International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mashambulizi haya yametikisa misingi ya ulinzi wa Iran, uu si mzozo wa kawaida, ni vita ya akili, ujasusi na teknolojia. Ndani ya lisaa pekee usiku wa manane Israel waliweza kushambulia viongozi...
1 Reactions
5 Replies
882 Views
Rockets slammed into an Iraqi airbase north of Baghdad on Sunday where US troops have been based, wounding at least four Iraqi troops. No immediate information about American casualties was...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Hiyo ni video ya leo ndege ya F 35 Ikionekana ikiambaa ambaa anga la iran ikicheza alafu ikapotea[emoji23][emoji23][emoji23] Namna iran ilivyokuwa inajisifia na ilivyobondwa aibu sana Mtu...
15 Reactions
27 Replies
2K Views
Historia ya Wayahudi wa Iran ilianza Iran (zamani ikiitwa Uajemi) imekuwa na jumuiya ya Wayahudi kwa maelfu ya miaka. Kabla ya Mapinduzi ya Kiislamu ya 1979, kulikuwa na zaidi ya Wayahudi 80,000...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Iran anaenda kupigwa na NATO kipigo kitakatifu sana. SI Wachina Wala Warusi watafanya kitu. Baada ya Hapo, NATO itajipanga ,Kipigo kitahamia Kwa Warusi na Kumalizia Kwa Wachina !!. CCM Watch...
9 Reactions
40 Replies
1K Views
ISRAEL NA IRAN 2025 KUCHOKOZA FUKUTO LA VITA KUBWA ZAIDI MASHARIKI YA KATI Je, Israel Imezuia Vita vya Nyuklia au Kuianzisha?" Na MALEKOGJ Katika saa za giza alfajiri ya Ijumaa, jeshi la...
0 Reactions
0 Replies
447 Views
Wakuu, Kumbe hadi huko Marekani kuna kauli za kishujaa kama hizi? Nikadhani ni kina Muliro tu ndio wanaotoaga vitisho kama hivi kwa wananchi ===================== Mkuu wa Polisi wa Kaunti ya...
1 Reactions
5 Replies
370 Views
Wadau hamjamboni Britain has “grave concerns” over Iran’s nuclear program and believes Israel has the right to self-defense, Prime Minister Keir Starmer told his Israeli counterpart Benjamin...
1 Reactions
8 Replies
729 Views
Utawala mpya wa Marekani umeshtuka kwamba hawawezi tena vita vya ana kwa ana na mataifa mengine ndio maana kwa sasa imeamua kupigana nyuma ya mataifa madogo kama Ukraine na Israel Kwa upande wa...
4 Reactions
4 Replies
379 Views
Tazama jinsi mmoja wa viongozi walio uwawa alivyopigwa akiwa chumbani kwake sijui amelala au anamgegeda wife Unajiuliza hawa jamaa walikusanya vipi hizi intel na kupiga shabaha zao zote kwa ufani...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Ripoti kutoka vyombo vya habari vya Iran zinaeleza kuwa kumekuwa na shughuli kali za ulinzi wa anga karibu na Uwanja wa Pasteur jijini Tehran, eneo ambalo liko karibu na makazi rasmi ya Kiongozi...
0 Reactions
3 Replies
679 Views
Dakika chache baada ya kumdundua Hoseni Salami kamanda wa IGRC, Israel pia imemuua Ali Akbar Ahmadian ambaye ni Katibu wa Baraza la Usalama la Iran
9 Reactions
57 Replies
3K Views
Kumekuchaa....jamaa wamewahishwa kwa mabikira. The likelihood is increasing that the Iranian General Staff, including the Iranian Chief of Staff Mohammad Bagheri, and senior nuclear scientists...
5 Reactions
39 Replies
2K Views
Hakuna wasiwasi wowote kwamba mashambulizi ya Israel ndani ya Iran yaliyopelekea kushambuliwa kwa vinu vyake vya nuklia na kuuwawa kwa makamanda wake wa kijeshi pamoja na wanasayansi wake wa juu...
6 Reactions
9 Replies
825 Views
Iran Leo wamepata pigo la kuondokewa na Mkuu wa Majeshi kufuatia shambulio la Israel. Apumzike kwa amani Jenerali === Kamanda Mkuu wa Walinzi wa Mapinduzi Jenerali Hossein Salami, ameuawa katika...
9 Reactions
79 Replies
5K Views
Tangazo la IDF litakuwa rahisi tu, "Iran will no longer be able to sponsor terrorism for the next 200 years" Israel atahack mifumo ya ulinzi wa anga wa Iran na kuitumia kulipua maeneo mbalimbali...
4 Reactions
43 Replies
2K Views
Napata raha hadi naumwa, Trump alionya Iran kwamba watapigwa wakashupaza shingo, makamanda waliokua na misimamo mikali leo wamewahishwa kwa mabikira, Israel imesema bado haijakamilisha mapigo na...
11 Reactions
51 Replies
2K Views
There are estimated to be only a few hundred thousand believing Catholics left in the world today. It is believed that even these few do not actually believe in Jesus Christ,but in the doctrine...
3 Reactions
66 Replies
3K Views
Wadau hamjamboni nyote/. Hakiki ni Raha kubwa kwangu kujua kuwa Mwamba wa ukweli Benjamin Netanyau yuhai kabisa. Yes indeed he's very much alive. Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu is...
4 Reactions
8 Replies
617 Views
Wadau hamjamboni nyote. Advertisement Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema katika taarifa ya video kuwa agizo la kuangamiza mpango wa nyuklia wa Iran lilitolewa mwezi Novemba 2024...
0 Reactions
1 Replies
354 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…