Meja Jenerali Gagandeep Bakshi, afisa mkuu mstaafu katika Jeshi la India, juu ya Uturuki: "India ni nguvu ya nyuklia, India ni nguvu ya anga. Tunaweza kulipua kuzimu kutoka Uturuki ikiwa...
Wakati raisi Donald Trump akijitayarisha kuanza ziara ya mashariki ya kati hivi punde,utawala huo umeonekana kubadili nia ghafla kuhusiana na vita vya Gaza.
Katika ziara hiyo raisi Trump...
Hali ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Yemen mjini Sanaa siku moja baada ya shambulio kutoka Israel. Hakuna kilichosalia. Inasemekana Yemen wamedai kupata hasara ya dollar za kimatekani nusu...
Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso, Kapteni Ibrahim Traore amewasili mjini Moscow nchini Urusi leo tarehe 8 Mei 2025.
Kapteni Traore ni miongoni mwa viongozi walioalikwa nchini Urusi kwa ajili...
Kumetokea mapigano yasiyo ya kawaida eneo la mpaka wa kusini wa Gaza na kupelekea kikundi kikubwa cha askari wa Israel kuripukiwa na bomu wakati wamo ndani ya jengo moja mpakani huko.
Habari hizo...
Waziri wa ulinzi wa Pakistan akiwa mubashara na CNN kaulizwa atoe ushahidi wa Pakistan kuzilipiua ndege za vita za India. Kashindwa kutoa ushahidi Na kudai mbona ushahidi upo kwenye mitandao ya...
Rais Donald Trump wa Marekani hivi karibuni ametangaza mpango wa kutoza ushuru wa asilimia 100 kwa filamu zinazotengenezwa katika nchi za kigeni na kuoneshwa nchini Marekani. Hatua hii ni sehemu...
Mkuu wa Wafanyakazi wa IDF Lt. Jenerali Eyal Zamir alitangaza kuanzishwa kwa "Awamu B" ya vita vya Israel dhidi ya Hamas wakati wa ziara ya Kitengo cha Gaza siku ya Jumatano, akiwaambia makamanda...
Huku Pakistan wakiendeleq kuuguza kipigo cha India ambapo walipoteza miundo mbinu na magaidi 33 wa dini tayari wameanza kupokea milipuko humo ndani...
Mnalo nyie watu, mnataka mpigane na kila mtu...
Kama Habari inavosema kutoka ukurasa rasmi wa Ayatollah Kiongozi mkuu wa Iran, amehoji sababu za ulazima na msingi Watu waende Hijja.
Naona Watu wanahisi Ayatollah hakusema hayo.
Mjadala...
Hawa jamaa wanazidi kujijenga kijeshi kwa speed ya radi, uwezo wao wa sasa sio wa miaka 10 au 20 iliyopita, wame transform mambo mengi,
Jeshi la Rwanda limewezesha kuondoka kwa wanajeshi wa...
Fuatilia mjadala wa Bunge la Ulaya kuhusu sakata la Tundu Lissu unaoendelea mchana huu, Mei 7, 2025
Pia soma Pre GE2025 - Bunge la Ulaya kufanya kikao cha dharura Mei 7, 2025 kujadili suala la...
IDF na Shin Bet walifunga mduara: Mohammad Rasmi Marzouk Baraka, gaidi wa Hamas ambaye alishiriki katika mauaji ya Oktoba 7 na kumteka nyara mnusurika wa mauaji ya kinyama Yaffa Adar mwenye umri...
Baloch Liberation Army (BLA) imekiri kuhusika na mashambulizi mawili mabaya dhidi ya vikosi vya jeshi la Pakistan huko Balochistan, yaliyosababisha vifo vya wanajeshi 14, wakiwemo maafisa wa ngazi...
Tunatoa mtazamo wa kina wa kile kinachotokea ndani ya Sistine Chapel katika muda mfupi kabla ya kuonekana kwa moshi mweupe, na kile kinachofanyika kabla ya tangazo linalotolewa na Kardinali...
Mafundi bomba wameonekana kutoka mbali ndani ya Rome wakirekebisha lile bomba linalotoa moshi wakati wa uchaguzi wa papa baada ya aliyemtangulia kufariki dunia.
Pamoja na harakati za uchaguzi huo...
Baada ya kipigo cha jana na leo magaidi wa Houth wamesalimu amri na kuahidi hawana shambulio tena Meli huko Red-sea hayo yamesemwa na Rais Donald Trump baada ya Magaidi hao kumjulisha hayo.
Kwa...