International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Nawasalimu kwa jina pendwa la JMT..Kazi iendelee. Ni jambo la kushangaza eti Nelson Mandela aliyekuwa Kiongozi mpigania Uhuru wa Afrika Kusini kuitwa Baba wa Amani Afrika.. Inawezekanaje mtu...
7 Reactions
122 Replies
6K Views
Rais Donald Trump amesema kwamba hana mpango wa kumwondoa Prince Harry nchini humo. Hii ni baada ya Heritage Foundation kudai kuwa Harry alificha matumizi ya dawa za kulevya yaliyopaswa kumzuia...
11 Reactions
69 Replies
4K Views
Ni miaka miwili imepita sasa tangu umoja wa BRICS kuanza kusaka na kutafuta mfumo mbadala na huru wa wa malipo ya kifedha ambayo itatumika kufanya manunuzi na kulipia bidhaa mbali mbali baina ya...
15 Reactions
53 Replies
30K Views
Wakuu. Hali si hali huko London na hii ni baada ya waislamu wenye msimo mkali kuandamana huko Uingereza wakitaka uwepo wa Sharia Laws. Kinachoshangaza zaidi ni kwamba polisi wa Uingereza...
21 Reactions
211 Replies
7K Views
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesaini amri ya kiutendaji ya kukata msaada wa kifedha kwa Afrika Kusini, ambao ulikuwa karibu dola milioni 440 mwaka 2023. White House ilieleza kuwa hatua hii...
3 Reactions
46 Replies
3K Views
Sasa hii nayo imetokea usiku wa kuamkia Februari 10, 2025 huko Sri Lanka ambapo wakazi zaidi ya milioni 22 waishio nchini humo wamelala gizani, na yote sababu ya Tumbili mmoja tu. Unaambiwa...
2 Reactions
9 Replies
827 Views
Katika kila tukio kubwa lilowahi kutokea Duniani kuna watu wengu wanaoamini conspiracies mbalimbali kuhusu hilo tukio kinyume na historia inayoaminiwa na wengi. Mfano kuna watu wanaamini mauaji...
2 Reactions
6 Replies
489 Views
Habari wana jamvi , imekua ndoto yangu ya muda mrefu kutaka kusogea mbele kidogo na kubadilisha upepo wa bongo kutokana na factors nyingi tu ikiwemo ugumu wa maisha pamoja na uvunjifu wa...
5 Reactions
32 Replies
8K Views
Watawapokea Wapalestina wa Gaza Wa kwanza ni Abdel Fattah El-Sisi, rais wa Misri, na wa pili ni Abdullah II, mfalme wa Jordan Hawa jamaa ni pro west na pro Israeli. Walipokea misaada ya kutosha...
9 Reactions
108 Replies
3K Views
Anaitwa Ian Kagame (Luteni Usu) Mtoto wa Rais wa Rwanda, Paul Kagame, kwa sasa rasmi amejiunga na kikosi cha Ulinzi wa Rais wa Nchi hiyo (PSU). Hivi karibuni (mwishoni mwa Mwaka 2022) Ian...
18 Reactions
67 Replies
6K Views
I have been wondering what is going on in the minds of many people,even here in JF.You wonder whether these people are normal.The rationale of their arguments was far from having a human touch,it...
0 Reactions
1 Replies
418 Views
Wanakumbi. Vikwazo vya mara moja kwa Malema na kutangazwa kwake kama mhalifu wa kimataifa! Elon Musk. Majibu ya Julius Sello Malema. Nadhani umepoteza kabisa ubongo wako wa kushoto: shujaa wa...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Wanajeshi 75 wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) wanapandishwa kizimbani leo Februari 10, 2025 wakituhumiwa kukimbia mapigano baina ya vikosi vya Serikali na waasi wa M23. Taarifa...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Mamia ya askari wa Rwanda waliokuwa wakipigana bega Kwa bega na waasibwa M23, wamefariki dunia Kwa kipindi Cha mwezi mmoja wa mapigano ya kuuteka mji wa Goma. Taarifa za ndani zinasema askari...
5 Reactions
39 Replies
3K Views
Wanaukumbi. All three Israeli captives were starved because of Israel. Israel controls the borders and the aid going in. It is Israel that imposed starvation on Gaza as a whole. The irony is...
7 Reactions
101 Replies
3K Views
Burkina Faso iliyo chini ya utawala wa kijeshi wa Kapteni Ibrahim Traore imeanzisha utaratibu wa kurusha live kesi zote zinazohusu ubadhirifu wa fedha za umma. Utaratibu huo umeanza mwezi Novemba...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Mjasiriamali bilionea Elon Musk ameibua mvutano mpya na kiongozi wa chama cha Economic Freedom Fighters (EFF), Julius Malema, akipendekeza kwamba Malema atangazwe kuwa mhalifu wa kimataifa...
1 Reactions
1 Replies
581 Views
Baada ya sintofahamu iliyotokea kuhusiana na usafirishaji za maiti za wanajeshi wa Afrika Kusini waliokufa wakipigana na kundi la waasi la M23, hatimae wamesafilishwa kupitia Rwanda. Kamati ya...
3 Reactions
66 Replies
3K Views
Ohad Ben Ami, 56 ni miongoni mwa mateka walioachiwa huru na Hamas ili kubadilishana na wafungwa wa kipalestina amesema wazi wazi. “I say to the families of the captives, go out and demonstrate and...
8 Reactions
30 Replies
2K Views
Kufuatia Bilionea Elon Musk mwenye uraia wa Afrika Kusini na Marekani kutaka Kamanda mkuu wa chama cha EFF Bw. Julius Malema atajwe kama mhalifu wa kimataifa, chama chake cha EFF kimetoa kauli...
4 Reactions
9 Replies
997 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…