Watu wanchekesha sana, eti Urusi anapelekeshwa na kanchi kadogo ka Ukraine!
Huwa nasema siku zote kwamba Urusi anapigana na mataifa zaidi ya 30 pale Ukraine.
Ukraine ipo tu pale kama platform...
Paul Kagame, kama Rais wa Rwanda, anaweza kuchunguzwa na kupelekwa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kwa madai ya ukatili unaofanywa na kundi la waasi la M23 katika Jamhuri ya...
Rais wa Burkina Faso ameanzisha viwanda, amewezesha kilimo kuchangia pato la Taifa kwa 30%, amenunua trekta na vifaa vya kisasa vya kilimo lakini pia amejenga nyumba zaidi ya 1000 na kuwapa...
Huko Syria mauaji ya kutisha sana yanaendeshwa na askari wa utawala mpya kwa Wakristo na Alawite wanaotuhumiwa kuwa walikuwa wafuasi wa rais Assad aliyepinduliwa. Wakati mauaji haya ya kutisha...
Nimejaribu kujiunga na mtandao binafsi wa Trump wa Truth Social na sijafanikiwa.
Nilitaka nimuulize baadhi ya maswali anijibu na akishindwa nimpe elimu kidogo.
Swali langu ni hilo hapo juu...
Mpaka sasa meli mbili zimeshazamishwa na wapiganaji wa Yemen maeneo ya bahari nyekundu na bahari inayoizunguka Yemen.
Meli ya pili kuzama ni ile iliyoripotiwa kupigwa na droni ya baharini wiki...
Walmart kampuni ya kimataifa inamilikiwa na Walton family inashikilia rekodi ya kuwa muajiri mkubwa zaidi duniani ikiwa imeajiri watu zaidi ya milioni 2 katika nchi tofauti tofauti, na ina stores...
Hapa ndipo vita vilipofikia.
Baada ya askari wa Ukraine walioingia eneo la Kursk mwaka jana kuzingirwa na kuwa karibu na kifo,raisi wa Marekani amewaombea huruma askari hao kutoka kwa raisi wa...
Haya sasa!
SADC wamesalimu amri kwa M23/ Rwanda. Wakuu wa nchi wameamua Vikosi vilivyopo Congo viondoke.
Sote tunakumbuka, hili lilikuwa takwa na agizo la M23 na Kagame kuwa vikosi vyote vya...
Baada ya Kifo cha John Magufuli Africa ya mashariki kiongozi imara na mwenye maono aliyebaki ni Paul Kagame Rais wa Rwanda.
Akihojiwa na mwandishi wa habari Mario Nawfal hivi karibuni kagame...
Marekani imemfukuza balozi wa Afrika Kusini nchini Marekani na kumwelezea kuwa ni mtu asiyekubalika Marekani.
Chief Secretary wa Marekani, Marco Rubio amesema kuwa Balozi Ebrahim Rasool wa Afrika...
Wadau hamjamboni nyote
Taarifa mpya kabisa juhudi zaendelea kutekeleza mpango wa Marekani kuhamisha Wapalestina kutoka gaza
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Advertisement
Israel and US...
Wakati SADC ikikubaliana kuondoa majeshi yake nchini DRC,
Uongozi wa Saouth Afrika waanza kuandaa mazungumzo na kundi la M23. Mazungumzo haya,ni baada ya kuahidi uongozi wa South Afrika...
Rais wa Marekani Donald Trump ametishia kukata misaada kwa Egypt ikiwa hawatakubali kuwakaribisha Wapalestina kutoka Gaza.
Trump anataka Marekani inunue na kuimiliki Gaza.
Egypt ilipokea msaada...
Equation x jibu hili hapa. Si kila kitu kinawekwa wazi, lakini upungufu wa kasi wa M23, kuna ahadi ambayo mpaka sasa haijatekelezwa. Na ukweli kama hatageuza kibao, mpaka sasa yupo tayari kukaa...
Baada ya kupigwa risasi mguuni na kushindwa kutembea, wapiganaji na walinzi wake waliamua kuokoa maisha yao huku wakimuacha nyuma, na kukamatwa na wapiganaji wa kundi la M23. Ni katika majibizano...
Wanakumbi.
Maelfu ya waandamanaji wanaounga mkono Palestina walikusanyika katika Federal Plaza huko NYC kupinga kukamatwa kwa ICE kwa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Columbia Mahmoud...