu kama Kaimu Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika, huku likiweka wazi kuwa, Mkurugenzi mpya wa Kanda atachaguliwa Mei mwaka huu...
https://x.com/StanysBujakera/status/1887306274750030073
Akiongea Vital Kamerhe, anasema: muda umeshatutupa; kuna wabunge hapa hata hawajui ilipo MINOVA, Nyabibwe iko wapi na maeneo mengine...
https://x.com/wembi_steve/status/1887483008644530453
Kama kuna mtu anakaa kwenye nyumba ambayo si yake;na si ya serikali
kama kuna mtu anatumia gari lisilo lake,tunamuomba alikabidhi.
Mpaka sasa...
Nimesikitika sana sana sana,
Inamaana ukilindwa na wanajeshi wa nchi tofauti hapo hekaluni ndo wanaopigana vita ya uchumi utawashinda?
Nilimpuuza Dada mmoja anaishi anapokaa Mr ticha wa profesa...
Waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wa Afrika Kusini wameitwa mbele ya kamati maalum ya bunge ya mambo ya ulinzi na kutakiwa kunyoosha maelezo kuhusu kushambuliwa kwa jeshi lao hadi kusababisha...